Nimeamini Dr Slaa ni Mwanasiasa hatari

Nimeamini Dr Slaa ni Mwanasiasa hatari

Status
Not open for further replies.
Wanajamvi

Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.

Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.

LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.

NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.

Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.

Umevurugwa wewe! Hopeless!
 
Siasa za Tanzania ni majanga tupu.

Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Dr. Slaa alienda Kigoma kujipima nguvu na mwanachama wa CHADEMA aliyetokea kuzaliwa Tanzania lakini katika sehemu iliyogawanywa kiutawala na kuitwa Mkoa wa Kigoma.

Yaani kiongozi wa kitaifa anaenda kujipima nguvu na wanachama wake?. This is fun!.

Kwa sasa hata ajenda za kitaifa zimekuwa kaput na kilichobaki ni kupimana nguvu za kisiasa ndani ya chama. Au hizi kwa mitazamo yao ndiyo ajenda za kitaifa?.

Kwa nini kupimana kwanza nguvu kisiasa wakati misahafu ya chama ipo na waliopewa kuitumia wapo?. Hii ni dalili ya kutokujiamini na kuamini kile unachokisimamia kama si kweli na huru kwa hiyo hii ni njia ya kutafuta deliberation kwa mihemko ya pepo za kisiasa kuliko katiba, kanuni, miiko na itifaki.

madhaifu ya uongozi yako ya aina nyingi na viongozi mara nyingi wanatumia ujanja wa kuyaficha katika hoja za maamuzi ya hekima na busara lakini kiuharisia haipo.

Siku kumi na nne ziko wapi ili kieleweke?.
 
Watu wenye mawazo ya namna hiyo, kwanza mlisema akienda huko sasa hivi itakuwa balaa, ameenda amepokewa vizuri na watu wengi sana, kasoro watu wachache ambao inadhaniwa kwamba sio wanachama wa Chadema. Vile vile mlisema hatapata watu atasusiwa, na actually kuna watu wenu mwanzoni wakaleta taarifa za uongo eti kapokewa na piki piki tano na watu wachache sana....yote hayo yameonekana propaganda na idadi ya watu waliojitokeza kumsupport sina haja ya kuileza, unaiona mwenyewe....
Sasa propaganda zenu zote zimeshindwa, eti unakuja na nyingine hii mpya.

Nikuhakikishie tu kwamba Zitto atafukuzwa Chadema na wanachadema wa-kweli wataunga mkono hatua hizo, watakaopinga ni CCM, mamluki wa CCM walioko chadema na watu kama nyie !

Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
 
Siasa za Tanzania ni majanga tupu.

Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Dr. Slaa alienda Kigoma kujipima nguvu na mwanachama wa CHADEMA aliyetokea kuzaliwa Tanzania lakini katika sehemu iliyogawanywa kiutawala na kuitwa Mkoa wa Kigoma.

Yaani kiongozi wa kitaifa anaenda kujipima nguvu na wanachama wake?. This is fun!.

Kwa sasa hata ajenda za kitaifa zimekuwa kaput na kilichobaki ni kupimana nguvu za kisiasa ndani ya chama. Au hizi kwa mitazamo yao ndiyo ajenda za kitaifa?.

Kwa nini kupimana kwanza nguvu kisiasa wakati misahafu ya chama ipo na waliopewa kuitumia wapo?. Hii ni dalili ya kutokujiamini na kuamini kile unachokisimamia kama si kweli na huru kwa hiyo hii ni njia ya kutafuta deliberation kwa mihemko ya pepo za kisiasa kuliko katiba, kanuni, miiko na itifaki.

madhaifu ya uongozi yako ya aina nyingi na viongozi mara nyingi wanatumia ujanja wa kuyaficha katika hoja za maamuzi ya hekima na busara lakini kiuharisia haipo.

Siku kumi na nne ziko wapi ili kieleweke?.

Slaa sio tu hajiamini yeye peke yake no! Ni maagizo toka Tengeru ili kwenda ku beep wanakigoma kama wataikubali saccos hii,bila Kijana wao Zito. Hapo swala la Sera,katiba na mikakati ya chama halipo! Na ndio maana babu kasema yuko tayari kufa kuliko asifike Kigoma mjini! Hayo sio matakwa yake ni malipo anayolipwa na Mtei na Mbowe ili kumsakizia babu akapime maji kwa kuingiza miguu yote! Kama kweli wamekwenda kuimarisha chama,basi wangemchukua na Zito,kwani bado ni mwanachama, na ni mwenyeji wao,na pengine angeongea hadharani na kuwaambia wanakigoma kuwa wawe na subira kwani matatizo alionayo ni ya kawaida kwa kuwajibishana ndani ya chadema.Lakini wapi! Babu anapimana ubavu na kijana mdogo,na ataadhirika we subiri tu!
 
Dr. Slaa ni mwanasiasa hasa. Ningewaelewa wana kigoma kama wasingeenda kwenye mikutano, lakini kufanya fujo ni jambo lisilo kubalika hata kidogo!
 
Wanajamvi

Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.

Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.

LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.

NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.

Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.

