Nime staafu rasmi.

Nime staafu rasmi.

Hilo halikuhusu chalii.
Lakini hata kama niko peke yangu au tuko wengi cha muhimu ni kula nyasi kutokana na urefu
wa kamba yako.
Huwezi kua na 5M bank,unataka kuoa,sawa,afu unataka harusi ufanye kwa 20M.
Zinatoka wapi?
Eti kwangu kwakua mimi kaka yako?Ujinga huo,nenda kanisani,funga ndoa,fanya party ndogo nyumbani
mambo yaishe.

TATIZO LETU NI KUFANYA JAMBO ILI KUJIOSHESHA NA KUFURAHISHA WENGINE.
Haya nimekusoma mkuu haina shaka juu ya hilo,ni suala la uamuzi tu wa kupanga ni namna gani unataka kuishi
 
Binafsi nakuunga mkono ila si kuacha kabisa kutoa michango. Kama tayari umeoa utajua ni kwa jinsi gani harusi ilivyo na gharama mbaya zaidi utakuta uliwahi kuchangiwa sasa kwa nini usiwachangie wenzio? Kumbuka tunatoa ahadi wenyewe hivyo toa ahadi ambayo iko ndani ya uwezo wako na siyo kufanya mashindano ya nani kaahidi zaidi.


Ha ha,sijaoa ndugu yangu,na sitegemei kuoa karibuni.
Naogopa kuchangisha watu,na sitaki kufanya harusi kubwa isiyo endana na
hali yangu halisi ya kiuchumi.

Sijao,lakini nimechangia sana hadi nimeona ni upuuzi sasa.

Kwa taarifa yako kuna vikao unatakiwa uchangie ulicho nacho,ila hakipaswi kuwa
chini ya kiwango flani.

Wengine utaambiwa kama ni single changia yoyote,ila minimum ni elf50,double minimum ni 70.

Hiyo ni harusi moja,una watu kama 10 hivi wanataka uchangie.

Nikijibana nisichangie kwa miezi miwili nanunua BODA BODA iniingizie vijisenti
 
unazidi kuumiza moyo wangu ujue!ah niache bana hapa nishatoa wa ya kitchen party miwili na sare za kitenge juu!

hahaha..unajua mimi kuna harusi kama nne hivi zimepangana. Halafu kiwango cha chini ni buku 50, hapo hujanunua na kijizawadi, hujaweka wese kwenye gari siku ya harusi...na yote hayo unatakiwa uyafanye ndani ya mwezi mmoja, nusu ya mshahara unadedicate kwa ajili ya harusi tu.
Laiti kama tungebadilika na kulifanya tukio la harusi kuwa la kifamilia zaidi wala kusingekuwa na kuumiza namna hii.
 
safi,hiyo poa sana Speaker.nikabidhi kazi ya kuwapikia hao wageni wako!utafurahi mwenyewe

Ha ha ha,umeanza udalali humu humu?
hauwezi bana,kitu cha KIKURYA huwezi pika kichuri wewe.
 
Last edited by a moderator:
wala sio utani ila wanangu siwasahau i see ,ila michango ndoa kila siku rafiki yangu na usipoangalia mshahara unaishia huko?

Hapo sawa,najua huwasahau ila quality ya huduma unayo wapatia ina pungua.
 
hahaha..unajua mimi kuna harusi kama nne hivi zimepangana. Halafu kiwango cha chini ni buku 50, hapo hujanunua na kijizawadi, hujaweka wese kwenye gari siku ya harusi...na yote hayo unatakiwa uyafanye ndani ya mwezi mmoja, nusu ya mshahara unadedicate kwa ajili ya harusi tu.
Laiti kama tungebadilika na kulifanya tukio la harusi kuwa la kifamilia zaidi wala kusingekuwa na kuumiza namna hii.

Unaweza bana,
Moja kati ya njia rahisi ni aliyo suggest Matola .
Usiende kwenye kikao cha kwanza,uta rubuniwa hivi hivi na utaumia.
KULE AKILI ZINAENDAGA LIKIZO,TENA WAKIWA WAMESHA KUPA "VYA BURE" ha ha,unawaza tu.
Kama leo imekua hivi,vipi hiyo harusi yenyewe?Lazima niwepo,lazima nichangie,lazima niweke heshima ha ha
 
Last edited by a moderator:
hahaha..unajua mimi kuna harusi kama nne hivi zimepangana. Halafu kiwango cha chini ni buku 50, hapo hujanunua na kijizawadi, hujaweka wese kwenye gari siku ya harusi...na yote hayo unatakiwa uyafanye ndani ya mwezi mmoja, nusu ya mshahara unadedicate kwa ajili ya harusi tu.
Laiti kama tungebadilika na kulifanya tukio la harusi kuwa la kifamilia zaidi wala kusingekuwa na kuumiza namna hii.
we acha kabisa watu8,huu mwezi huu,kha!
 
Last edited by a moderator:
Kweli ni ujinga mtupu...sherehe ya masaa inagharimu mamilioni...leave aside muda watu wanaoutumia kupanga sherehe iweje na kukusanya michango...Hii kitu ipigwe marufuku aisee. Kama ni kuoa mwende wawili na wazazi kama ubatizo.

We need to change na si kulalamika serikali inajua kutumbua ela wakati hiyo ni culture ya Tanzania
 
udalali muhimu wangu!kichuri mh,hapa nimechemsha!

Ha ha ha,umeona eh?
Hiyo ni aina ya "supu" hivi, (usitake ujue inatokana na nini) ambayo unaandalia
wageni kabla ya kuwapa nyama choma au chakula kingine.
 
Kweli ni ujinga mtupu...sherehe ya masaa inagharimu mamilioni...leave aside muda watu wanaoutumia kupanga sherehe iweje na kukusanya michango...Hii kitu ipigwe marufuku aisee. Kama ni kuoa mwende wawili na wazazi kama ubatizo.

We need to change na si kulalamika serikali inajua kutumbua ela wakati hiyo ni culture ya Tanzania

Ai ai ai ai ai.
Unaongelea ubatizo tena?
Huo nao siku huzi ndo yale yale.
Mtu anafanyiwa sherehe utadhani ndo kesha mshinda shetani na anaenda mbinguni sasa.

Na kwenye harusi unakuta mtu anatoa ahadi,ukimuangalia unatamani kulia.
Unaweza jiuliza kwanini hiyo hela asinge itumia hata kununua pasi anyooshe nguo zake basi.
 
Sherehe ya harusi inagharimu mil 30, umepanga Tandale, hizi ni akili sana
 
Ha ha ha,umeona eh?
Hiyo ni aina ya "supu" hivi, (usitake ujue inatokana na nini) ambayo unaandalia
wageni kabla ya kuwapa nyama choma au chakula kingine.

nilienda maeneo hayo nikaletewa nyama choma na ugali mwekundu pembeni chachandu kuuliza nini nikaambiwa kichuri khaaa Speaker nini tena ya ng'ombe
 
Last edited by a moderator:
mie mbona nishaanza siku nyingi sanaaa (since May 2012)
na wala bado sijaoa.................................................

Nakuunga mkono, mguu, mawazo, etc!!!

Somehow somewhere we need to change! real change!!!
 
nilienda maeneo hayo nikaletewa nyama choma na ugali mwekundu pembeni chachandu kuuliza nini nikaambiwa kichuri khaaa Speaker nini tena ya ng'ombe

ha ha ha,mara nyingi kichuri wana tengeneza kwa NYAMA YA MBUZI na
MAVI YAKE,yaliyo kwenye ubumbo mdogo lakini plus nyongo kidogo.
Hakuna nyama tamu kama hiyo aisee.

Huo ugali dah,mtama wangu umeisha,uwe mtama ulio changanywa na mhogo,
hauta ondoka mezani.
 
Last edited by a moderator:
Sherehe ya harusi inagharimu mil 30, umepanga Tandale, hizi ni akili sana

Tunaumia kweli kweli maskini,matajiri wana fanya kutokana na hela zao.
Hawafilisiki.
Sisi tunafanya kwa hela zisizo zetu na ambazo hatuna,tunaongeza shida tupu.
 
mie mbona nishaanza siku nyingi sanaaa (since May 2012)
na wala bado sijaoa.................................................

Nakuunga mkono, mguu, mawazo, etc!!!

Somehow somewhere we need to change! real change!!!

Safi sana,kwa kuanzia mimi nitatoa michango ya week juzi tu niliyo ahidi.
Jana nashukuru niliondoka kabla hawajaanza kuropoka "PLEJEZ"
 
Safi sana,kwa kuanzia mimi nitatoa michango ya week juzi tu niliyo ahidi.
Jana nashukuru niliondoka kabla hawajaanza kuropoka "PLEJEZ"

huh.....mie sikimbii! natoa pleje yangu then wakianza kukusanya namwambia bana hapa nina ishu hii na hii sasa hebu nipangie wewe nikupe ngapi na huku nitoe ngapi!! ukiweza kuniinfluence nakupa hichokiasi utachoona kinafaa, kama vipi mchezo ndo umeisha!!!
 
Back
Top Bottom