Nimeachana naye, najisikia faraja sana

Nimeachana naye, najisikia faraja sana

Watu wanakaza tu mafuvu, nasubiri tu habari za kupigwa chuma labda wataelewa wakiwa mavumbini.
Watu wanakula vitumbua vya wanaume wenzao kila uchao. Wengine wanawaliki na kukiona wananguvu kuwamiliki mpaka wanakuwa na wivu
 
kumbe alikuwa ni mke wa mtu? kuna watu hii dunia wanaichukulia ni ya kwai aiseee we matukio yote aya unayoyasikia kila kukicha watu wanachinjana na wewe unajisogeza uko uko?
Shida ya hawa wake za watu hawana alama. Huona maisha ya mapenzi ni rahisi sana ndiyo maana hujikuta mpaka wanatoa siri za ndani
 
Back
Top Bottom