Umemaliza mkuu.. Wampige risasi waone kama nchi hii itatawalika tena..Nasema tutashika mtutu wa bunduki mpaka kizazi chote kiishe.. Slaa ni mpango wa Mungu na anayejaribu kumzuia anazuia kazi za Mungu..Hatutakuwa tayari kuona unyama wowote utendeke kwa Dr. Tutachinjana tuishe wote..mmffyyyuuuuu
 
Siasa za Tanzania ni majanga tupu.

Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Dr. Slaa alienda Kigoma kujipima nguvu na mwanachama wa CHADEMA aliyetokea kuzaliwa Tanzania lakini katika sehemu iliyogawanywa kiutawala na kuitwa Mkoa wa Kigoma.

Yaani kiongozi wa kitaifa anaenda kujipima nguvu na wanachama wake?. This is fun!.

Kwa sasa hata ajenda za kitaifa zimekuwa kaput na kilichobaki ni kupimana nguvu za kisiasa ndani ya chama. Au hizi kwa mitazamo yao ndiyo ajenda za kitaifa?.

Kwa nini kupimana kwanza nguvu kisiasa wakati misahafu ya chama ipo na waliopewa kuitumia wapo?. Hii ni dalili ya kutokujiamini na kuamini kile unachokisimamia kama si kweli na huru kwa hiyo hii ni njia ya kutafuta deliberation kwa mihemko ya pepo za kisiasa kuliko katiba, kanuni, miiko na itifaki.

madhaifu ya uongozi yako ya aina nyingi na viongozi mara nyingi wanatumia ujanja wa kuyaficha katika hoja za maamuzi ya hekima na busara lakini kiuharisia haipo.

Siku kumi na nne ziko wapi ili kieleweke?.

safari ya Dr Slaa ilishapangwa tangu june, juu ya siku kumi na nne huhesabii siku uliyotoa tamko unahesabia siku uliyomkabidhi mhusika...sasa basi uliza mtuhumiwa wa mwisho kasha kabidhiwa barua au bado anaikimbia...
 
Slaa ni kama mvua akiamua kunyesha ananyesha tuuuuuu!! Hakuna kulala mpaka kieleweke! Zzk atangoja sana na magenge yake ya wahuni.
 
Ziara za Dr. Slaa ulipangwa kabla hata waraka wa Kitila na wenzake haujajulikana - Kwa hiyo hoja yako haina ukweli wowote.....Hata hiyo tuki-assume unachosema ni kweli, watu wa kigoma wameonyesha kusupport kwa kiwango kikubwa Chadema hata baada ya kumvua Zitto madaraka kinyume kabisa na nyie CCM mlivyokuwa mnadai......

Slaa sio tu hajiamini yeye peke yake no! Ni maagizo toka Tengeru ili kwenda ku beep wanakigoma kama wataikubali saccos hii,bila Kijana wao Zito. Hapo swala la Sera,katiba na mikakati ya chama halipo! Na ndio maana babu kasema yuko tayari kufa kuliko asifike Kigoma mjini! Hayo sio matakwa yake ni malipo anayolipwa na Mtei na Mbowe ili kumsakizia babu akapime maji kwa kuingiza miguu yote! Kama kweli wamekwenda kuimarisha chama,basi wangemchukua na Zito,kwani bado ni mwanachama, na ni mwenyeji wao,na pengine angeongea hadharani na kuwaambia wanakigoma kuwa wawe na subira kwani matatizo alionayo ni ya kawaida kwa kuwajibishana ndani ya chadema.Lakini wapi! Babu anapimana ubavu na kijana mdogo,na ataadhirika we subiri tu!
 
Yanayojiri hivi sasa kwenye ziara ya Dr Slaa ni matokeo ya maamuzi ya kukurupuka ya CDM, kulikuwa na ulazima gani wakufanya ziara kipindi hiki tena kwa kulenga mikoa ambayo mmewanyang'anya uongozi majembe yao?

CDM inabidi wajipange vizuri kudeal na tofauti zao,
 
Ni aibu sana kwa chama kikongwe kuja na mbinu za kichovu kama hizi! CCM kwishinei.
 
Slaa sio tu hajiamini yeye peke yake no! Ni maagizo toka Tengeru ili kwenda ku beep wanakigoma kama wataikubali saccos hii,bila Kijana wao Zito. Hapo swala la Sera,katiba na mikakati ya chama halipo! Na ndio maana babu kasema yuko tayari kufa kuliko asifike Kigoma mjini! Hayo sio matakwa yake ni malipo anayolipwa na Mtei na Mbowe ili kumsakizia babu akapime maji kwa kuingiza miguu yote! Kama kweli wamekwenda kuimarisha chama,basi wangemchukua na Zito,kwani bado ni mwanachama, na ni mwenyeji wao,na pengine angeongea hadharani na kuwaambia wanakigoma kuwa wawe na subira kwani matatizo alionayo ni ya kawaida kwa kuwajibishana ndani ya chadema.Lakini wapi! Babu anapimana ubavu na kijana mdogo,na ataadhirika we subiri tu!

Hongera Dr Slaa kwani pamoja na ngonjera nyingi za magamba,wananchi wa kigoma wanajitokeza kukupokea na kukusikiliza.Tunajua magamba na vibaraka vyake yamepata pigo kubwa na ndio maana yameishia kufanya fujo tu kwenye mikutano yako!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom