Nimeamini mapenzi yanaua

Pole sana mpendwa, ila tambua duniani wapo wema na wabaya kwa kila kiumbe chenye uhai
 
Pole sana Mungu akufanyie wepesi kwenye maamuzi uliyoamua kuchukua
 
Sikuja hapa kutafuta mwanaume ila kupunguza maumivu yangu.Na ndo mana hata PM yangu nimefunga sababu nililihisi hili maana wengine katika maumivu ya wengine huwa mnaona ndo sehemu ya kuongezea maumivu.

Sasa umekosea wacha upate mwanaume akuliwaze ....mwanaume anaye gegeda papuchi Mona unue huyo Hana mihela
 
Hatuna tofauti we umeacha mahali ila nami ilikuwa ni mtu ambaye tushatambulishana pande zote na kama mipango ingekwenda sawa ilikuwa tufunge ndoa mwishoni mwa mwaka huu but kisicho ridhiki hakiliki.
Wew usijal mkuu mie now ndo naona umuhimu wa single mazaa hapa duniani hawaga shida kabisa wanahuruma sanaa.
binafsi nimeanza waelewa.
 
Nilitaka nikutoe juani sasa unaapia tena hututaki, basi endelea kuumia ila ujue wenda huna sifa za kuwa mke, au unapenda mtu asiye size yako jitathimini shida iko kwako siyo yeye.
 
safi sana!!, kila ikitoe fursa kama hz si za kuchezea kabisa, Nakumbuka ulivyoniambia ""Jaribu bahati yako" ndo mana najitutumua hapa mkuu.
yaap na utahatika mtafutaji hachoki na akichoka kapata huyo
 
relax and move on, wa kwako peke yako anakuja ila uombe Mola kwa imani na kuishi maisha masafi.
 

Siyo kweli. Wanaume wenye true love na tusiochepuka tupo wachache sana kati 1000 utawapata 6.
Unajua wanawake wengi wanapenda wanaume wasumbufu sana ndiyo maana akimpata mwanaume mpole na asiyecheat atampelekesha sana, anamsumbua na wakati mwingine atamcheat jamaa na kumpa majina yasiyofaa mara boya n.k
Na wanawake wengi ukiwauliza utasikia nataka mwanaume mpole, mtulivu, mwenye mapenzi ya dhati lkn maneno haya huwa yapo mdomoni na si moyoni.
Pole sana. Kiufupi wanaume tusiocheat tunazidi kupungua kadri siku zinavyokwenda na mwisho tutafanana wote. Ndiyo tulivyo huwezi kumpata mwanaume asiyecheat kwa sasa na ukimpata ni wa kubahatisha yaan wakulenga kwa manati
 
Hapo bado hujaingia ndoani, ukiingia huku ndio utamu utakukolea
 
Hivi mpaka unamfunia mtu inakuaje!?

Ni mmeo au!?

Alikuwa anaingiza madem chumbani kwenu au!?

Au na wewe ulikuwa unaliwa tu!?
 
Sio mume wangu ila mtu ambaye tushatambulishana pande zote na mpaka kwa wachungaji kanisani na mahari ilikuwa iletwe mwezi wa saba lakini katika yote bado sawa nakubali sistahili kujipa uhalali wa umiliki.
Acha upumbavu.
 
Kosa la mmoja unatujumuisha wote, c haki kabisa
Are we him?? Him we are?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…