Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

Safi kabisa usije iumiza rooooooo yake😂😂😂😂😂😂😂😂
 
 
Kuna muda nanusa harufu ya kahawa kwny hiz mada za DP..haiwezkan mwanamke awee na shoga ake afu wote wawe wanakuendesha na unakuwa mnyonge kiasi hicho
Mada Ni kweli kabisa...DP ana huruma sana na upendo. Pia yuko social mbayaa
 
The point ninayoitaka hiyo.
Hapo usimpigie simu Wala kumtext kabisa.
In addition block namba yake.
Ukimrudia lazima atakuua
Kumblock namba yake Hicho kipengele,
Ilo la kutompigia na kutojibu text zake ntalifanyia kazi[emoji4]
 
Back
Top Bottom