Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Boss

Hakika qur'an katika suratul baqar Allah aliwambia malaika kuwa anataka kumleta khalifa ambaye ni Adam, na kumbuka kabla ya Adam hakukuwa na mwanadamu mwingine yoyote yule,na ndio Malaika wakasema je utamleta kiumbe atakuja kumwaga damu wakati sisi tunakutukuza na kukusifu.

Allah akawaambia hakika mimi najua ambayo nyie hamjui,kwahiyo Adam ndio kiumbe wa kwanza mwanadamu hapa duniani, soma baqar 30-31
 
Hapana sasa sitakaa kimya,arsis unazingua sana,kuna baadhi ya mambo unasema uongo kabisa

Ulisema ulisoma qur'an je hukuona kuwa Adam ndio kiumbe wa mwanzo?

Nashauri tupe habar ya misukule na majini wenzako lkn kuna baadhi ya mambo huna elimu nayo
 
Ni kweli kuna wengi wameuliza mambo ya kuomba msaada naona hauajajibiwa kabisa. Mi nadhani tungeendelea na story tu. Na pia kuna picha aliweka hapa ya jini ila kwwnye story hakuonesha kuna sehemu aliomba hata kuwapiga picha. Inafikirisha kidogo.
Simba; Mbona tumeweka picha? Labda uzi unakwenda mbio sana imekupita?

Story tutaendelea na maswali na majibu tutaemdelea. Sioni sababu ya kuwacha lolote katika hayo. Maswali tutawacha pale yakiwa hakuna tu. Story zitaendelea kwa "vionjo vya Arsis". Vipo vingi sana.
Simba.
 
Arsis je ni kweli mawe ya Vito kama rubi, diamond na Alexandrite kazi yake ni kwa ajili ya mapambo tu mwisho wa soko(wanunuzi wa mwisho) wanafanyia kazi gani zaidi ya mapambo
 
Arsis: Weka hapa tuone ulichopata na ueleze umepata vipi na wengine waelewe. Abjad.
Simba.
Sawa nimetafuta sura zinazo anza na alif lam miim katika quran nimepata ni sura nane hivyo kutakuwa na alif nane lam nane na miim nane sasa katika mpangilio wa abjad alif ina uzito wa 1, lam ina uzito wa 30 na miim ina uzito wa 40 hivyo itakuwa hivi 1x 8= 8, 30x 8=240, 40x8=320 ukijumlisha 320+240+8= 568.
kwahiyo nimepata jumla ya 568
Tell me what next?
 
Arsis huko nyumba Simba alisema kwamba ukijibu wewe hilo neno Simba halitakuwepo, lakin sasa naona unajibu wewe na neno Simba linakuwepo. Huoni mnatuchanganya?
 
Jamaa ana kwepa maswali mengi
 
Bro mtoe Arsis hapo coz is so disgusting.

Nataka nijadiliane na wewe au na me nimlete wa kwangu wajadiliane?
Simba; Sasa hivi tumeanza utaratibu anachosema yeye kinaanza kwa jina lake, ninachosema mimi kinaanza kwa jina langu, usimsome kama anakuchukiza.
Nilitoa angalizo mapema huyu si wa kumwamini,jini always ni jini,uongo ndio sehemu ya maisha yao
Arsis; zaidi hata wewe ni jini , nani akuonae na kukujua?

Sema Waislam mmeshindwa kujibu kiuhusu Qur'an.

Adama kua mtu wa kwanza imeandikwa wapi? Hawa mmemtoa wapi?
Kapekue vitabu, wewe si unafundishana na Wakristo humu, nakusoma mimi.

Anawashinda yule Sheikh #@che mponda analeta uongo anaizulia Qur'an uongo mnashindwa kumjibu kielimu.

Maswali yangu kwenu yamelenga kuwafundisha elimu, mpande darja kielimu. Hivi jini gani anaweza kumpotosha mtu anaeisoma Qur'an akaielewa?> hakuna jini mwenye uwezo zaidi ya aliopewa binadam.
Arsis kupitia Simba.
 
Safi sana boss

Nimeipenda hii

Huyu bwana kuna haja ya kumpiga spana kuanzia sasa
 
Arsis; Wewe una akili kuliko Allah? usijidanganye hata kidogo. Hakuitumia hio akili yake mbora wa viumbe wote aliepewa Qur'an awaletee, itakua wewe?

Nitarudi kukufundisha aya ulizoleta. Inshaallah leo hii.
Arsis kupitia Simba.
 
Ndio maana kwa kulijua hilo na kwa kfuata qur'an ndio maana tunaamini maneno ya Allah kwanza

Sasa Lidafo ametoa aya vizur sana kuonyesha kwanini Adam anafaa kuwa mwanadamu wa kwanza

Sasa tupe na wewe hoja kudhibitisha kuwa kulikuwa kuna mwanadamu mwingine zaidi ya Adam

Tupo hapa kujifunza boss
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…