Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Niko moshi....... Iyo pesa ilikua ya pocket money kipindi niko fom six. Mm nimeuwa six mwaka huu tu sasa ndo nimebahatisha 18m
Mkuu umebetia wapi mkuu kwa hapa moshi online au betting shop, maana moshi wana galsport na premier kama ni betting shop.
Kama upo moshi njoo hapa kahawa house.
 
Natamani hiyo stori ingekuwa ya kweli ili nicheke vizuri
Kuna ndugu yangu alichukua hela za kanisa akaenda kubet.. million 2.
Akaweka mechi 2,akaliwa.

Hadi Sasa haelewi atawaambia watu nini kuhusu hela zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu naye ushamba wake umemfelisha, kama unabet bet kimya kimya ule. Sasa hazijui sheria za betting alafu anabet nini sasa.
Bet what you can afford to loose, kuna sheria lukuki zinazo husiana na betting.
Hapo lazima abadili dini
 
Online network....

Pesa unaiweka kwa mtindo upi? Unamtumia "usiyemjua" kwenye line yake au inakuwaje?

Tafadhali tueleza namna unavyoweka hiyo pesa ili itusaidie kujua wewe na sisi pia.
Utakuja kulia sasa hivi
 
Toa million 2 iweke kwenye kubet tafuta odd 2 Kwa siku weka 100k faida 100k fanyaga Kwa siku 30 kila mwisho wa mwezi unafunga Hesabu Una angalia profit ni ngapi itabaki 16 toa 3m tafuta boda boda 2 za 1.5m 2 Kwa siku zitakuwa zinakuletea 20k Kwa mwezi 600k itabaki 13m toa 1m au 1.5m tafuta kiwanja utaanza kujenga kidogokigo faida unayo pata kwenye biashara. Imebaki 12m fungua Duka la mitumba la 2m Una nunua mitumba grade A jinsi or t-shirt itabaki 10m toa 5m kafungue fixed account bank funga Kwa miaka 5 ukijafungua utakuta faida kibao. 5m ilio Baki utajua wew ufanyie nn
Hivi unajua hesabu ya pikipiki kwa cku ni sh ngapi? Usimpoteze mwenzako kwa dili zisizo za maaana
 
Kama upo mjini , nunua bajaji mpyaa, ifanye bort, na uwendeshe mwenyewe kwa cku hutakosa 30-50 elfu, pesa inayobaki unaweza kutafuta eneo ukajenga, huku mengine yakiendelea
 
Hakunaga hela za bure bro.

Kwamba Nikupe hela then ndani ya mwaka (siku 365) unipe zaidi ya Mil 40.


Ngastuka machale kundesa.

Nina fanya Kazi serikalini zenye Investments, Economics, and Finance.

Then I HAVE KNOWLEDGE KUBWAA SANAA NA UWEKEZAJI.

Hebu Leta mada tuijadili hapa kwa kutumia factor za darasani na MTAANI (Real World).

Kwamba Nikupe tu hela unirudishie mihela.

HIYO BIASHARA NI IPI?

#YNWA
Sipo hapa kujadili chochote, tumekubaliana hii ishu haipo kwann unilazimishe kuijadili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom