Nimeachwa eti kisa dini yangu,ushauri tafadhari.

Nimeachwa eti kisa dini yangu,ushauri tafadhari.

Hivi ile qorkman's compensation act ya 2008 haiwezi kumlinda kijana? Anataka arudishiwe vocha na ubwabwa aliokuwa anamnunulia gelofrendi aisee.
Hivi MMU siku hizi ni jukwaa la Teenagers na watoto wa vyuo tu? too much childish story. mlikuwa na Memorandum of understanding?

3458_488069907904926_1054220696_n.jpg
 
Kweli wewe mgonjwa. So you love being hated? Adhabu ya mwanamke mmoja aliekutenda unawapa wanawake wote uliokutana nao?
i ddnt like ro play pretence lol. haya bana nitabadilika. ila kumega na kusepa gives me so much power jamani acheni tuu...maana demu ata ukikutana nae body language tuuu inaonyesha kuwa she hates u for wat u did to her but she cnt do anything abt it....just great feeling!!!
 
asanteni kwa ushauri wenu mzuri na nitaufanyia kazi
 
Pole sana kaka. Mimi mwenyewe utofauti wa Imani ulichangia kumwacha mtarajiwa wangu. Be patient, utapata mwingine but UWE MAKINI SANA NA MABINTI WA SASA.
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Nilitaka nishauri kwa kujidanganya utakua mhanga kwa penzi lako la dhati kumbe wrong,
Penye penzi pesa haina nafasi wala huwezi fikiria kudai bro,Love it bring power to give without expecting to receive so wewe kwa kukumbuka kudai hukupenda ulitamani tu na maumivu ya kutamani yanaisha sun wala usjali.
 
i ddnt like ro play pretence lol. haya bana nitabadilika. ila kumega na kusepa gives me so much power jamani acheni tuu...maana demu ata ukikutana nae body language tuuu inaonyesha kuwa she hates u for wat u did to her but she cnt do anything abt it....just great feeling!!!

Mzabzab hilo tatizo la kisaikolojia tayari,me najitolea kukusaidia kwa njia yeyote hadi liishe uondokane na mawzo hayo n respect them gals again,COME FOR HELP
 
pole sana kijana mpotezee 2 ninaimani utampata akupendae kwa dhati usiwe na papara kama ame2ia pesa zako nyingi jaribu kusamehe na ujifunze mapenzi sio pesa ila ni upendo wa dhati
 
wee mwenye kwanza mbona huwi muwazi kuhusu dini yako ama ukisema itakuwa soo?

alafu nyie wanaume mbona bado mna huu uninga waku care demu wakati sio mke wako...hao wapo kibiashara mwana...alishapata kidume dom kinaudumia. hicho cha dini kisingizio tuu.
ushauri wa bure: hesabu hasara na umepata fundosho kuwa mademu wanapenda pesa na muwatumia wanaume. wewe tumia hela ambayo utakusaidia kummega tuu na sio kumuhudumia kama ameshakuwa mke wako vile.

So unataka,asiwe anacare?lzm umudumia dem bwana!
Ila huyo kapata mtu chuo
 
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

Kumega na kusepa sio soln.coz itafika wakati u need som1 wa kutulia nae halafu ukatoswa coz tabia yako inajulikana ht km ww umeshaamua kutulia!
....na kumdai sio issue coz walipeana kimapenz hawakukopeshana
 
Pole ndugu yangu ni mapito tu haya sahau anagalia mbele, Hakuna kitu unachoweza kufanya kwa mwamnamke aliyeamua kufuata maamuzi tofauti na mliyokubaliana, dini yawezekana ni ksingizio, yawezekana kuna mwenzio amemfuata kamuachia na usafiri huyo ndiyo dini yake. Muhimu sahau tu kama vile humjui utampata mwingine wako wengi, hata kwa dada zetu huwa yanawakuta pia jamaa linaamua kumletea mke mwingine bila taarifa na yeye kuamuliwa kuvumilia au kuondoka.

Haka kamchezo kapo sa
 
My experience, niliwahi kupata demu wa dini tofauti na mimi nikapigwa mkwara kama huohuo, lakini binti kwa kuwa alikuwa anannipenda kweli alikuja kuniomba ushauri kuwa je siwezi nikaamua kumtorosha nimpeleke hata kwa dada yangu aliyekuwa anaishi kilometa kama 800 toka sehemu tulipokuwa na akataka ikiwezekana nipige mimba kabisa.
Nilishindwa mimi maana wazo la haraka lililonijia niliogopa in case tunapata ajali njiani halafu mwenzangu ndiye anayepoteza maisha what will happen? Maana nilifikiria kuwa kama nakufa mimi atanisachi achukue nauli arudi je akifa yeye nitafanyaje kwa committment yote aliyonionyesha ya kukubali kutoroka na mimi?
Nguvu ziliniisha nikamuomba tuwe nasubiraa roho abadili fikira za baba yake aliyekuwa kikwazo kwa kusingizia Dini. By the time na give up nilimruhusu aolewe na mtu wa dini yake and the father passed away miezi michache baadae nikajilaumu tena kwamba ningemsubirisha. HAYO NDIYO MAISHA NDUGU YANGU,FUNGA BUTI SONGA MBELE
 
