Mhhh, mbona mkali sana mzabzab utadhani mimi ndo nimemtosa jamaa.
Sasa akishamfanyia kitu mbaya atapata faida gani zaidi ya kujitafutia murder kesi?
Duina hii si ya kugombania mapezi kaka na kujirisk kwa ajili ya mahusiano.
hapana mnaboa sana wadada nyie...yaani kisasi lazima maana anajidai mjanja na hii it was calculated
Last edited by a moderator: