Nimeachwa na mpenzi wangu, nifanye nini niimudu hali hii?

arlafat

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
840
1,000
hu mwez umeanza vibaya asee afazar hata wew mpuuz wako anajibu hata mesej na kukupa sabbu ya kukuacha , mie pia mshenz wangu huku kanilia buyu, hapokei smu zangu, hajibu sms, wala wasap ana view status na blue tick lkn hajibu kitu, chaajabu msheni yule nkimtafta kwa nmba ngeni anarespond vizur sana tena kwa ucheshi mkubwanikishajitambulisha kuwa ni mimi, simu inakatwa na mesej ndo hazijibiwi tena yaani daaaa...Asa namimi nikaue??

mimi uamuz wangu nimesitisha sehem zote tulzokuwa tunachat, mfano wasap, hii nimefuta na siiwek mpka ntakapojilizisha kuwa nikiingia sitopata hisia za kumbukumb zake, pia vdeo na picha ni kufuta, mesej za normal text ni kufuta, call history nayo kufuta, pia kuto ruhusu hisia zozote nzur kumuhus yeye,.

la mwisho nimewekeza muda zaid kwa watot wazur wengine ikiwa ni pamoja na kuchat nao kwa muda mrefu ili kupunguza gap la kumuwasa yule mshenz

note:- Namba yake sifuti, ipo kwa ajili ya dharula na special revenge hapo nitakapopata mwanya wa kulipiza haya alyonfanyia mtoto wa mwanamke mwnzake, naapa humu uyu dem akijirengesha nitamliza mpka mama yake uko aliko tumbo la uzaz limcheze...kama utasoma hii wew fulani jua kuwa I'm waiting you
Kwani mkuu ukifuta namba akikutafuta si atajitambulisha, una haribu sana mkuu manzi akikutafuta akajua hukufuta namba yake jua maumivu yatakupiga wewe sio yeye, jiandae kulia tena.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,157
2,000
Habari wana JF

Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida nini? Anasema hakuna mpaka nilipo mbona saaana akatamuka tu neno moja " naomba uniache " Nikamuulza kivipi anasema tuu nimuache hanipendi.

Tena nashindwa kumwelewa shida nini! Hapa nilipo na hasira natamani hata nikamuue lakini siwezi! Na kumuacha nashindwaaa kabisa naombeni ushauri nifanyeje katika hili?
Ulitupa vyote ukachukua vyote.
Kale ka wimbo ka kumbe ndivyo ulivyo kanasikitisha sana
 
Ushindi victory

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
526
1,000
Kwani mkuu ukifuta namba akikutafuta si atajitambulisha, una haribu sana mkuu manzi akikutafuta akajua hukufuta namba yake jua maumivu yatakupiga wewe sio yeye, jiandae kulia tena.
ntamkumbukaj sasa nsipo save nmb yake, wengne tukifutaga nmba, inamaanish tushamfuta huyo mtu kbsa na mission completed, sas m huyu mission bado

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
1,506
2,000
Habari wana JF

Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo hii nimempigia simu ananijibu majibu ya mkato sana. Nikituma sms anajibu kwa mikato nikimuulza shida nini? Anasema hakuna mpaka nilipo mbona saaana akatamuka tu neno moja " naomba uniache " Nikamuulza kivipi anasema tuu nimuache hanipendi.

Tena nashindwa kumwelewa shida nini! Hapa nilipo na hasira natamani hata nikamuue lakini siwezi! Na kumuacha nashindwaaa kabisa naombeni ushauri nifanyeje katika hili?
Mnajikutaga love boys uongo?

Tomb* sepa uone nani atakae kuumiza.

TAFUTA HELA KIJANA MENGINE ANASA TU.

#YNWA
 
choka mbaya

Member
May 17, 2021
40
125
kwanza kubali kuwa si wewe wa kwanza kuachwa, Obama na umaarufu wote wa kuwa rais wa kwanza mweusi alishawahi kuachwa na mpenz wake, kila mwanaume ameshawahi pitia hayo, sasa wote tungeua ingekuaje?

jipange upya, kula vizuri fanya mazoezi rekebisha mapungufu yako kama yapo, jifunze jinsi ya kuwa mwanaume gentleman kwa kusoma nyaraka mbalimbali, tafuta marafiki wa kike piga nao stories, siku ukiamua tafuta mwanamke ambae anakuvutia sana, utampata!
.
.
Hongera sana kwa kuachwa, na pole sana kwa unavyojisikia, japo hio ni hatua ya kwanza ya uanaume, imagine uoe sasa na hio hali halafu upate kashkash za ndoa si utaua wewe! relax kijana relax!
Da we jamaa utakuwa kuwa kichwa Sana...
 
osmaney

JF-Expert Member
Jan 18, 2017
970
1,000
Ukweli ndio huo, hakupendi. usipingane na ukweli. shukuru kakwambia ukweli. ushauri wangu ili kumsahau. kata njia zote za mawasiliano nae, futa picha zake, jikubali unaeza ishi bila yeye. (furaha yako isimtegeme mtu) jipende mwenyew, kua bize na shughuli zako zinazokuingzia kipato.. mwombe Mungu wako. Kama unaona kakukosea msamehe kiroho safi, maana ukimwekea kinyongo itakua ni vgum sana kutoka kichwani. hivyo samehe. jingine kumbuka hata baada ya kuachana ni lazima maisha yaendele. jizoeshe tu mambo yataka sawa. kila lakher
 
Malakipesa

Member
Sep 24, 2021
44
125
Ndio huyo huyo sinaga tabia ya kuwa na wawili nikimpta mmoja huwa nabaki hapo hapo
Ndo unapofeli gari lazima liwe na tairi ya ziada mzee baba ikitokea kama hyo yako huhangaiki kuumiza kichwa na kuja kutafta huruma huku unampa go ahead unasogeza chombo ingine ova
 
arlafat

JF-Expert Member
Jul 3, 2019
840
1,000
ntamkumbukaj sasa nsipo save nmb yake, wengne tukifutaga nmba, inamaanish tushamfuta huyo mtu kbsa na mission completed, sas m huyu mission bado

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Hasa mission complete ki vipi, hapo si lengo aanze yeye kukutafuta ndio ulipe asipokutafuta je au una zani manzi wote wajinga wajinga

Cha kufanya we hapo bet tu futa namba akikutafuta fanya ajute, ila kukaa na namba yake utamtafuta wewe sasa na atakupiga tukio utaliola mara buku zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom