Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,858
- 8,912
Una miaka mingapi na jamaa yako ana miaka mingapi...mnakwaruzana kila mara katika mahusiano yetu. Hivi umemaliza chuo kama ndio unaufaulu wa GPA ngapi? Maana hautakiwi hauelewi kapu limeshavuja hilo endeleaKwao najulikana sana kwetu baadhi ya ndugu wanamfahamu. Yaani mimi baada ya kwenda kwa mwanaume wazazi wa mwanaume waende kwetu kusema kuwa nimeolewa na mtoto wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app