Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

Naacha aisee kubet sio kazi rahisi
Toa million 2 iweke kwenye kubet tafuta odd 2 Kwa siku weka 100k faida 100k fanyaga Kwa siku 30 kila mwisho wa mwezi unafunga Hesabu Una angalia profit ni ngapi itabaki 16 toa 3m tafuta boda boda 2 za 1.5m 2 Kwa siku zitakuwa zinakuletea 20k Kwa mwezi 600k itabaki 13m toa 1m au 1.5m tafuta kiwanja utaanza kujenga kidogokigo faida unayo pata kwenye biashara. Imebaki 12m fungua Duka la mitumba la 2m Una nunua mitumba grade A jinsi or t-shirt itabaki 10m toa 5m kafungue fixed account bank funga Kwa miaka 5 ukijafungua utakuta faida kibao. 5m ilio Baki utajua wew ufanyie nn
 
Back
Top Bottom