Hapa naona una huzuni juu ya fedha ulizotumia, na sio juu ya kupoteza mpenzi!
 
wee mwenye kwanza mbona huwi muwazi kuhusu dini yako ama ukisema itakuwa soo?

alafu nyie wanaume mbona bado mna huu uninga waku care demu wakati sio mke wako...hao wapo kibiashara mwana...alishapata kidume dom kinaudumia. hicho cha dini kisingizio tuu.
ushauri wa bure: hesabu hasara na umepata fundosho kuwa mademu wanapenda pesa na muwatumia wanaume. wewe tumia hela ambayo utakusaidia kummega tuu na sio kumuhudumia kama ameshakuwa mke wako vile.

asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

hapana mnaboa sana wadada nyie...yaani kisasi lazima maana anajidai mjanja na hii it was calculated

hapa kumdai kwake ni kumuomba tigo tuu. hataki basi full kisasi. hawezi akamfanya kijana ****....mtu anajali wewe wamuona ****

yaani kweli wewe umenisoma...siwapendi nyie wadada basi tuu....full mauzi. mnaringa misa mmepewa K loh!! basi mkiombwa bupa mimogo kibao. ndio maana tunawagegeda na kuwabwaga

ah wewe kupata kisasi mbona easy sana ....

mie nawaheshimu hawa wanawake kama mama na dada zetu lakini wen it comes to mambo ya mapenzi wala sina love yoyote kwao. gegeda tuu na kusepa

its a power thing bwana...wakati una mtongoza demu yeye ndio anakuwa ana power. ukimmega na kumvua chipi wewe unakuwa na power...so mpaka hapo ngoma draw. so iliuonekane kidume wewe ndio umbwage demu...hapo kitu mbili moja.

hahah kumbe wewe mpenzi wa man utd

hahaha...do u know how many women i had to sleep with to get over her?

hapana bana mie sijatendwa...i just hate flip flop attitude ya wanawake towards matters za utamu.

hapana bwana mie sijatendwa...i just hate flip flopping ya wanawake....

i ddnt like ro play pretence lol. haya bana nitabadilika. ila kumega na kusepa gives me so much power jamani acheni tuu...maana demu ata ukikutana nae body language tuuu inaonyesha kuwa she hates u for wat u did to her but she cnt do anything abt it....just great feeling!!!

serves them ryt for making me work for their K. mtu unabembeleza tagikiria raha utapata wewe mwenyewe tuu

nd how is that relevant hapa? am 33 if u must know

hahaha hiyo kali!! so hukula tigo kisa kakupa tigo hahaha. ungetafuta kisasi cha aina nyingine wewe.

hahha i lyk the luk on their face lol...

Unahitaji msaada wa kitaalam as soon as possible.. Deep in ur heart unajijua una matatizo.. Unapata ahueni when u get a chance to "devour" those whom u think're the source of ur pain (in this case women).. Inavyoelekea unaweza ukawa brutal in love making.. yote katika ku-subdue pain in ur heart.. mbaya zaidi u'r in a "self-denial" state.. Hukubali na hutokubali kama una matatizo na unahitaji msaada..
 
Maswali ya msingi sana. Yaani bila aibu mtu anauliza kama adai fedha zake au la! Khaaa! Hiyo ndio shida ya kulinda penzi kwa pesa.

ni heri kutoa kuliko kupokea, yani unapompa mtu pesa au chochote ambacho kwa wakati huo uliona ni sahihi basi usitarajie makubwa kivileeee...
1.Too many girls rush into relationships because of the fear of being single, then start making compromises, and losing their identity. Don’t do that

2.Pain makes people change, but it also makes them stronge

3.The past cannot be changed, forgotten, edited, or erased. It can only be accepted

4.Don’t date the most beautiful girl in the world, date the girl that makes your world the most beautiful

5.Sometimes we waste too much time to think about someone who doesn’t even think about us for a second

6.A relationship is not based on the time you’ve spent together, but the foundation you’ve built together

7.Relationships are like glass. Sometimes it’s better to leave them broken than to hurt yourself trying to put them back together

8.When a girl thinks of her future with her boyfriend, it’s normal. But when a boy thinks of his future with his girlfriend, he’s serious

430619_4819781263635_327534650_n.jpg
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Hizo fedha alikuwa anaomba au ulikuwa unampa "out of love and affection?"
 
Unahitaji msaada wa kitaalam as soon as possible.. Deep in ur heart unajijua una matatizo.. Unapata ahueni when u get a chance to "devour" those whom u think're the source of ur pain (in this case women).. Inavyoelekea unaweza ukawa brutal in love making.. yote katika ku-subdue pain in ur heart.. mbaya zaidi u'r in a "self-denial" state.. Hukubali na hutokubali kama una matatizo na unahitaji msaada..

hahha i never make love...i gegeda.
 
hahha i never make love...i gegeda.

That's wht u think.. U associate lovemakin with love.. Unadhani ukitumia gegedarin itaondoa upole na care na badala yake inakuwa a brutal love makin in a self styled selfishness.. Mule mule.. unahitaji msaada kijana...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom