Nimeachwa eti kisa dini yangu,ushauri tafadhari.

That's wht u think.. U associate lovemakin with love.. Unadhani ukitumia gegedarin itaondoa upole na care na badala yake inakuwa a brutal love makin in a self styled selfishness.. Mule mule.. unahitaji msaada kijana...

sosoliso mapuaa hahahah unanichekesha kweli...mie nipo mwake i dnt have stress za kubwagwa ama ku deal na drama za wanawake. i just have fun and for that matter siwadanganyi wala kuwapa matumaini ambayo hayapo....so yes i think i am doing better than other men who lie and vive ladiea forlon hopes abt lasting relationship
 
i ddnt like ro play pretence lol. haya bana nitabadilika. ila kumega na kusepa gives me so much power jamani acheni tuu...maana demu ata ukikutana nae body language tuuu inaonyesha kuwa she hates u for wat u did to her but she cnt do anything abt it....just great feeling!!!

Muosha huoshwa, mtenda akitendewa hujiona kaonewa. wewe unawatendea hayo hao wadada lkn kumbuka iko siku yako.
Wengi tuliwona wa design yako ya kuwatenda wadada na walikamatika na wakatendwa vile vile .
Na najua hutakawia kuja hapa kwenye jukwaa kulalamika.
 
hahah lisaaaa my lady frend unlike many men i like to make sure that i keep to my rules. mega once na sepa...no repeats ata siku moja.
 
Utakuwa dini ya Al-shabab au Boko Haramu ndio maana umetoswa!! Fuata ushauri wa TRIPO 9
 
Last edited by a moderator:
hahah lisaaaa my lady frend unlike many men i like to make sure that i keep to my rules. mega once na sepa...no repeats ata siku moja.
Iko sehemu utagusa utaona patamu, na utataka kurepeat hapo sasa ndipo utakapopatikana, wengi wa design zako tumewaona na tunabaki kuwacheka. Ndege mjanja hunasa kwenye -------.
 
simu narudia demu mara ya pili basi i will have to kill her....maana najua itakuwa mwanzo wa matatizo
 
asidai kisa yeye mwanaume!? wacheni zenu mwana huyu lazima alipe tuu asilete zake hapa ...mganyie kitu mbaya hatakusahau....wanajidai wajanja sana hawa...ndio maana nafagilia sana mijamaa inayomega na kusepa ndio dawa yao hawa

Mpe technique za kudai hizo pesa sasa!
 
unatakumdai!?? kwani si ulimpa kwa mapenzi yako au ?? hayo ni mambo ya kishamba

kwani yeye alikuwa hapati burudani?alipe pesa za msela,mwizi mkubwa hyo dem
 
Mfuate hukohuko kwenye dini yake, wewe komaa nae tu!!! dini nini bana? mwambie unabadili kwa ajili yake (kama anakupenda atafurahi) kisha weka ndani kula maisha hapa hapa, achana na hizo dini, au wewe ndo hutaki badili dini? kama ndo hivyo potezea, acha kusumbua na maswali yasiyo na tija.
Kwa kifupi chagua, dini au huyo demu wako period.
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Iringa kujifanya wana dini, pole mzaramo poteza
 
Ijulikane tu kuwa kwenye relation haku guarantee kuoana jamani.

pole sana mjomba

kazi ya kumhudumia mwanafunzi hasa binti ni purely ya mzazi wake sio wewe
 
sosoliso mapuaa hahahah unanichekesha kweli...mie nipo mwake i dnt have stress za kubwagwa ama ku deal na drama za wanawake. i just have fun and for that matter siwadanganyi wala kuwapa matumaini ambayo hayapo....so yes i think i am doing better than other men who lie and vive ladiea forlon hopes abt lasting relationship

Usijali Sosoliso nishajitolea kumuondolea hili tatizo mzabzab ,nipe mda mchache he wil be newwwwwwwwwwwwwwww,hatakua na makovu tena ya mapenzi wala jeraha
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye
kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa
tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa
anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama
mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani
nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo
dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa
zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha
kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan
iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho
niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika
ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai
au nipotezee tu,naombeni ushauri.

dini yake pesa mwenzio kapanda dau,kama kuna kosa unafanya ni kununua mvuto kwa pesa au care za ajabu ajabu
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Dini umeweka kwenye mabano kwa lengo la kuficha lakini ulipofika hapo kwenye bold tu, nikabaini dini yako. Na nimeshajua kwa nini wasingekubali
 
habari wana jamvi
nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapendana sana yeye kwao ni iringa na anasoma udom na mimi niko hapa dar,kiukweli tulikuwa tunapendana sana kiasi kwamba chochote ambacho mwanamke huyu alichokuwa anataka nlimpatia bila hata kuuliza kiukweli nimetumia fedha nyingi kama mjuavyo mahitaji ya chuo, ghafla nilipokea sms ikisema "samahani nyumbani kwetu hawawezi kuniruhusu niolewe na mtu wa dini(akata hiyo dini) hivyo naomba tuwe marafiki wa kawaida tu kama ilivyokuwa zamani"kwakweli nilichanganyikiwa na hata sasa bado sijajua ni nini cha kufanya coz toka awali tunakutana alijua fika kwamba mm ni dini fulan iweje leo din ndo iwe kikwazo kama vile nilikuwa nimemficha.kinacho niumiza kichwa ni muda niliopoteza kwake na fedha nilizopoteza katika ku-take care,muda hataweza urudisha lkn fedha anaweza rudisha je nidai au nipotezee tu,naombeni ushauri.

Kwa taarifa yako kuna wanadini wenye kuamini dini zao tu...Hivyo wakati unachangia boom la chuo ulipaswa kuanza kuchukua tahadhari mapema, ila kama ndio mlikuwa chuo wala hamjapotezeana muda, chukulia umejikwaa ukaanguka, kitendo cha haraka nyanyuka jipanguse agana na vumbi sepa hiyo ni siku na imepita....But pole sana my best usijipendekeze hadi akufanye zoba, pia amini mungu amekuepushia jambo kwani mkeo yupo mbele
 
huyo atakuwa msabato wabaguzi kishenzi nami nilishabaguliwa hivyo hviyo na dada fulan tupo naye udom hapa2 kisa dini sijui wana matatizo gani na dini za kikoloni lakini maisha yanaendelea.
 
Ndio maana mtoa mada akaweka dini kwenye mabano,dini ni imani za watu c vizuri kuzitolea mfano like that kaka, utakuja leta Vurugu humu
 
funguka dini haiwezi kuwa kikwazo endapo wote mna nia moja kuna ndoa za kimila ,za serkali ,na dini ,
 
Anza maisha mapya.Hii ndio dunia na haya ndio maisha ukisikia dunia na maisha ni kupanda milima na kushuka mabondeni hii ndio yenyewew. fights there are many ladies out there.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom