Nimeachwa tena

UMEACHWA TENA!!!
Ni mara ya ngap unaachwa?(Inaonekana ni mara nyingi)

Umeachwa na mwanume huyo huyo au wanaume tofauti?

Kuna aliyekuuliza hayo maswali ukaruka viunzu
 
UMEACHWA TENA!!!
Ni mara ya ngap unaachwa?(Inaonekana ni mara nyingi)

Umeachwa na mwanume huyo huyo au wanaume tofauti?

Kuna aliyekuuliza hayo maswali ukaruka viunzu
Mbona nilijibu mkuu, kabla ya kuleta huu uzi humu niliwahi kuleta uzi kama huu kama miaka 5au6 iliyopita na tabia za humu huwa mnapenda sana kufukunyua kwaiyo niliandika hivyo just in case mkienda kunisakua ckua na maana nyingine kabisaa....
 
Ungekua hujazalishwa,ningekupa hifadhi ya kudumu kwangu.
Hilo jamaa lako nalo lina utoto balaa.
 
Pole,na hilo virginity jina badili andika virginity iliyobanduliwa au virginity ola kuanzia sasa.
 
Mnunulie simu mwenzio...
 
Chumvi ikiisha ladha hakuna kiwatilifu chochote cha kuweza kuirudisha.. Hisia ni kama uhai zikifa hazifufuki tena.. Vumilia upite kipindi hiki kwa amani UTASIMAMA TENA! UTAPENDWA TENA!
 
Umesema hapendi mtoko
 
Umeandika mambo mengi kwa kusikiliza upande mmoja tu. Kwenye mahusiano usisikilize upande mmoja sikiliza pande zote mbili ndio utoe maamuzi. Hakuna mwanaume anayeweza kumwacha mwanamke katika situation aliyotoa mtoa mada kuna mengi sana nyuma ya pazia naamini hayajasemwa. Hatuna uwezo wa kumsikiliza mwanaume lakini story hii imewekwa kutushawishi tu tukae upande wa mwanamke ila kiuhalisia demu katupanga na hapa hatapata sululu ya jambo lake
 
Ushauri mbovu kabisaa huu
 
Tatzo lenu mnataka 50/50 unaambiwa rud nyumban unakaid labda jamaa alikuwa anataka kuchakata ukamlaza wima km watchman unajua shida anayopata mwanaume ikiwa anataka kuchakata na akakosa mbususu tena kisa sherehe kwendraaa amna namna
Hahahaaa kbsaa wanawake wana shida sanaaa ,ila huyo dada ni jeuri tuu hakuna kingine kwanza kasema sherehe ilikuwa jirani tuu na kwa nn asingeenda kumsikiliza mume , mume ana nafasi kubwa sanaaa sasa alithamini harusi kuliko kupeleka funguo kwa mume ,UJINGA
 
NAKAZIA
na uzi ufungwe
Kakuchoka na nyie wanawake pigeni kazi msitegemee wanaume
 
We sema umeachwa kiutaniutani Kuna wazee wa kimasihara humu balaaπŸ˜€πŸ˜€
Hili jambo serious, nimepigwa chini kweli πŸ˜” nipo nadraft vigezo nizame love connect kutafuta ubavu tena sijui ntapata ubavu au ndio ntapata mkia....muniombee πŸ™‚
 
Hili jambo serious, nimepigwa chini kweli πŸ˜” nipo nadraft vigezo nizame love connect kutafuta ubavu tena sijui ntapata ubavu au ndio ntapata mkia....muniombee πŸ™‚
Mi mwenyewe natafuta jiko lakini linalotumia mkaa kidogo tunaweza kuanzia hapo tukaungaunga maisha yaliyobaki πŸ˜…
 
Chumvi ikiisha ladha hakuna kiwatilifu chochote cha kuweza kuirudisha.. Hisia ni kama uhai zikifa hazifufuki tena.. Vumilia upite kipindi hiki kwa amani UTASIMAMA TENA! UTAPENDWA TENA!
Asante kaka
 
Mi mwenyewe natafuta jiko lakini linalotumia mkaa kidogo tunaweza kuanzia hapo tukaungaunga maisha yaliyobaki πŸ˜…
Ntaangalia kwenye first draft ya vigezo kama unafit 😁😁😁 tembea tembea love connect unaweza kuokota mke asubuhi asubuhi saa kumi watu wakawasha ubani na kula kalmat chai kwenye mikeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…