Nimeamini mapenzi yanaua

Hata hivyo una roho ngumu sana. Mafumanizi yote hayo bado ulikuwa unataka kuishi nae!!!
Ameweza kukuonyesha kucha zake kabla hata hamjafunga pingu zenu zile. Shukuru Mungu.
Si ajabu tena alikuwa anapita na watu wako wa karibu
 
Ukigundua mtu anakusaliti na akakiri kuwa alikufanyia kusudi, ukiamua kubakia nae jua ni at your own risk.....

Maana ni sawa na kuweka kidole katika moto na unajua kitaungua but unajiaminisha kuwa hautaungua.....



Mtu ambaye anajiheshimu na amepevuka akili hawezi anzisha mizaha katika uhusiano akijua wazi kuwa kwa kufanya hivyo ni kumkosea adabu mwenzake na pia ni ishara ya kutokukua kiakili.

Mtu akikucheat muulize why kafanya hivyo, akisema sababu ni shetani basi wala usitumie nguvu nyingi kumuelewa jua tu once a cheater kuna next time itafuata tu hata iwaje.....


Just ongea nae muachane peacefully bila ugomvi maana mapenzi sio ngumi kusema maisha yasimame na uanze mchukia mtu.

Just badilika, usipende kutumia muda mwingi unagombana na mtu bila kujua kuwa unapoteza muda hapa duniani....unatakiwa ukutane na mtu ambaye mnazungumza lugha moja ya moyo.

Mtu akucheat kwasababu umemzingua na ukimface anakwambia kabisa sababu kuwa kuna jambo alikuwa anataka na wewe umekuwa ukimpuuza ila sio mtu anajisikia tu kushare mapenzi na mtu na kwako hakuna amalalamiko yoyote alishawahi kukwambia
 
Dah nilijua unaandika huku umekufa kumbe hayaui wewe bado uko hai kinacho ua ni ujinga sio mapenzii
 
Kuna kosa kubwa mnafanya mabinti siku hizi mnapoingia kwenye uhusiano ambao unatamani baadae iwe ndoa. Ni kosa kubwa sana kwa msichana kukubalia kumvulia chupi mwanaume unayetaka awe mmeo..!! Yaani huyo hata alie machozi ya damu usimpe hata ulimi..! Ukifanya hilo kosa uwezekano wa kuolewa ni 0.01%.

Vijana ukishampa k na hajakukuta bikra,huwa anajiuliza unawapa wangapi!??. Ukimnyima ni kipimo kizuri sana cha kujua km ni muoaji kweli au anataka kuonja. Yaani afadhali ukagongwe sehemu nyingine lkn yeye usimpe!!!!! Ukimpa tu,hakuna mapenzi lazima akuchukulie we Malaya tu.

Lkn pia,km unampenda mtu na hutaki kumpoteza,usitengeneze mitego ya kumfumania kwa sababu utakayepata maumivu ni wewe mwenyewe na si unayemfumania. Na bahati mbaya yatakuumiza kwa muda mrefu.
 
fungua pm iyo kwanza
 
nitafute upate pumziko la nafsi
 
hasira tu genye zikipanda utawatafuta tu hao wanaume.. huna namna
 
Ndiyo maisha hayo mama afadhali ya hapa kuliko ya kule
 
Kosa tunalo lifanya maishani ni kudhani utambadirisha MTU ukivumilia kila Baya analokufanyia ukidhani IPO cku atabadilika...ulikosea kuzipuuzia red sign ulizoziona KaBla MTU unamfumania umo sometimes maumivu tunajitakia pole bi Dada this too shall pass
 
Anachokosea tu anatujumuisha wanaume wote na huyo Jamaa yake mmoja
Nikweli hilo ndo analokosea mkuu ..ila unajua nn , wanaume sometimes tunahusika sana kuwafanya hawa wanawake wake makatili sana nawenye roho mbaya sana.

Embu tazama Avatar ya huyu mwanamke.,utagundua inamuelezea zaidi yeye ni mwanamke wa aina gani.

Tazama post yake hii. Soma lugha alotumia utaelewa nimwanamke wa aina gani.


Kosa lake lakuwaona wanaume hawafai, limesababishwa na mwanamme aliyemkosea...

Sasa anapokosea zaidi nipale anapojiapiza kutokuja kumwamin mwanamme tena,, yaan akija kuingia mapenzin ,atahisi km mtu anataka kumchezea tu naivo atakua mgumu kuamini.


Rosalie_J utakapopendwa tena, acha moyo upende,na upende kama vile hujawah kuumizwa
 
Endelea kutokumuamini wenzako wenye kuwaamini wenzi wao waendelee kuyafaidi mapenzi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…