Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 15,822
- 37,811
Mimi sijasema usiolew dadaHakuna raha ila afadhali kuchelewa kuliko niolewe na mtu ambaye siyo sahihi kwangu

OkayMm sijasema usiolew dada
"..... anataka tuishi pasipo ndoa.. ". Mbona tayari mnaishi pasipo ndoa? Unampatia huduma za mke wa ndoa, afu unakuja hapa kulialia. Kwa mtazamo wako unadhani hivyo unavyofanya sasa kugawa uroda kienyeji tu hauwasonineshi wazazi? Badilika, acha ukahaba.Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Good ridance!Wakuu kuna jambo linanitatiza.

Mkuu si ushaachwa tulia atakuja anayetaka kukuoa kwa utaratibu. Endelee tu kuwapenda wazazi wako na familia yako kwa sasa.Asante mkuu mimi nimekuwa na huo msimamo sasa ameamua kuniacha kisa tu sijakubali kuolewa kimyakimya pasipo kuwapa taarifa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akirudi kwa sasa hana nafasi tena kwangu nilisha move on muda mrefu sana.Uamuzi wako ni sahihi.Na hawez kukuacha huyo atarudi tu.
Mkishindwa kulindiana heshima zinazowa involve mpaka wazaz basi hata huko ndani wawili heshima na taratibu mtavunjiana daily.
NB
Hapo sasa akikuotea akakupiga mimba bas ndio kwisha habar yako
Una miaka mingap?!Wakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliUkibahatika kuwa na mtu sahihi mapenz hayana stress kbisa sema ndo ivo
Ungekazia utambulisho kwanza ambalo ndo jambo muhimu zaid,siyo kukazia ndoa,hata mimi ningekutema.Najua hakina mchongo ila siyo busara kuchukuana katika njia isiyo rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haidhuru utapata mwingineWakuu kuna jambo linanitatiza.
Nimekuwa na mahusiano kwa miaka miwili sasa huyu mwenzangu anataka tuchukuane kimya kimya (sogea tuishi) pasipo ndoa rasmi. Anaeleza kuwa baada ya mimi kwenda kwake wazazi wake waende nyumbani kwetu kutoa taarifa kuwa nimeolewa!
Kwa upande wangu nimejaribu kumueleza kuwa siyo jambo la busara mimi kufanya hivyo nahofia wazazi wangu kusononeka (nitakosa baraka za wazazi)
Nimejaribu kumweleza tutambulishane rasmi tufunge ndoa simple tu isiyokuwa na shamrashamra ila amekuwa mgumu kuelewa.
Ameamua kuniacha kisa nimekataa kuolewa kimyakimya pasipo kuwaeleza wazazi kuwa nimepata mchumba.
Bado nampenda sana nifanyeje ili tuweze kufikia suluhu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utambulisho ulikuwa ni kwa masharti kuwa niache kazi niishi kwake ndipo utambulisho ufuate! By the way nilishasahau naendelea na life languUngekazia utambulisho kwanza ambalo ndo jambo muhimu zaid,siyo kukazia ndoa,hata mimi ningekutema.
Ushapata mwingine?Utambulisho ulikuwa ni kwa masharti kuwa niache kazi niishi kwake ndipo utambulisho ufuate! By the way nilishasahau naendelea na life langu