snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 17,710
- 23,646
My scenario iko hivi
Tulizaliwa wawili,
Baba, Mama na Mdogo wangu wote wamefariki
Baada ya baba kufariki , tuliishi na mama , tulikuwa wadogo so sijui nani aliteuliwa kama msimamizi a mirathi
Baada ya mama kufariki, tuliiishi na ndugu kwa kuungaunga mpaka tumekua tukaishi wenyewe.
Mzee aliacha nyumba mbili, moja aliishi mdogo wangu nyingine tukapangisha.
Nimeendelea kuzihudumia hizi nyumba ever since. Ndugu ni kama wamezisusa na ni kama walitususa pia.
Ndugu wa baba yangu wanauza sana nyumba za marehemu ndugu zao(kulikua na baba zangu wengine wadogo na shangazi na babu walikua na mali ziliuzwa uzwaaa hakuna hata tunachojua kilichoishia. Sasa wamebaki baba zangu wadogo wawili.
Niliwekeza kwenye nyumba za mzee nikiamini zitawasaidia kusomesha watoto wangu na watoto wa marehemu mdogo wangu(ninawalea wote 3).
Nimekuja kuambiwa WAJUKUU hawarithi na iwapo lolote litanikuta , Mali zinarudi kwenye familia ya Marehemu baba yangu.
Kimsingi hayupo mwenye utashi wa kulea hawa watoto wa marehemu, (SILIONI HILO AS HATA MIMI NA MDOGO ANGU TULIJILEA WENYEWE Kisela tu mpk tumekua).
Sitaki hii kitu iwakute hawa WAJUKUU
Hofu yangu ni haki yao kulindwa ikiwa sitakuwepo(Nitafariki)
Nia yangu nataka kuuza nyumba hizo ili nizihamishe nikawajengee kwingine kisha niwaandikishe wajukuu |(hasa hao watoto wa mdogo wangu) wangu sina mashaka as wanarithi ka baba yao, na anaawekezea pia.
Hofu yangu ni hawa watoto wa mdogo wangu.
Naomba ushauri hapa nafanyaje?