Nime ichukua kama ilivyo mahali..me nime cheka.

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,595
Reaction score
1,863
[h=5]Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu!
Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza:
"Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo wa dhati adi kuninyanyua juu? Angalia basi usinidondoshe!"
Mume; "Awapi wewe mchungaji kasema tukifika nyumbani tunyanyue matatizo yetu juu kwa bwana![/h]
 
Heheheh hii kweli kali aisee sijawahi iona eti
 
Kaamua kumwambia mkewe kua yeye (mkewe) ni majanga ndani ya nyumba.
 
[h=5]Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu!
Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza:
"Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo wa dhati adi kuninyanyua juu? Angalia basi usinidondoshe!"
Mume; "Awapi wewe mchungaji kasema tukifika nyumbani tunyanyue matatizo yetu juu kwa bwana![/h]

Mamaaaaa!! Wife ni sehemu ya matatizo yake...!!
 
Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu!
Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza:
"Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo wa dhati adi kuninyanyua juu? Angalia basi usinidondoshe!"
Mume; "Awapi wewe mchungaji kasema tukifika nyumbani tunyanyue matatizo yetu juu kwa bwana!

Daaah, nimecheka hatari! Sijui huyo mkewe alijisikiaje baada ya kuambiwa hivyo!
 
Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu!
Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza:
"Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo wa dhati adi kuninyanyua juu? Angalia basi usinidondoshe!"
Mume; "Awapi wewe mchungaji kasema tukifika nyumbani tunyanyue matatizo yetu juu kwa bwana!

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk..................nilijuaa tu nikiingia kwenye hili jukwaa nitacheka vibaya mno,sasa nirudi kwenye siasa maana mbavu zinauma sana kwa kucheka
 
Mungu akasema apataye mke amepata kitu chema. Source: Bible
 
Hahahahaha sipati picha hali ya mkewe ilikuaje baada ya kuambiwa yeye ni tatizo
 
Kweli wewe bakulutu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ngoja ni malizie kucheka..
Haaaaa..haaaaaa..aaaaaa...eeeeee..iiiii..ooooo..uuuuuuuu.....hiv kama ni wewe ungenyanyua nini juu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom