Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Njoo small planet Tabata hapa tupange mipango thabiti! Kuna deal lipo mpakani mwa bongo na burundi!

Cha msingi nakupa line tupige hela wote maana sisindikizi mtu kwenye utajiri,,,tutajirike wote kwa hio hela inatutoa kabisa!

Hilo chimbo aisee siyo poa...!!
Unataka ukamvutishe shisha hapo
 
Mz
Toa million 2 iweke kwenye kubet tafuta odd 2 Kwa siku weka 100k faida 100k fanyaga Kwa siku 30 kila mwisho wa mwezi unafunga Hesabu Una angalia profit ni ngapi itabaki 16 toa 3m tafuta boda boda 2 za 1.5m 2 Kwa siku zitakuwa zinakuletea 20k Kwa mwezi 600k itabaki 13m toa 1m au 1.5m tafuta kiwanja utaanza kujenga kidogokigo faida unayo pata kwenye biashara. Imebaki 12m fungua Duka la mitumba la 2m Una nunua mitumba grade A jinsi or t-shirt itabaki 10m toa 5m kafungue fixed account bank funga Kwa miaka 5 ukijafungua utakuta faida kibao. 5m ilio Baki utajua wew ufanyie

Hivi unajua hesabu ya pikipiki kwa cku ni sh ngapi? Usimpoteze mwenzako kwa dili zisizo za maaana
Jamaa naona anaflow tu😃😃😃
 
Uko sahihi kwenye kuweka fixed ila huo usahihi kwenye faida ya 25m-30m unanipa mashaka unless ataiweka kwa more than 10yrs

Bank nyingi fixed rate yake huwa haizidi 10% sp
Kuna bank jina kapuni inatoa 5% faida kwa muda wa mwaka 1.
Hapo sijui kodi inakuwaje.
 
ak
Umeona sasa so simply hyo faida haipo
afungue absa account ya bonus saving wanakupa 1% interest ukitunza pesa yako kwa miez mitatu minimum balance n 500,000 so mfano akiweka 15m kwa miez mitatu mfululizo anpt laki na nusu kama interest. so aanze hivo uku akiendelea kufikilia biashara zingine
 
Kuna bank jina kapuni inatoa 5% faida kwa muda wa mwaka 1.
Hapo sijui kodi inakuwaje.
Asilimia 5? Acheni kumdanganya akaja poteza muda wake. Asilimia ni 1.5. Kama anahela nyingi sana mfano 500m anaweza negotiate na benki lakini siyo kwa 18m
 
Back
Top Bottom