Nime dates na wanawake kumi na nane tu

Nime dates na wanawake kumi na nane tu

Ukifikisha 400 kama cc sasa hapo waweza kuoa mmoja tu
 
Mkuu idadi inatosha! Spare some strength for 70 virgins that awaits you on heavens...
 
  • Thanks
Reactions: CMT
Weka baaariaa jaaamaniii(in man fongo voice) ongeza tuu babuuuu mpaka milioniii weka wekaaa utapata taji lako la milele.
 
kama kudate wanawake wengi ndo ujanja acha mimi niendelee kua mshamba... nina 24 years but nimedate na wawili niliye naye niwatatu na naimani ndo atakua mke wangu
 
Back
Top Bottom