DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Wanajamvi
Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.
Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.
LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.
NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.
Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.