Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,907
- 193,923
Mwenzako sikaagi na mabaya kichwani au moyoni.. Nakaaga na mazuri tu... Remind me..
Mwenzako sikaagi na mabaya kichwani au moyoni.. Nakaaga na mazuri tu... Remind me..
Haaa uyu ndo nilikua namsubiria na kupewa maono juu yake
Haaa uyu ndo nilikua namsubiria na kupewa maono juu yake
Tupambane tu wote
[emoji57]Ivi zipo kichwani sawa kwelii ,,,endelea mpaka ufie juu ya kifua cha mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wako na idadi hiyo ulipaswa kuwa unasomea upadri hadi sasa, mimi enzi zangu nafika umri huo list ilikua na kama 100 hivi.....Tangia nimepevuka idadi niliyodate nayo ni wasichana kumi na nane na umri wangu ni 29yrs now, naombeni ushauri wenu wenye experience zenu niongeze idadi ama inatosha? Nitafute wangu wa maisha. Please seriouz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumezaHahaha, hizi sifa za kupeana vijiweni mbaya sana.
Mwanaume asieweza kuheshimu hisia za mwanamke, hafai kuitwa mwanaume, atafutiwe jina jingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo...kaza buti namba ndogo sana hiyo...dahhh. hivi wewe rekodi zetu utazivunja kweli...au unataka uoe na kutulia ukiwa na miaka 100.Tangia nimepevuka idadi niliyodate nayo ni wasichana kumi na nane na umri wangu ni 29yrs now, naombeni ushauri wenu wenye experience zenu niongeze idadi ama inatosha? Nitafute wangu wa maisha. Please seriouz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo uanze sasa. Au unasubiri mpk uoe?18 ni wengi sana. Mm hapa nilpo cjadate na mwanamke yeyote na nina miaka 26
Sent using Jamii Forums mobile app