Nime share a hotel room na rafiki yangu wa kiume

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
890
Reaction score
2,203
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine,

Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mimi nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mimi nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga,

Nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Na nilimwambia sijapenda tabia yake kabisa akaomba msamaha

Sasa kazini ni act vipi nimnunie Au niendelee nae urafiki.
 
Kuna my friend wa kazini mwanaume tulikua na training mkoani so akasema tupunguze gharama tu share hotel room, nikasema it’s fine, Basi kufika uko hotelini akaanza mambo ya ajabu akaenda kuoga, katoka hajavaa nguo ikabidi mm nijifanye nipo busy naangalia movie, Aya akapanda kitandani kulala , mm nlivaa oversized shirt , usiku nimelala saa nane nashtuka naona nimeshikwa tako ikabidi nimsukume huko nikamwambia sipendi ujinga, nikaendelea kulala nashtuka tena kajisogeza kwangu kanishika tena nikapata hasira nikalala chini, aksema am sorry sitorudia tena panda kitandani ulale , nikamwambia hapana. Basi nikaamka saa kumi alfajiri nikaenda kutafuta hotel Nyingine.

Uliliwa.
 
Una mume au mpenzi?
 
Screenshot_20250221-124946~2.jpg
 
Back
Top Bottom