Nimeachwa eti kisa dini yangu,ushauri tafadhari.

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
1,166
Reaction score
558
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.
 
udai kwani mliwekeana mkataba kuwa malipo ya fedha ulizompa ni kwa ajili ya yeye kubaki na wewe milele?

Wee ulitaka ndoa ya furaha ama fedha na muda wako?

Chunguza kwanza priority yako ni ipi ndio uje ushauriwe.
 
Pole sana mapenzi ndivyo yalivyo!
Kutumia gharama na mambo mengine ni swala la kawaida!
Hivi wakati unampa si ilikuwa ni mapenzi tu? Kwani kulikuwa na mkataba wa kurudishiana? Na kama kulikuwa na mkataba ina maana ulijua mtaachana?
Sijaona sababu ya yeye kurudisha pesa!

We ni mtu wa ajabu sana.

Mi naona ni bora kakwambia mapema kuliko ungeweka matumaini sana! Tulia chini wala usijali utapata atakaye kupenda tena ikiwezekana tafuta wa dini yako!

Hakuwa wako huyo, na unaweza kumpata mwingine na akabadili dini akakufata wewe yote kheri!

Calm down,utapata mwingine na atakupenda pia!
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.
 
Huyo alikuwa amekuwa kitega uchumi, maana kama analijua kuwa wazazi wake watokubali mtu mwenye dini nyingine kwanini alijiingiza kwenye mahusiano
 
Kwani hukujua kuwa mademu wa vyuo huwa ni vigeugeu? Kukupiga chini ni kufumba na kufumbua.
 
Pole sana.Lakini ujue kwamba mkioana wenye imani moja huwa ni jambo nzuri zaidi kuliko kuwa wenye imani tofauti
 
wee mwenye kwanza mbona huwi muwazi kuhusu dini yako ama ukisema itakuwa soo?

alafu nyie wanaume mbona bado mna huu uninga waku care demu wakati sio mke wako...hao wapo kibiashara mwana...alishapata kidume dom kinaudumia. hicho cha dini kisingizio tuu.
ushauri wa bure: hesabu hasara na umepata fundosho kuwa mademu wanapenda pesa na muwatumia wanaume. wewe tumia hela ambayo utakusaidia kummega tuu na sio kumuhudumia kama ameshakuwa mke wako vile.
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

udai!! Kwani nawe raha aliyokupa wakati mkiwa pamoja utairudisha? Mwisho wa siku utataka udai na manii
 
Niko hApa nafanya MASTERS ni-inbox number yake nijuwekee mambo xawa!!!!!!
 
Pole sana kaka. Kwa yaliyotokea mshukuru Mungu huwezi jua amekuepishia na nini. Na huwezi jua pengine amekuandalia wa kwako ndo maana hayo yametokea.

Pili usiangalie sana gharama, angalia utu wako, pesa inatafutwa mzee, ni aibu kwa mwanume kumtake care mwanamke afu mkiachana kudai gharama ulizomhudumia, haiji kabisa. Fanya km vile uliingia kwenye biashara fulani afu ukapata hasara.

Jipe muda, time heals, you will get the RIGHT PERSON for you.
 
Mkuu nina-imagine maumivu ulionayo, lisikuumize sana,pesa inapatikana jitahidi kumsahau kabisa.Ila kulingana na uzoefu wangu iko siku atakukumbuka na atakuwa amechelewa sana.Pole sana, mwanaume huo ndiyo uzoefu.
 
"you can loose a lot of Money chasing women But you will never loose Women Chasing money" itakusaidia siku nyngne..hahah
 
Pole sana kaka. Kwa yaliyotokea mshukuru Mungu huwezi jua amekuepishia na nini. Na huwezi jua pengine amekuandalia wa kwako ndo maana hayo yametokea.

Pili usiangalie sana gharama, angalia utu wako, pesa inatafutwa mzee, ni aibu kwa mwanume kumtake care mwanamke afu mkiachana kudai gharama ulizomhudumia, haiji kabisa. Fanya km vile uliingia kwenye biashara fulani afu ukapata hasara.

Jipe muda, time heals, you will get the RIGHT PERSON for you.

asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa
 
udai kwani mliwekeana mkataba kuwa malipo ya fedha ulizompa ni kwa ajili ya yeye kubaki na wewe milele?

Wee ulitaka ndoa ya furaha ama fedha na muda wako?

Chunguza kwanza priority yako ni ipi ndio uje ushauriwe.

Maswali ya msingi sana. Yaani bila aibu mtu anauliza kama adai fedha zake au la! Khaaa! Hiyo ndio shida ya kulinda penzi kwa pesa.
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Dini gani hiyo .Au mlokokole maana walokole bonge la turn off .mimi sina Dini I don't believe kuna mungu
 
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

Mhhh, mbona mkali sana mzabzab utadhani mimi ndo nimemtosa jamaa.

Sasa akishamfanyia kitu mbaya atapata faida gani zaidi ya kujitafutia murder kesi?

Duina hii si ya kugombania mapezi kaka na kujirisk kwa ajili ya mahusiano.
 
Last edited by a moderator:
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

Adai kwani alimkopesha? Lol!
 
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

Utaenda kumdai kwenye mahakama gani labda?
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

unatakumdai!?? kwani si ulimpa kwa mapenzi yako au ?? hayo ni mambo ya kishamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom