Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,133
- 122,587
Mtafukuza wangapi?Fukuza tu. Kwani shingap bn
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Mtafukuza wangapi?Fukuza tu. Kwani shingap bn
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Ndoa ni changamoto sana namm niko njiani kuachana hakuna namna; bora kua bachelor tu wanawake wababe sanasikuiz
aisee ukiachana nae nistue
Mwanaume kukojoza, mashine kakobolee mahindiMwanaume mashine.
Akili za usiku
Angalau hayo mkuu yana uzito kiasi ila kutokuheshimiwa na kusikilizwa pasi kusema hasikilizwi / aheshimiwi kwenye nini haiingii akilini mkuu.Kuna memba humu namfahamu alimfukuza mke ake kwa maneno yanayouma sana. Alimwambia 'kwanza we hunigeged vZr kama x wangu'. Seriously waliachana mpk sasa hawakai pamoja.
Jamaa aliumia sanaaaa sikien kwa watu tu
Mtafukuza wangapi?






Mkuu mkeo Alishagundua una Low iQ -80_0 hata Boss wako HakusikiliziNineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa




Angalau hayo mkuu yana uzito kiasi ila kutokuheshimiwa na kusikilizwa pasi kusema hasikilizwi / aheshimiwi kwenye nini haiingii akilini mkuu.
Kweli tupu mkuu.Mkiachana
Watoto laxima wasafe
Hawatapata shule na future inakua ovyo
Wanakuja kua wa ajabu ajabu/chokoraa
Mzunguko wa umaskini
Ukizeeka no help from ur kids
Taifa maskini
Hahaaa. Ila mkuu saa nyingine hasira zina mengi unaweza kuta ameropoka tu na wala hafanyi hivyo huoni kama utampoteza huku bado unamuhitaji.Jamaa ni mkurya na mke wake huyo ni wale wakusaka wachumba mtandaoni...we acha kbs. Hata mm mtu anismbie hunidungui vzr kama x wangu ni Kwenyu sihitaji ushauri
Jamaa ni mkurya na mke wake huyo ni wale wakusaka wachumba mtandaoni...we acha kbs. Hata mm mtu anismbie hunidungui vzr kama x wangu ni Kwenyu sihitaji ushauri
hahaha haya babaa!
Utafute hela kwanza na mashine uinoe kbs, bajet yake usijeshindwa. Petrol 50k, vocha 20k, groceries 50k, other bills 50k hiyo ni fortinight expenses. Km unaingiza chini ya M kwa mwez endelea na nyetto tu
Mjumbe tuDuuuh,
We una cheo gani kwenye hicho chama au ni memba tu?
Ulipoamua kuoana naye uliweka uzi hapa? Jaribuni kuficha ujinga wako.Nineachana na mke wangu leo sababu kubwa mkewangu haniheshimu wala hanisikilizi kabisa
Hahahhaha watoto niwangu mkuu.hao watoto inawezekana sio wako, kapime DNA