Nimeachiwa mtoto ndani ya basi

Nimeachiwa mtoto ndani ya basi

Imewahi kunitokea dar. Ni njia nzuri zaidi kuliko kuwatupa chooni ama kuwatelekeza majalalani. Ila kwa kufanya hivyo mi siku hizi simsaidii mwanamke yeyote kubeba mtoto. Mi nilitelekezewa kwenye daladala. Niliteseka sana na mtoto huyo
 
umepunguziwa kazi Mpwa wangu, umevuna pasi kupanda. Unnataka ukatae mtoto? Soma Bible Mpwa kuna baraka nyingi sana sana, mimi niko kwenye kampeni ya kuwarudisha na kuwakusanya wanangu wote niliowapata nje ya ndoa. hadi sasa nimempata mmoja, msihana mkubwa tu sasa, halafu ana akili kama mimi mwenyewe aisee, usikubali kuacha hio kitu ati and GOD will Bless You

Amen mkuu! ngoja nikalee tu, u never know!
 
Asante mkuu, sikajui hata jina, sijui nikape jina lingine?
Utata sana...lakini kama ana miaka miwili si anaweza kuongea? - Anajijua jina lake? Ukimsikiliza kwa makini unaweza ukajua/kumuelewa akiongea. Au tafuta mtu mwenye mtoto wa umri huo akusaidie kumsikiliza! Unaweza pata some tips kumuhusu.
 
Hivi hamna vituo vya kulelea watoto ambako polisi wangekapeleka huku uchunguzi ukiendelea?
It is not right kumpa mtu mtoto just like that. Wanajua anaishije? Ataweza kukimu mahitaji ya mtoto kama kula, kunywa na sehemu ya kulala?
 
Nimekaacha kwa wazazi wangu, nakatafutia dada wa kukalea(yaya), mama amesisitiza kakae nyumbani umri wake usogee kwanza ndio kahamie kwangu

Bora.
Huwezi jua Mungu kapanga nini juu ya huyo mtoto.
 
Imewahi kunitokea dar. Ni njia nzuri zaidi kuliko kuwatupa chooni ama kuwatelekeza majalalani. Ila kwa kufanya hivyo mi siku hizi simsaidii mwanamke yeyote kubeba mtoto. Mi nilitelekezewa kwenye daladala. Niliteseka sana na mtoto huyo

Mkuu nimejifunza, lkn sijajali sana coz everything happens for a reason.
 
Hivi hamna vituo vya kulelea watoto ambako polisi wangekapeleka huku uchunguzi ukiendelea?
It is not right kumpa mtu mtoto just like that. Wanajua anaishije? Ataweza kukimu mahitaji ya mtoto kama kula, kunywa na sehemu ya kulala?

Maisha ya huko vituoni ndo mabaya zaidi kuliko hata ambayo mimi nitaamua kumlea huyo mtoto
 
Hivi hamna vituo vya kulelea watoto ambako polisi wangekapeleka huku uchunguzi ukiendelea?
It is not right kumpa mtu mtoto just like that. Wanajua anaishije? Ataweza kukimu mahitaji ya mtoto kama kula, kunywa na sehemu ya kulala?

Mkuu, polisi wa siku hizi wanafanya kazi bila kuzingatia weledi, walivyogundua tu nina kazi wakanikomalia niondoke nae.
 
Mlee tu ndugu. Huyo girlfriend na wazazi kama hawaamini muende kupima DNA ndio wataamini.
 
Nilikuja dar kikazi kwa takribani siku 4, sasa jana nikawa narudi mkoani kwangu.

Samahani mkuu kama hutojali, unaweza ukatutajia jina la huo mkoa ulikoelekea ukitokea Dar? na kama hutojali zaidi ukatulocate mpaka hapo alipo huyo mtoto kwa sasa?
 
Nikushukuru kwa moyo wako wa upendo, Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema atakujazia pale utakapotumia kulea mtoto huyu.
 
Back
Top Bottom