Nimeamini Dr Slaa ni Mwanasiasa hatari

Status
Not open for further replies.

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,652
2,627
Wanajamvi

Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.

Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.

LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.

NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.

Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.
 
CCM wana style nyingi sana za kukata roho!!!! Matumizi makubwa ya pesa za kuhonga waandamanaji ni mbinu mojawapo.
 
Wanajamvi

Nimekuwa nafuatilia ziara ya katibu mkuu wa chadema DR WILBROD SLAA kuanzia mkoa wa Shinyanga mpaka Kigoma.

Toka mwanzo hujuma toka upande wa pili uliokumbwa na panga la utendaji kikatiba wakishirikiana na CCM zilibainishwa kuwa itafanyika kwa kivuli cha eti kuwa DR SLAA HATAKIWI HUKO.

LENGO la hadhari ya watu hao ni kutaka cdm ifute ziara ya katibu ili wapate headlines kuwa SLAA AOGOPA NGUVU YA UMMA,ila katu ziara hizo hazijafutwa.

NINAPOMSHANGAA DR SLAA ni kitendo cha kufanya mikutano yake ktk taharuki iliyoandaliwa kwa GHARAMA KUBWA NA UPANDE ULE na bado akapata watu licha ya mikwara ya watu hao wenye nia ya kuona dr slaa anawakuta watu 30 kama KINANA.

Kwa hali ilivyo kule kigoma eti watu kumi walioandaliwa tena kwa gharama kubwa na WENZETU na kuanza kuporomosha matusi mbele ya UMATI MKUBWA wa wana chadema ni wazi kuwa HATA KIGOMA WANAJUA ZITTO AMECHUKULIWA HATUA STAHIKI.

Amewaweza,Traitors na mabosi wao wameaibika vilivyo!
 
Kwanza ni mwanasiasa anayekubalika! Wanaompinga ni wachache mno! Pili anajua jinsi ya ku handle upinzani! KItendo cha kuruhusu mabango yale, tena yawekwe mbele badala ya kutumia nguvu kuyapinga na kuyakataa ni mbinu nambayo wanasiasa wengi hawawezi. Lakini pia kujizuia asitaje moja kwa moja jina la Zitto ni ukomavu na utashi wa hali ya juu sana! JUmla ya Ziara ile ni kudhalilika kwa wanaopinga CDM!
 
Ccm wanahangaika tu,kama madarakani tuliwaweka sisi ni sisi hao hao tutakaowatoa madarakani,ila kama waliwekwa madarakani kwa fedha haramu bs hizo hizo ndizo zitakaziwarudisha madarakani.

Nampongeza sana Dr slaa kwa uvumilivu wake pamoja na changamoto za magamba
 
Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco
 
Watu wa Kanda ya Ziwa wamedhihirisha kuwa wanafuata sera siyo mtu.

Ole wao waliojiunga chadema kwa ajili ya mtu.

Aibu kwa Zitto Kabwe na CCM
 
attachment.php
 
TeamLowassa,obviosly huwezi kupenda pande mbili,ukiona ivyo zote zinakulipa.TEAMZITTO na TEAMLOWASSA zote zako.Ila sishangai kwa kuwa UNAISHI KWA BAHASHA MJINI.
 
Mmmmh sasa ni.hatari ki vipi????!!!

Kupambana na dola Tanzania kuna usalama? Dola inayokibeba chama cha mapinduzi ndiyo inayopambana na CHADEMA na wala si CCM, mipango yote ya KIDHALIMU ni kwa gharama zao ..... wewe uliye chini ya kivuliwa cha dola hauoni hilo
 
Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco

Haya yote una yasema kujikweza.... Eti "imepangwa siku nyingi .... mbona hamkusema siku hizo kuwa upo mpango wa aina hiyo?

Umahiri duni wa maono ya wanaojiita wana CCM ndio uhafifu mwenendo wa taifa letu wanaogopa weledi ukitawala hakuna chao kitakachobakia
 
Hata sisi wengine tusio Chadema, tunafuatilia kwa karibu huku tukisubiria ile hatma na ukiisha tekelezwa kama vile ilivyokuwa imepangwa siku nyingi ikisubiri tuu utekelezaji, then nashauri arejee huko kuwaeleza Wana Ki goma sababu za maamuzi hayo ndipo angalau mtawafahamu vizuri hawa jamaa!.
Pasco

Labda nawewe uniambie mpango wenu mlio usema mbele ya RPC kigoma wa kumuua umeishia wapi? Pole Gamba!
 
Watu wa Kanda ya Ziwa wamedhihirisha kuwa wanafuata sera siyo mtu.

Ole wao waliojiunga chadema kwa ajili ya mtu.

Aibu kwa Zitto Kabwe na CCM

Walio jiunga CHADEMA kwa ajili ya Zitto watang'olewa pamoja na Zitto wao watazikwa pamoja na Zitto wao.Wamevumiliwa vya kutosha liwalo na liwe.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom