OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Asisahau kuwa homa ya ini haisikii hata ile helmet yetuMkuu fanya kusquare hiyo idadi naona idadi ni ndogo sana inatia mashaka.
[emoji23]Sa hivi nikichanganya hadi maraya wa kununua.... ni almost 300... na nina 27.
Kaza.... ina faida yake... usiogope ngoma... kondomu haizuu kifo.. inazuia maambukizi... na kutopata maambukizi sio kwamba hautokufa....
Aacha uoga.... tumia organ effectvly
Sent from "La -Vista"
Hahahaha umetisha mkuuDogo...kaza buti namba ndogo sana hiyo...dahhh. hivi wewe rekodi zetu utazivunja kweli...au unataka uoe na kutulia ukiwa na miaka 100.
jitahidi kabla hujaoa uwe umegonga atleast wanawake 120...atleast.
kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
kofia ngumu c zpo mkuuMkuu unawezaje kula papuchi zote hizo bila kuhofia ukimwi?au huwa mnawapima kwanza?
Ubarikiwe18 ni wengi sana. Mm hapa nilpo cjadate na mwanamke yeyote na nina miaka 26
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mwanamke hao mbona wachache...kuna mmoja kanitajia list hiyo dah! mpaka nikaghairi kula kitumbua chenyewe...Mi nimadate na wanaume 74 na baado
Pumbavuuuu!!!Mbona wachache hao inabidi udate nao wengi kiasi kwamba hata ukija hapa unakuwa wengine umewasahau unaweka probably 30 something.....
Heheheeheheheeeee
[emoji23]Kwa mwanamke hao mbona wachache...kuna mmoja kanitajia list hiyo dah! mpaka nikaghairi kula kitumbua chenyewe...
Hahahah dadadeki we kweli malkia wa nguvu...nimekuelewaMi nimadate na wanaume 74 na baado