Nimeachana na hawara nachanganyikiwa

Miss nora kwenye thread yako ya 'ndoa inanishinda' unasema huna hawara(mwezi april) leo unasema una hawara,tuchukulie lipi au unatucheza shere?
 
Miss nora kwenye thread yako ya 'ndoa inanishinda' unasema huna hawara(mwezi april) leo unasema una hawara,tuchukulie lipi au unatucheza shere?

Mkuu angalia hapa, "nakumbuka ni kama miezi 2 imepita kuna kijana alionyesha kunipenda sana"

 
Mkuu angalia hapa, "nakumbuka ni kama miezi 2 imepita kuna kijana alionyesha kunipenda sana"

nimekupata Mkuu,kumbe kati ya april na sasa Nora ndo aliamua kufanya kweli,du haya bana mi sitii neno maana ukijua huku wenzio wajua kule.
 
Jamani we binti uliolewa mapema mno khaaa.. hapo una 23 na tayari ndoa ina miaka 6, duu..Mumeo aliekuoa anakuzidi karibu miaka 22 mweee.. Kuna stage uliivuka binti kwa kuharakia ndoa.. matokeo yake ndio hivyo saa hizi umepata kijana mwenzio upendo kwa mume umeisha... hata sijui nikushauri nini...
 
hujapenda bali sex imekutibua akili mana huyo hawara naona anakupelekea kitu kweli kweli...kwa vile umesema wewe na mumeo hampo sawa na inaonekana hamja-banjuka siku nyingi..kwahiyo chuo boy amekujaa akilini kutokana na mechi zenu..
 
ishu iko hivi, kwa sasa mume kajirudi tena sana tu, baada ya kuona na mimi simfatilii amekuwa clos na mimi sana,ila tatizo ni kwamba mimi simpendi kutoka moyoni, na kuachana nae siwezi coz 2metoka nae mbali sana na ingekuwa ni kuachana tungeachana kipindi amenikosea ila kwa sasa katulia mm moyo wangu ndo haumfurahii tu..nachohitaji ni jinsi ya kuishi coz aliyekuwa ananifanya ndo huyo tumeachana. ntaishi vipi bila kuwa na furaha, bila kuwa na mtu ninayempenda??


Aliekua anakufanyaaa?
 
Hapana dia wangu sio kiherehere ni bahati.
Kama ni bahati anahagaika nini na vidumu,huko kukimbilia bahati ndio kunawaponza wengi.Kwanza nahisi hata nidhamu imempungua kidogo,hii lugha yake "ananif..........." sijaipenda kabisa tena toka kwa mke wa mtu.Kwani we miss Nora unaona ni sifa au??????Hebu jiheshimu,unatudhalilisha wenzio.Nakushauri badili no ya simu,kata kabisa mawasiliano na huyo mwanachuo.Nenda na mumeo mtembelee maeneo ambayo alikupeleka wakati mnaanza mapenzi,yatarudisha kumbukumbu nyingi.Ongea na mumeo mambo ambayo ungependa akufanyie chumbani(hili ni muhumu sana sana kwani ndicho kilichokupagawisha kwa kile kidumu) nawe kuwa mbunifu humo ili ahamasike.Usiache mtoto akachukua nafasi ya baba,tena mwaka m1 ni mkubwa huyo,alale kitanda chake pembeni yenu(si kuna vitanda vya watoto).Jipende kwa kuwa msafi wakati wote,akirudi unakuwa na mvuto muda wote.
 
Dada pole,sijajua msimamo kuhusu imani yako,but kama ni mkristo una shida,kuhusu ndoa kama kweli unauhakika mumeo anabadilisha wasichana na una ushahidi dai talaka ukaishi maisha ya furaha na umtakae,mtoto asikufanye uishi kwenye ndoa ya matatizo kwani unaweza kumlea hata bila mumeo,angalia kuna ukimwi huruma za mtoto zitakupeleka pabaya!TAFAKARI!
 
Dada pole,sijajua msimamo kuhusu imani yako,but kama ni mkristo una shida,kuhusu ndoa kama kweli unauhakika mumeo anabadilisha wasichana na una ushahidi dai talaka ukaishi maisha ya furaha na umtakae,mtoto asikufanye uishi kwenye ndoa ya matatizo kwani unaweza kumlea hata bila mumeo,angalia kuna ukimwi huruma za mtoto zitakupeleka pabaya!TAFAKARI!
Sina hakika sana na hili kwani mwanaume huwezi mjua vizuri kabla hujaishi naye.Haya,anaachika,anenda kuishi na mwanachuo,akibaini the same probs aachike tena au?Naona tunahamasishana kuzikimbia ndoa,kwa mtazamo wangu si sahihi jambo hili,tumejiandaa kuishi as single mothers?Athari zake kwa watoto twazijua?Athari za kuchanganya watoto,huyu babake A,huyu babake B n.k. twazijua?Hebu tufikiri kwa kina kwanza.
 
Hawala hana talaka, kama unapenda kuendelea na student, vuta subira atarudi muda si mrefu. Lakini kitu cha msingi ni kwamba hata wewe dada hujatulia kama mumeo, maana kama tatizo ni uzinzi ungeachana nae (ukiomba talaka kwasababu ya uzinzi na ukawa na ushahidi inakubalika hata kama ni ndoa ya kikristo) na kuendelea na maisha yako. Kitendo cha wewe kutoka nje ya ndoa yako kwasababu hata mumeo anatoka ni 'lame excuse', ungekuwa umetulia wala usingethubutu kufanya hivyo. Kwa kifupi ni kwamba ulikuwa unatamani kutoka nje so ukatafuta sababu.
 
yani maelezo yake na unavyopata shida kumpenda jidume lisopendeka imeniuma sana. Mschana mrembo, mdogo, unaufaham mzuri na uko updated(ndio maana upo jf) then uumizwe na mapenzi na mwanaume wa ujana wako? This is bad and dont deserve this return! Ni pm nikupe dawa, mimi ndie mizizi ya dawa!
 
Dah! Pole sana mamito.
Kama unahisi huwezi kuvumilia zaidi fanya mpango ujitoe kifungoni. Kwanini ukose raha sababu ya mtu.
Chagua mojawapo kati ya ushauri wa pauline. Umiliki wote, ubwage wote au ubaki na hicho kijidumu.
 
Wajameni naomba huyu binti akapime kwanza kabla hajamuwasha mumewe mana kwajinsi anvyo msifu mchuo nauhakika hapo kinga haikutumiwa. namuonea huruma masikini binti mdogo asije kuwa kisha waka mana wanachuo kwa kutafuta tambarale. mmhh mjini hapa kuna mimama ilowaka imeachiwa mijisenti na marehemwao, inatafuta watanashat na wao wakiona wanafatwa na mivogi na kutupiwa 50 50 wanaona jimama limekolea kumbe lina kuwasha, vijana kama hamtojiangalia mtakwisha
 
Ahhha kwani kuolewa mdogo ndo sababu mbona miee nimeoa mdogo kuliko huyo na tupo poaa tu tena tayari tuna wabebi wawili ndokwanza an22 we Gaga acha kujichuria mkichelewa kuolewa mnaanza safari za tanga kila kukicha shukuru mungu kupata bahati mapema hakuna ndoa isiona kokoto sema tu zinatofautiana. na ninyi wanawake mnachangia sana kuhatarisha ndoa zenu ukiskia kitu unaanza kurarama kama radi na kujikupua ka mlopo bwana akirudi kwake umejaa utazani andazi. mgejua wanaume tulivyo mazaifu kwenu sidhani kama ingekuwa ndoa zina matatizo, bora niishie hapa isije nikajiponza kuwajulisha vip uzaifuwetu mkaanza tuburuza ka kondoo wa mahorero huwa anafata2 nyuma
Usishangae mamii kuna watu tumeolewa wadogo sana khaaaaaaa, sijui ni kiherehere au kiranga lol
 
Hakuna ndoa iliyokamilika dada, zote zina shida kuliko..na unayofurahia mapenzi ya huyo kijana kwa sababu tu hakuna majukumu mengine mazito kama huyo kijana kutafuta chakula, kulea mtoto, yaani kwa kifupi, kinachowakutanisha nyie ni ngono tu..

Sasa kama unataka kuona maisha machungu, achana na huyo mume wako, na ukaishi na huyo kijana, halafu ndo utajua nini maana ya majukumu.. Inaonesha wewe ni mama ya nyumbani, sidhani kama mumeo hakupi matunzo mengine. Sina mengi, ila achana na huyo kijana kama ulivyoamua na uanze kujenga ndoa yako upya. Simama mwanamke..simamia ndoa yako.[/QUOTE]


hapa umesema yote. Mara nyingi tunahusisha mapenzi na ngono! Kwa kuwa mume wangu hanitoshelezi basi nimepata kijana ananipenda! Kumbukeni, mara nyingi huyo kijana ni boy friend wako, hata mumeo at one point aliwahi kuwa boy friend wako na akawa na raha sana.

Labda kama tutamuuliza mume wako na yeye ana side yake of the story, negatives zako wewe na ndio maana anatoka nje.
Hebu tueleze, zaidi ya ngono, what did you have in common with him?

Ngono Vs Mapenzi!!!!
 
Sina hakika sana na hili kwani mwanaume huwezi mjua vizuri kabla hujaishi naye.

Hii ni yote kwa wanaume na wanawake. Hawara unakutana naye kwa muda mfupi tu, lakini unayeishi naye mnakwazana toka mkitoka kitandani, if you are not careful., utaona kwamba hakupendi!

Kitu kingine, sisi wadada tunapenda sana kusifiwa na kupendwa. Kwa kuwa mume wako mna share majukumu mengi, hata muda wa kukusifu unapungua. Basi hapo hawara akikusifia unajiona unapendwa, tofauti na your old fashioned husband....
 
Back
Top Bottom