rich1
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,967
- 3,189
Tafuta PESA......Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tafuta PESA......Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo
KabisaPole sana dogo.
Ulikua nae huyohuyo ama ulikua na mwingine pembeni, kama ulikua na mwingine basi ongeza mapenz kwa huyu mwingine.
Kama ndo alikua yeye pekee, piga moyo konde jitahidi kutomtafuta kabisa futa namba zake, taratibu tu utamsahau.
Mnajikutaga love boys uongo?Habari wana JF
Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida nini? Anasema hakuna mpaka nilipo mbona saaana akatamuka tu neno moja " naomba uniache " Nikamuulza kivipi anasema tuu nimuache hanipendi.
Tena nashindwa kumwelewa shida nini! Hapa nilipo na hasira natamani hata nikamuue lakini siwezi! Na kumuacha nashindwaaa kabisa naombeni ushauri nifanyeje katika hili?
Da we jamaa utakuwa kuwa kichwa Sana...kwanza kubali kuwa si wewe wa kwanza kuachwa, Obama na umaarufu wote wa kuwa rais wa kwanza mweusi alishawahi kuachwa na mpenz wake, kila mwanaume ameshawahi pitia hayo, sasa wote tungeua ingekuaje?
jipange upya, kula vizuri fanya mazoezi rekebisha mapungufu yako kama yapo, jifunze jinsi ya kuwa mwanaume gentleman kwa kusoma nyaraka mbalimbali, tafuta marafiki wa kike piga nao stories, siku ukiamua tafuta mwanamke ambae anakuvutia sana, utampata!
.
.
Hongera sana kwa kuachwa, na pole sana kwa unavyojisikia, japo hio ni hatua ya kwanza ya uanaume, imagine uoe sasa na hio hali halafu upate kashkash za ndoa si utaua wewe! relax kijana relax!
Ndo unapofeli gari lazima liwe na tairi ya ziada mzee baba ikitokea kama hyo yako huhangaiki kuumiza kichwa na kuja kutafta huruma huku unampa go ahead unasogeza chombo ingine ovaNdio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo