Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,662
- Thread starter
- #41
hako ka kwako tayar.. kape jina ulipendalo.
Yeah inabidi nikatafutie jina, ila mama yake akijitokeza sijui itakuaje!
hako ka kwako tayar.. kape jina ulipendalo.
Kaite Leith Maana yake Simba...........
But..."You are A Good Boy"...!
SMU, kwa mtoto wa miaka 2 bado anakuwa hajaweza kuongea vizuri sana isipokuwa atakachohisi kwa haraka ni kuwa kwenye mazingira tofauti.
...big up Mkuu Mungu akubariki!!!
Zawadi ya mwaka mpya? Pole sana.
Sipati picha. Ndo hivyo kameishia kwa mtu anaejitambua.what if you were a bad person. Say a pedophile. Damn.Mkuu, polisi wa siku hizi wanafanya kazi bila kuzingatia weledi, walivyogundua tu nina kazi wakanikomalia niondoke nae.
Ndo inavyokuwaha. Wazazi waje wajitokeze baadae na ugomvi juu kumtaka mtoto.Yeah inabidi nikatafutie jina, ila mama yake akijitokeza sijui itakuaje!
Wow !! kumbe unajua kuchagua majina mazuri.... Nice name nice meaning !! nawe ubarikiwe SIMBA.Kaite Leith Maana yake Simba...........
Ni kweli ingawa kwa mzoefu wa watoto unaweza kuongea naye/kumsikiliza na ukamuelewa. Mwanangu wakati ana mwaka mmoja na miezi tisa, alikuwa anaweza kutaja jina lake na likaeleweka tu kama uko makini kumsikiliza (hata kwa mtu mgeni).SMU, kwa mtoto wa miaka 2 bado anakuwa hajaweza kuongea vizuri sana isipokuwa atakachohisi kwa haraka ni kuwa kwenye mazingira tofauti.
Asante mkuu, sikajui hata jina, sijui nikape jina lingine?
Yeah inabidi nikatafutie jina, ila mama yake akijitokeza sijui itakuaje!