SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Bakulutu kula buku, kama hauli buku kale boko
ngoja ni malizie kucheka..
Haaaaa..haaaaaa..aaaaaa...eeeeee..iiiii..ooooo..uuuuuuuu.....hiv kama ni wewe ungenyanyua nini juu?
Ha ha haaaa,lazima alale nje huyo ndani kwa moto!hiyo noma jaama alilala ndan kweli???
Ha ha ha ha hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!umeniongezea kicheko upyaaaaaaaaaaa!:faint:Bendera ya ccm ccm ccm ccm ccm ccm ccm
Hizo sms za kukopi na kupaste, but funny

[h=5]Jamaa katoka kanisani kufika nyumbani akamkumbatia mke wake akambusu kisha akamnyanyua juu!
Mke wake kuona vile akafurah sana akamwuliza:
"Mume wangu vip leo naona umeamua kunionesha upendo wa dhati adi kuninyanyua juu? Angalia basi usinidondoshe!"
Mume; "Awapi wewe mchungaji kasema tukifika nyumbani tunyanyue matatizo yetu juu kwa bwana![/h]