Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

.
Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.

Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"

Akasema aliona usiku umeenda Kwaiyo akaamua kughaili, ikabd nimwambie anipe Simu nimuulize. Shoga yake kanijibu kua Ni kweli asemayo mamaJ.
Nikajua hawa wote Ni wale wale wananidanganya TU, ila kwasababau Ni ishu ya ugonjwa hebu nisipuuze nifike eneo la tukio

Basi nikamjibu "nakuja" ikabidi niende kule.

Kufika nikakuta nyumba nzima inanuka pombe, chupa tupu zimezagaa sebleni kila kona. Nilivomwangalia mtu mwenyewe Hakuna Cha ugonjwa Wala Nini, Ni pombe TU wamekunywa nyingi Ila uyu shoga mtu Inaonekana Ni Kama kazidiwa na ulevi.
Huyu mamaJ kalewa ila sio kivile Sana.

Nikaona upuuzi huu,
Nikaaga naondoka tutaonana jioni nkitoka kazini,
mamaJ akaanza nisihi nimpeleke hospitali.
Kama inashindikana nimwachie Ela amnunulie chakula Akisema shoga yake kanywa pombe nyingi na tangu asbh alipokunywa chai,mchana hajala chochote na Kichwa chake chepesi.

Ikabidi nimamuulize huyo mdada Kama kweli hajala, akasema wamekula ndiz na nyama. Basi nikaona huyu mamaJ Ni mpuuzi, anatumia gia ya shoga yake apate pesa.

Nikamwambia
"acha uongo wa kipuuz, keshanambia mmekula ndiz na nyama"
Akasisitiza nimpeleke basi hospitali, nikamjibu kuA ulevi hautibiwi hospitalini.
Huyu Muache alale pombe zikiisha kichwani ataamka. Basi nikaondoka zangu.

Nmefika ofsini
mamaJ kanitumia sms 2 akiniomba ninaporudi niende na mboga, kwasababu ya changamoto ya Jana usiku sikuijibu sms yoyote ile.

Akapiga simu nikamwambia,
"Wee tayar ushasema sio wa elfu tano tano, subiri kwanza nipate pesa nyingi, afu ntakuletea"

Akasema
"Basi acha, naona ushaanza drama zako" Kisha akakata sim, nami nikaendlea na shughuli zangu.

Saa 11 baada ya kufunga ofisi,
Nikaenda kwake, nmekuta shoga yake ndo anaamka amka pombe kama zimepungua kichwani. Ikabidi niende baa ya jiran nikamunulia juice ya matunda Kisha nikamwachia anakunywa nikaenda chumban kwa mamaJ bafuni kuoga.

Nmemaliza kuoga,
MamaJ kanidaka juu kwa juu akitaka tufanye mapenzi, nami sikua na hiyana Tukafanya ila saa Moja kasoro usiku tukaja katishwa na Simu ya ghafla nilipigiwa Kuna mtu nilkua na miadi kukutana nae MDA huo, nilishajisahau. Basi nikaenda kuoga Tena na kuaga naondoka.

MamaJ kanisindikiza mpaka getini kaniaga, nmefika kwenye gari ananipigia Simu nmesahau kuacha posho ya meza.
Nikamjibu
"wewe sio wa elfu tano tano, endelea na subira. Siku nikipata pesa nyingi ntaacha tena posho ya meza"

Akakasema
"we mwanaume unasemaje?"

Nikamjibu
"Wewe Ushasema sio wa elfu tano tano, kwasasa endelea tu subira subira.
Siku nikipata pesa nyingi unazotaka ntakuachia tena posho ya meza"

Akajibu "wewe Ni mpumbavu"

Nikasema "sawa" Kisha Akakata Simu

Baada ya Hapo,
Ndo tuma sms Hii akilalama na akitaka mahusiano yaishie hapo hapo.

Sijamjibu chochote mpaka MDA huu[emoji116]View attachment 2340302
Pole sana kiongozi
 
Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.

Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"

Akasema aliona usiku umeenda Kwaiyo akaamua kughaili, ikabd nimwambie anipe Simu nimuulize. Shoga yake kanijibu kua Ni kweli asemayo mamaJ.
Nikajua hawa wote Ni wale wale wananidanganya TU, ila kwasababau Ni ishu ya ugonjwa hebu nisipuuze nifike eneo la tukio

Basi nikamjibu "nakuja" ikabidi niende kule.

Kufika nikakuta nyumba nzima inanuka pombe, chupa tupu zimezagaa sebleni kila kona. Nilivomwangalia mtu mwenyewe Hakuna Cha ugonjwa Wala Nini, Ni pombe TU wamekunywa nyingi Ila uyu shoga mtu Inaonekana Ni Kama kazidiwa na ulevi.
Huyu mamaJ kalewa ila sio kivile Sana.

Nikaona upuuzi huu,
Nikaaga naondoka tutaonana jioni nkitoka kazini,
mamaJ akaanza nisihi nimpeleke hospitali.
Kama inashindikana nimwachie Ela amnunulie chakula Akisema shoga yake kanywa pombe nyingi na tangu asbh alipokunywa chai,mchana hajala chochote na Kichwa chake chepesi.

Ikabidi nimamuulize huyo mdada Kama kweli hajala, akasema wamekula ndiz na nyama. Basi nikaona huyu mamaJ Ni mpuuzi, anatumia gia ya shoga yake apate pesa.

Nikamwambia
"acha uongo wa kipuuz, keshanambia mmekula ndiz na nyama"
Akasisitiza nimpeleke basi hospitali, nikamjibu kuA ulevi hautibiwi hospitalini.
Huyu Muache alale pombe zikiisha kichwani ataamka. Basi nikaondoka zangu.

Nmefika ofsini
mamaJ kanitumia sms 2 akiniomba ninaporudi niende na mboga, kwasababu ya changamoto ya Jana usiku sikuijibu sms yoyote ile.

Akapiga simu nikamwambia,
"Wee tayar ushasema sio wa elfu tano tano, subiri kwanza nipate pesa nyingi, afu ntakuletea"

Akasema
"Basi acha, naona ushaanza drama zako" Kisha akakata sim, nami nikaendlea na shughuli zangu.

Saa 11 baada ya kufunga ofisi,
Nikaenda kwake, nmekuta shoga yake ndo anaamka amka pombe kama zimepungua kichwani. Ikabidi niende baa ya jiran nikamunulia juice ya matunda Kisha nikamwachia anakunywa nikaenda chumban kwa mamaJ bafuni kuoga.

Nmemaliza kuoga,
MamaJ kanidaka juu kwa juu akitaka tufanye mapenzi, nami sikua na hiyana Tukafanya ila saa Moja kasoro usiku tukaja katishwa na Simu ya ghafla nilipigiwa Kuna mtu nilkua na miadi kukutana nae MDA huo, nilishajisahau. Basi nikaenda kuoga Tena na kuaga naondoka.

MamaJ kanisindikiza mpaka getini kaniaga, nmefika kwenye gari ananipigia Simu nmesahau kuacha posho ya meza.
Nikamjibu
"wewe sio wa elfu tano tano, endelea kuvuta subira. Siku nikipata pesa nyingi ntaacha tena posho ya meza"

Akakasema
" wee mwanaume unasemaje?"

Nikamjibu
"Wewe Ushasema sio wa elfu tano tano, kwasasa endelea tu kuvuta subira.
Siku nikipata pesa nyingi unazotaka ntakuachia tena posho ya meza"

Akajibu "wewe Ni mpumbavu"

Nikasema "sawa" Kisha Akakata Simu

Baada ya Hapo,
Ndo akatuma sms Hii akilalama na akitaka mahusiano yaishie hapo hapo.

Sijamjibu chochote mpaka MDA huu[emoji116]View attachment 2340302
Achana nae tu anazngua uyo
 
Mimi huwa akianza kutukana sijibu tena msg wala calls,hasira zikiisha atajishtukia kwamba kavuka mipaka ataanza kujipendekeza mwenyewe. Nachukia sana mwanamke anayeforce umpe hela halafu hata hiyo ndogo anadharau.
 
Mblock ili usione sms zake huruma ikakushika.
Atarudi kwako si kwa upendo bali kwaajili ya njaa zake tu na akimpata don umeisha
Kwa Tabia zake,
Mwanaume wa kumvumilia hayupo,
Kwanza anataka huduma na attention Sana,
Ni wachache tunaweza kumvumilia kwa upuuzi wake
 
Mimi huwa akianza kutukana sijibu tena msg wala calls,hasira zikiisha atajishtukia kwamba kavuka mipaka ataanza kujipendekeza mwenyewe. Nachukia sana mwanamke anayeforce umpe hela halafu hata hiyo ndogo anadharau.
Sahii kabisa,
Yaan akianza kuongea hata kile kidg ulichowai mfanyia,anakisagia kunguni.

Kana kwamba hujawai mfanyia chochote kile,

Ikija ishu ya vitu vikubwa,
Akili unagundua huyu mwanamke Hana shukran, Moyo unagua mzito ghafla.
 
Huyu mama J amekula bata sana na mshikaji msiachane bc daaah nitaumia mie
Yeye ndo kaniacha,
Sina kinyongo nae, akiamua kurudi fresh tu
ila kujinyenyekeza kumfata hiyo hapana, atavimba sana
 
Me nshapewa hadi bia na DP ...
Hata ma J mwenyewe nishaongea nae...sema huyo mchepuko wake ana utoto mwingi na ndugu yangu DP amenogewa na sex ya huyo bi dada kumuacha hawezi
Bora umeshuhudia binamu,
Kuna Watu humu huwa wanafikiri habari za mamaJ huwa nafanya isidingo
 
Sahii kabisa,
Yaan akianza kuongea hata kile kidg ulichowai mfanyia,anakisagia kunguni.

Kana kwamba hujawai mfanyia chochote kile,

Ikija ishu ya vitu vikubwa,
Akili unagundua huyu mwanamke Hana shukran, Moyo unagua mzito ghafla.
mi mwanamke akianza kudharau hicho kidogo naacha kabisa kumpa,hata week haipiti ataanza tena kujipendekeza,hela imekuwa ngumu sana hata wahongaji zamu hii wabahili,akipigwa tukio moja mara ya pili hata 10,000 hapewi
 
UKWELI mtupu umeongea,
Wanwake wanajidekeza Sana,
Hawajui pesa tunaipata mazingira magumu sana
 
Huyu dada anakusumbua sana mkuu nimesoma nyuzi zako kama nne hivi naona unampenda sana ila atakuja kukufilisiachana naye
 
Leo mida ya saa 7 mchana kanitafuta mchana na kunitaarifu kua shoga ake alokua nae Jana kaumwa anajiskia vibaya sana, niwasaidie usafir ampeleke hospital.

Nikamuuliza
"mbona Jana ulinambia uyo shoga yako kaondoka na nauli ukasema ulimpatia"

Akasema aliona usiku umeenda Kwaiyo akaamua kughaili, ikabd nimwambie anipe Simu nimuulize. Shoga yake kanijibu kua Ni kweli asemayo mamaJ.
Nikajua hawa wote Ni wale wale wananidanganya TU, ila kwasababau Ni ishu ya ugonjwa hebu nisipuuze nifike eneo la tukio

Basi nikamjibu "nakuja" ikabidi niende kule.

Kufika nikakuta nyumba nzima inanuka pombe, chupa tupu zimezagaa sebleni kila kona. Nilivomwangalia mtu mwenyewe Hakuna Cha ugonjwa Wala Nini, Ni pombe TU wamekunywa nyingi Ila uyu shoga mtu Inaonekana Ni Kama kazidiwa na ulevi.
Huyu mamaJ kalewa ila sio kivile Sana.

Nikaona upuuzi huu,
Nikaaga naondoka tutaonana jioni nkitoka kazini,
mamaJ akaanza nisihi nimpeleke hospitali.
Kama inashindikana nimwachie Ela amnunulie chakula Akisema shoga yake kanywa pombe nyingi na tangu asbh alipokunywa chai,mchana hajala chochote na Kichwa chake chepesi.

Ikabidi nimamuulize huyo mdada Kama kweli hajala, akasema wamekula ndiz na nyama. Basi nikaona huyu mamaJ Ni mpuuzi, anatumia gia ya shoga yake apate pesa.

Nikamwambia
"acha uongo wa kipuuz, keshanambia mmekula ndiz na nyama"
Akasisitiza nimpeleke basi hospitali, nikamjibu kuA ulevi hautibiwi hospitalini.
Huyu Muache alale pombe zikiisha kichwani ataamka. Basi nikaondoka zangu.

Nmefika ofsini
mamaJ kanitumia sms 2 akiniomba ninaporudi niende na mboga, kwasababu ya changamoto ya Jana usiku sikuijibu sms yoyote ile.

Akapiga simu nikamwambia,
"Wee tayar ushasema sio wa elfu tano tano, subiri kwanza nipate pesa nyingi, afu ntakuletea"

Akasema
"Basi acha, naona ushaanza drama zako" Kisha akakata sim, nami nikaendlea na shughuli zangu.

Saa 11 baada ya kufunga ofisi,
Nikaenda kwake, nmekuta shoga yake ndo anaamka amka pombe kama zimepungua kichwani. Ikabidi niende baa ya jiran nikamunulia juice ya matunda Kisha nikamwachia anakunywa nikaenda chumban kwa mamaJ bafuni kuoga.

Nmemaliza kuoga,
MamaJ kanidaka juu kwa juu akitaka tufanye mapenzi, nami sikua na hiyana Tukafanya ila saa Moja kasoro usiku tukaja katishwa na Simu ya ghafla nilipigiwa Kuna mtu nilkua na miadi kukutana nae MDA huo, nilishajisahau. Basi nikaenda kuoga Tena na kuaga naondoka.

MamaJ kanisindikiza mpaka getini kaniaga, nmefika kwenye gari ananipigia Simu nmesahau kuacha posho ya meza.
Nikamjibu
"wewe sio wa elfu tano tano, endelea kuvuta subira. Siku nikipata pesa nyingi ntaacha tena posho ya meza"

Akakasema
" wee mwanaume unasemaje?"

Nikamjibu
"Wewe Ushasema sio wa elfu tano tano, kwasasa endelea tu kuvuta subira.
Siku nikipata pesa nyingi unazotaka ntakuachia tena posho ya meza"

Akajibu "wewe Ni mpumbavu"

Nikasema "sawa" Kisha Akakata Simu

Baada ya Hapo,
Ndo akatuma sms Hii akilalama na akitaka mahusiano yaishie hapo hapo.

Sijamjibu chochote mpaka MDA huu[emoji116]View attachment 2340302
Hii ni blessing in disguise
 
Shukrani mkuu DeepPond kwa kuwa huwa unatuwekea na screenshot hii inatusaidia watu wengi kujua ni aina gani ya mwanamke ulionae hata tukiwa tunatoa ushauri tunakuwa tumeshapata picha halisi na pia watu wengi watajifunza kupitia huyu manzi.Ushauri wangu kea namna nilivyoona huyo anakupenda hana nia yoyote ya kukuacha hapo anatingisha kibiti ili anyooke usimjibu na wala usiinde kwake yeye mwenyewe ataanza kujikosha na kukutafuta hapo sasa utaweka mamlaka yako kama mwanaume utakaa nae umueleweshe mazingira huku ukimpa onyo, ukifanya hivi angalau atakupa heshima fulani ingawa najua tabia ya mtu ni ngumu kubadilika lakini kuna vitu atavipunguza.
 
1661935053549.jpg
 
Back
Top Bottom