Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Khaa!! Basi ni haki yao kabisa kuleta nyuzi kama hiziarusha moshi na rombo yake ni walevi kufa

Khaa!! Point yako siioni hapa....we mwali hivi ulishachezewa ngoma.!
Hivi mgao utaisha lini huku arusha tumechoka yaan kero vibaya.
Nina zaidi ya mwezi hapa nilipo kanda ya ziwa sijaona taarifa ya habari ya saa mbili usiku. Kila siku umeme unashinda ila ikifika saa moja na robo wakati wa taarifa ya habari ya Channel 10 ambayo pia huchelewa kuonyesha habari za kampein wanakata umeme, kwa hiyo huwa nawahi kuangalia taarifa ya ITV saa 12 asubuhi.
Sasa wameanza mtindo wa kukata umeme wakati wa kusomwa taarifa hiyo na wanarudisha umeme mara taarifa inapokwisha .
Je, kwa ratiba hiyo TANESCO haitumiki kisiasa ?!
CCM kwa mtindo huu tegemeeni kukosa kura zaidi kuliko, kwani mnatia hasira sana.

Hakuna mgao wa umeme hatujatangaziwaHivi mgao utaisha lini huku arusha tumechoka yaan kero vibaya.
Nyumba yangu imeuzwa kwa deni la mkopo kushindwa kurejesha kwa ajili ya umeme kama unampango wakuvuta mkopo kwa kupindi hiki ucjaribu utaukimbia mji
Ndio wanazidi kupoteza kura maana chuki dhidi yao ina double