Nime dates na wanawake kumi na nane tu

Nime dates na wanawake kumi na nane tu

hivi ARV bado zinaletwa na wahisani au bado zimepigwa ban hadi sasa?
maana nahitaji ushauri uwe relevant[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
kama kudate wanawake wengi ndo ujanja acha mimi niendelee kua mshamba... nina 24 years but nimedate na wawili niliye naye niwatatu na naimani ndo atakua mke wangu
Unafkiri wenzio tunapenda mkuu...ni ktk harakat tu za kutafuta kilicho bora

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangia nimepevuka idadi niliyodate nayo ni wasichana kumi na nane na umri wangu ni 29yrs now, naombeni ushauri wenu wenye experience zenu niongeze idadi ama inatosha? Nitafute wangu wa maisha. Please seriouz!

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaelekea wewe ni kijana wa DAR !!!
 
mim niliopiga wapo idadi sawa na umri wangu

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
  • Thanks
Reactions: CMT
Umepata faida gani mpaka hapo? Jaribu kujiuliza hizo pesa ulizohonga ungekuwa unaweka akiba ungekuwa na kiasi gani mpaka sasa? Acha kujisifia ujinga
 
Back
Top Bottom