Mimi nipo kwenye Adamu kwanza vipi niende kwa Hawa aliyakuwa hatujahitimisha kuhusu Adam, Twende taratibu tummalize Adam.Arsis; Hio ndio dalil yako kua Adam ndio mtu wa kwanza? Umeitumia wapi hio akili yako ukapata jibu hilo? Au umebuni wewe kwa akili yako na hauna dalil?
Kumbuka na kuna swali la Hawa umemtoa wapi, au wewe haupo kwenye Hawa? Upo kwenye Adam tu?
Maeleo yako ya "kibubusa" ni porojo zako tu, hayapo kielimu. Unaanza kuleta jazba, kwenye elimu.
Arsis.
Dhahiri shahiri boss,hapa tumepigwaNaam ...
Iko hivi Qur'an Ina Kila kitu ( past, Present, Future)
Ukiona Kuna kitu hujawahi kukiona haimaanish kwamba hakipo
Huyu kasha amiliana na Masheytwan hivyo washamtoa katika njia (kakufuru)
Kwa kuzipinga Aya za Quran i.e mtu wa kwanza sio Adam & Mariam hakua bikra
Inna Lilah wanna ilayhi rajiun (Ndugu yetu huyu ni msiba)
Una kichwa kizito..Arsis; Ufafanuzi wake ni kua Adam hajatajwa kua ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an. Labda kwengine.
Arsis.
hiyo siyo aya ni katika hadithi ila haipo katika sahih buhkar wala muslim kwani hivyo ndivyo vitabu vya hadith vyenye usahihi zaidi ata hivyo inaweza isiwe hadith sahihi ukizingatia fani ya hadith ni katika fani ngumu yenye kuhitaji uchujaji wa hali ya juu ili kujiridhisha kuwa ni ya kweli au sio.Arsis: Na hio ni aya ipi? Au yako hio?
Vizur sana boss,tunajifunza usichoke kuandikaMy Life Experience
Unknowns Creature ni kweli wana exist ila wana majina mengi sana ambayo kila mtu anapendelea kuita.
Ni kweli kama mtoa mada alivyosema kuhusu ulimwengu zipo sita.
Binadamu hatuna access ya ulimwengu wowete katika hizo sita isipokuwa huu wa kwetu.
Unknowns creature hawana miracle yeyote isipokuwa ni knowledge ambayo wao wanayo ambayo inapatikana katika ulimwengu wao. wao kwa wao pia wanazidiana maarifa na mwenye maarifa mengi ndio mwenye nguvu zaidi.
Natural form yao hai support life kwenye ulimwengu wetu. Ili waweze ku exist kwenye ulimwengu huu wana shape shift ili kuendana na mazingira yetu, Knowledge yao imefanya hiyo kuwezekana isipokuwa ni kwa muda maalum wa masaa 5 tu then wanarudi kwao.
Kuna machotara ambao wanazaa na binadamu ambao hao wanaweza kukaa ulimwengu huu kwa muda mrefu, Chotara haruhisiwi kufika wala kukanyaga ulimwengu wa unknown creature kwasababu miili yao hai support life kwenye ulimwengu wao.
Unknown creature hawezi kuongea lugha yeyote ile ya ulimwengu huu isipokuwa kwa ishara au alama kupitia maandishi ambayo ataandika kwa lugha ya ulimwengu wao then wewe utatafsiri kupitia kitabu ambacho atakuletea yeye mwenyewe. Chotara wa unknown creature anauwezo wa kuongea lugha ya ulimwengu huu tena kwa ufasaha.
Nina mengi ya kuandika ila nitaandika taratibu.
Arsis; Swali zuri sana hili, lina faida kubwa.Simba nami nimeuliza huko awali sijapata majibu. Nina changamoto ya mke wangu kutopata ujauzito. Kwa maelezo yake hajawahi kubeba mimba na anakimbilia miaka 38. Kitabibu wanasema kuzaa/kubeba mimba ni afya. Mifumo yake kwa mujibu wa vipimo iko sawa kabisa na hedhi anapata kawaida. Binafsi nina mtoto (ni wangu).
Sasa nauliza tiba ya hii changamoto. Tiba ambayo ni ya kibinadamu ili hata mtoto akakayezaliwa awe na ubinadamu %100. Najua ni changamoto ya wanawake wengi na ndoa nyingi
Majawabu tafadhali
Arsis: Hiyo aya iko wapi ya Adam mtu wa kwanza?Naam ...
Iko hivi Qur'an Ina Kila kitu ( past, Present, Future)
Ukiona Kuna kitu hujawahi kukiona haimaanish kwamba hakipo
Huyu kasha amiliana na Masheytwan hivyo washamtoa katika njia (kakufuru)
Kwa kuzipinga Aya za Quran i.e mtu wa kwanza sio Adam & Mariam hakua bikra
Inna Lilah wanna ilayhi rajiun (Ndugu yetu huyu ni msiba)
Arsis; Uwe unaandika basi jua hii ni hadithi ya fulani, kwani hata Simba anapiga hadithi hapa, unaweza kucchukua neno lake lolote ukanuku,, Haiwe fatwa hio. Au sio?hiyo siyo aya ni katika hadithi ila haipo katika sahih buhkar wala muslim kwani hivyo ndivyo vitabu vya hadith vyenye usahihi zaidi ata hivyo inaweza isiwe hadith sahihi ukizingatia fani ya hadith ni katika fani ngumu yenye kuhitaji uchujaji wa hali ya juu ili kujiridhisha kuwa ni ya kweli au sio.
Vipi unataka tutumie quran tu ? hadith hutaki ? nipo tayari pia kutumia quran tu.
Arsis: Unataka dalil ya kitu gani?Boss
Sasa mbona huleti wewe dalili zako tujifunze
Maana kama sisi hatujui au hoja zenu ni dhaifu basi hekima na busara zinataka utufahamishe
Ukishindwa kutufahamisha basi automatically sisi tulio leta hoja za aya tupo sahihi
Je una la.kusema boss
Simba; Uliza swali lolote utakalo, usiwe na wasi wassi kabisa, tunaloweza kujibu tutakujibu, tusilowezq tutasema.Arsis maswali yangu nayotaka kuuliza hayahusu imani, majini, uchawi.
ntaleta matango pori ntaanza na rotation of rigid body halafu ntaendelea na quantum mechanics sasa sijui Arsis unajibu swali lolote au umejikita kwenye misukule na uchawi?
surat baqarah ipo aya inayoonesha maisha na nani binadamu wa kwanza,na kumbuka tu hilo neno binadamu limetokana na neno ADAMU bin kwa kiarabu ni KOO hivyo BINADAMU MAANA YAKE NI KOO YA ADAMU.Arsis: Na hio ni aya ipi? Au yako hio?