Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

Wanaume hawana dhamana,

Baki ulivyo, kuna siku atakuja atakayekung'ang'ania,

Lakini pia usikae ukadhani uzuri ni sifa ya kukaa na mwanaume kwa muda mrefu.
 
You AR so decent ,ila angalia type ya wanaume unao date now na wewe mwenyewe unajiwekaje,mbali na hilo relationship is destiny
 
duh usijitoe sana kwa wanaume, watakuumiza tu, tatizo ndugu zetu ninyi hamuwezi kabisa mkishapenda ndo hamsikii

Katika watu wote huyu ndie alikuwa anaanza kukwambia ukweli ila kaishia njiani.

Wataalam wa mahusiano wanaamini uhusuano, kwa mahusiano mengi yanayodumu zaidi ya miezi sita lazima yafe na hayazai ndoa.

Bila shaka unahtaji ndoa ndio maana unaumia kuachwa, kama ingekuwa ni kula bata tu kimjini kisha kila mtu kimpango wake isingekuumiza, na ndio maana huo ni uhusiano wa 5.

Kosa lako ni...kutamani kuanza mapenzi mapya kwa wepesi, na inaonesha ukiwa desperate kama saizi hivi, atakaeonekana anakuja mbele yako unampa nafasi na unakuwa na tumaini kubwa kuwa hapo umetibu tatizo, kumbe umefungulia mlango jambazi la kiume.

Unapaswa kutulia kwanza, usiteswe na mahusiano, ya dharau mapenzi, kisha uwe na kibuli cha mapenzi, usivue chupi kwa kila mwanaume, wanaume wengi tuna watu wetu na ninyi wazuri wa sura/umbile ni wakurukia tu, na kusafisha bunduki, na ukivuliwa nguo unabaki kuwa big G iliotafunwa, hapo utaachwa milele.

Napenda kipande kimoja cha wimbo wa MB dogg Ratifa, alisema penzi la dhati ratifa utajua tu. Hatanww uwe na akili ya kupimaapenzinya dhati.

Na ukweli ndio huo usiwe mwepesi wa ndio mzee, wanaume wengi walaji na kupita ukiwazingua kidogo tu wanapotea (japo sio wote). Ila kuna hii pia mwanaume anaekuangaikia kukupata usiku na mchana mfululizo kwa muda mrefu hata wa mwaka mmoja tu, kukuacha huyo ni ngumu, wape wanaume ugumu kukupata.

Akijua hustle ya kukupata hakuachi kiurahs. So ushauri wangu mkubwa usipende vua chupi haraka, usipende penda mpk unaoza kama ushatolewa mahali vile, usipende kuanzisha uhusiano mpya kutibu jeraha la uhusiano wa zamani. penda ila kwa kiburi, jamaa atakuwa makini, atajua akizingua anaaachwa.

Kama unalenga ndoa hakikisha ndani ya miezi sita walau muoaji anaonesha nia tena iliopimwa ukaiona ni ya dhati.

Unapotongozwa penda kuwa na maneno yanayomkatisha mwanaume tamaa mapema, ya kukera, wagongaji huyakimbia haya mapema. Wa dhati wengi huyavumilia.

Jioni njema.
 
Pole mama, there is a reason and season for every matter under the sun. Ujipe mapumziko, no man is worth your time and tears.
Kama unasali anza kusali kwa kumaanisha... tatizo ni kusali huku unashiriki zinaa, shetani anafurahi unapovurugika na kuvunjika moyo hivyo usichanganye mambo ukampa kibali akuletee fake material zake ziendelee kukuumiza.
Jambo lingine, watu wengine wanaweza kukuona mzuri na uko vizuri na watu ila mtu wako akawa hakuoni hivyo moja ya sababu ni sababu za kiroho. ..mume wa kiroho, hawa ma spiritual husband huwa wanataka wanawake wazuri pia so unakuta sometimes bila kujua umeonesha tabia ya ajabu mf. Kuwa controlling wkt wanaume hawataki kutawaliwa lkn sio wewe ni the spiritual husband ana operate. Huwa yanavuruga sana mahusiano mpk ndoa za watu. Tafuta maombezi

Nimependa ushauri wako na umenifungua macho. Kiukweli spirit husband wanaharibu mambo sana.

cha msingi awe serious kwenye kusali na atampata tu aliyepangiwa na Mungu.

I side with you that " no man is worth her time and tears"

Pole sana dogo ila jipe moyo na jiangalie tena mwenyewe, maybe you are too good to them. It is not good to do all what you did while only girlfriends, hivi ukiwa mchumba si utahamia kabisaaaa

hahahahaha jocking ili ucheke kidogo.
 
Pole mamii. Kuna kipengele hujagusia. Kunako 6x6 inakuaje? Hilo ni eneo muhimu ktk mapenzi. Uko fit? Hakunavitu vidogo2 vinavyoweza kuwa vinachangia? K kavu hupendwa. Mihemko na madoido pia. Kinywa kinatoa harifu mby? Unamhudumia vp baada ya tendo? Una overdo kwenye game? Jitafakari ktk nyanja hiyo
 
Hi All,

Jamani honestly nina stress acha tu.

Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.

Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.

Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.

Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.

Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini,
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu,
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi,
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza,
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali,
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
MY BEHAVIOUR KWNY MAHUSIANO
Jmn sijisifu but ni mtu ninaependa mwanaume mmoja in a time,sio ombaomba japo naweza omba hela nikiwa na shida like 3,4 times a year,(sijui ni mara chache au nyingi),najali,nacare,napika,nampa mapenzi ,namuuguza akiugua,namsikiliza,namheshimu,mambo ya massage na madeko yote nnayojua,siko desperate,sijawah zungumzia ndoa japo i may give some hints,inshort am a total woman n i let him be the man,
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena

naomba niwe rafiki yako tu share some issues plz am serious not joking,,,,something to with psychological way.....
 
Njoo huku Bibie badiebey utulie hapa hakika we ndio utaniacha mi sina tabia ya kuacha.....
 
Last edited by a moderator:

Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi,
charming, intelligent nk.

Hicho unachoita imtelligence inawezekana likawa tatizo, hakuna mwanaume anapenda mwanamke mjuaji juaji...nina sister angu ana tabia kama zako, possible ukawa ni wewe...!!
 
1. Wewe kabila gani?

2. Sorry for this question: Hapo Ikulu pakoje (mnato, uji uji, pechepeche, kavuuu n.k)

3. Unafanya kazi wapi?

4. Kampani yako ipoje?

5. Unaishi kwenu, au umepanga?

6. Kwann umekubali kuachwa mara 5, bila sababu?

Unaweza kunijibu inbox au hadharani, then nitakuambia nini cha kufanya!?
 
Hi. Pole sn. I understand the way ur going thru ... Naomba ujipe muda ujitathmini best .... They may be wrong ....bt u may b wrong too
 
Chukua ukwaju na limau tia ktk maji weka chumvi kidogo oga .ukiachwa tena nitafute
 
pole ila muombe Mungu maana kila kitu anajua yy ipo siku utapata wako alieumbwa kwa ajili yako tulia tu mpendwa.
 
Kwa ushauri tu
Punguza kupenda inaonasha unapenda sana mpaka mwanamme anakuona mpumbavu
 
Pole sana yupo inayeandaliwa hao wote sio chaguo lako, muda ukifika utampata anakayekupenda kwa dhati na hamtAachana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom