Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,302
siyo mara ya kwanza kuomba ushauri humu mimi ni mama mwenye miaka 24 nina mtoto wa mwaka na nusu, na ndoa yangu ina miaka mitano na nusu,ni miaka miwilli sasa mume wangu amekuwa kiwembe kutokana na kugombana mara kwa mara na mimi nikaamua nikae ninyamaze nisiendelee kumfuatilia kwani niliona tutaachana na tutamuacha mtoto wetu akiteseka,. nakumbuka ni kama miezi 2 imepita kuna kijana alionyesha kunipenda sana, huyo kijana ni mwanafunz wa chuo kikuu kimoja na yupo mwaka wa 3, na alikuwa anaishi jirani na nyumbani kwangu. kweli nikatokea kumpenda sana na tukaanzisha mahusiano bila yy kujua kwamba me ni mke wa mtu..kutokana na mume wangu kuwa mtu wa safari sana hii ilisaidia kuwa free kuongea na huyo kijana muda wowote mpaka usiku wa manane..siku moja mume wangu alirudi usiku nikaweka simu yangu silence ili akinipigia yule kijana isisikike,, lakini bahati mbaya sijui ilikuwaje mume wangu akaona mwanga wa simu yangu akaamka na kuipokea ile simu akamtukana yule kijana sana na akamitishia kumfanya kitu kibaya,,baada ya pale nikaenda kwa yule kijana tukakaa nikamwambia ukweli, aliumia sana mpaka akalia na akaniambia kuwa hakuwahi kufikiria kutembea na mke wa mtu..nikambembeleza yakaisha. tangu hapo ni wiki 3 sasa nikawa namuona huyu kijana hana amani na mimi kabisa na nikahisi some thing wrong,jana nikamwambia naomba uwe huru endelea na maisha yako, akanijibu tangu amegundua nina mume hana amani hata kidogo na ameshindwa kuniacha kwani alishanipenda sana.nikamwambia basi tuachane nisije kukuaribia malengo na maisha yako.tukakubaliana kuwa kaka na dada,, kiukweli huyu kijana bado nampenda sana na kiukweli ni kwamba mume wangu nilishamuigno na sina hamu nae wala furaha kutokana na tabia yake ya kubadilisha wanawake.. nafikiria sasa nifanyaje kwani kijana niliyekuwa nadhani amekuwa furaha ya maisha yangu ndo hivyo tena nimeachana nae nawezaje kuishi bila kupenda.. ?? msinishauri kuwa nilikosea kwani niliteseka sana kumvumilia huyu mume wangu mpaka mwisho ndo na mm nikatoka nje ya ndoa kutafuta pumziko. naomba ushauri wenu wadau Topic by:Mama K Date: 2011-06-06
i can fil the way u fil ma dear dah
pole sana mpz
ahh usijali bwana kuwa mwangalifu utapata tulizo lingne...km akupend anatoka nje ufanyaje sasa?
lakin vp HUDUMA ZOOOTE anakupa?
km anarud mapema ,mukitanda unapata na huduma ingne pia bas poa ...tatizo dg ilo ongea nae umwambie atulie UKIMWI BIB oohh!