badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,117
Hi All,
Jamani honestly nina stress acha tu.
Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.
Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.
Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.
Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.
Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
MY BEHAVIOUR KWNY MAHUSIANO
Jmn sijisifu but ni mtu ninaependa mwanaume mmoja in a time,sio ombaomba japo naweza omba hela nikiwa na shida like 3,4 times a year,(sijui ni mara chache au nyingi),najali,nacare,napika,nampa mapenzi ,namuuguza akiugua,namsikiliza,namheshimu,mambo ya massage na madeko yote nnayojua,siko desperate,sijawah zungumzia ndoa japo i may give some hints,inshort am a total woman n i let him be the man,
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena