Nime staafu rasmi.

Nikweli hii michango imepitiliza sasa, maana siku hizi mpaka kipaimara unaletewa kadi ya mchango na hapa ndio utajua jinsi Watanzania tunavyokwepa majkumu yetu, maana sijui kitu kama kipaimara ukishachangiwa sijui unamwambiaje mtoto wako, nimekufanyia sherehe ya kipaimara au? maana hata yeye ameona mzazi ukitembeza bakuli kutaka msaada.
Hongera Mkuu kama utaweza kubaki na msimamo wako.
Ubatizo mchango, kipaimara Mchango,Mahafali Mchango,Kitchen Party mchango,Send off Party au bag party mchango, harusi Mchango, ukifa mchango.......Duh!
 
Back
Top Bottom