Kutukuona kwako kusifanye ukawa unapinga kitu hakipo.Sawa.
Ila kwa upande wangu sijawahi kuona.
Kwa hiyo na zile Ngoma za kiswezi ,pombe za kienyeji mnaandaa waswezi wakitaka?
Swali zuri sana.Simba ndio Corazon au Arsis? Sasa kama ni Corazon kwani unafanya kazi gani kwa elimu uliyopata?
Huyo mwenye jini la kiswezi .Kutukuona kwako kusifanye ukawa unapinga kitu hakipo.
Naandaa vipi pombe na mambo hayanihusu.
Na wewe unahitaji msaada bingwa?Hamna nia ya kusaidiwa hapa nadhani hata huo uwezo hana-wewe endelea na mambo yako tu
Huyo mzee wa chai.Kutukuona kwako kusifanye ukawa unapinga kitu hakipo.
Naandaa vipi pombe na mambo hayanihusu.
Sijapata kumuona akinywa pombe kwenye maisha yake sijui kwenye ngoma zao maana sijawahi kushiriki.Huyo mwenye jini la kiswezi .
Waswezi ni walevi sana.
Hii mada ya Adam Arsis aliwahi kunipa kivyake yeye, alisema adam sio jina, adam ni cheo, wapo adam wengi sana miaka mingi sana na hata kaumu ya firauni ina mika zaidi ya million moja nayo wanaita adama.Kiukweli katika hii audio kaka yako ameniangusha sana,yaan nimesikiliza mpaka dakika ya sita nikaona niache
Kwanza anazungumzia mambo ya kurithishana dhambi wakati katika imani ya kiislamu hakuna mambo hayo kabisa
Qur'an inasema mara baada ya Adam kufanya dhambi na mkewe hawa,wao pamoja na ibilisi walifukuzwa peponi,lkn Allah akawaambia kama ukiwafikia muongozo kutoka kwangu na mkaufuata basi mtaokoka
Adam akapokea maneno kutoka kwa mola wake ya kuomba toba ,nayo ni "hakika mimi nimedhulumu nafsi yangu lau kama hutanisamehe nitakuwa miongoni mwa walioghafilika au waliopata hasara kitu kama hicho"
Hapo akasamehewa kasoro ibilisi ambaye alikataa kuomba toba kwa kiburi
Kwahiyo hakukuwa tena na dhambi za kurithi wala za asili,istoshe mola wetu anasema yeye ni mwenye haki hawezi kutuhukumu kwa makosa ya watu wengine
Lakini jambo moja ambalo liko wazi ni kwamba,majanga mengi tunayokutana nayo leo ni kutokana na yale tuliyatanguliza kwa mikono yetu wenyewe,kwa maana madhambi yetu ndiyo sababu ya adhabu tunazo pata kutoka kwa Allah
Kwahiyo kusema watu wanarithi dhambi hapana kwa waislamu hakuna hiyo
Sio lazima kiti awe kama jini alivyo ,Sijapata kumuona akinywa pombe kwenye maisha yake sijui kwenye ngoma zao maana sijawahi kushiriki.
Arsis ni hatar sana habar zake,ngoja tupate maarifa mapyaHii mada ya Adam Arsis aliwahi kunipa kivyake yeye, alisema adam sio jina, adam ni cheo, wapo adam wengi sana miaka mingi sana na hata kaumu ya firauni ina mika zaidi ya million moja nayo wanaita adama.
Arsis elimu yake ina utata sana kwetu Waislam na wasio Waislam, anasema watu hawaisomi Qur'an wanawasoma watafsiri wa Qur'an ambao wanawapoteza sana watu.
Simba.
Jana nimesikiliza audo na Arsis kasikiliza na leo nimesikiliza hii, kwa kua sio swali kwa Arsis ikabidi asijibu lakini Arsis amesema ongea wewe Simba.Nilimuuliza kaka kuhusu familia au ukoo unaweza kukufunga usifanikiwe? Majibu yake kwenye audio
hatari kubwa lakini anasema mbona hata Masheikh wakubwa wanasema hilo, anashangaa kwanini hamsomi? Kwanza anabisha wanaosema Adam ni mtu wa kwanza, anasema hakuna hio kwenye Qur'an, kama ipo leteni aya hapa.Arsis ni hatar sana habar zake,ngoja tupate maarifa mapya
we chalii unataka kua mganga mbona maswali magumumagumu?Sawa, umejibu vyema kabisa.
Niambie unafahamu nini kuhusu jini maiti ?
Mie nasoma, yapo ya Arsis yanaingia akilini mwangu, yapo ambayo sina majibu. Lakini nimeipenda elimu yake na nahisi anajaribisha ku "simplify" tumuelewe wengi.Siku zote huwa ninakukubali mpaka Sasa ninakutegemea wewe uko engo Gani kwenye Uzi huu
Ningeshaomba mwamba.Na wewe unahitaji msaada bingwa?
Simba.
Kama huna majibu kwanini humuulizi Arsis au mimi ataupata ujumbe.Mie nasoma, yapo ya Arsis yanaingia akilini mwangu, yapo ambayo sina majibu. Lakini nimeipenda elimu yake na nahisi anajaribisha ku "simplify" tumuelewe wengi.
Itakua vizuri maana hii mada mimi nimemuelewa lakini mpaka sasa haijaingia akilini. GTuletee clip tuione.Hii nimemuelewa sana, nilishawahi kuandika mada hii JF. Jakuna challenges.
Hapa namuunga mkono Arsis asilimia 100. Niliisikia hii mada kwa Sheikh mkubwa sana na maarufu duniani, ngoja niitafute video clip yake.
Kwakuwa stori imegusa dini yako (quran) basi umejitia upofu huoni kama ni ya kutunga na bado unajazia nyama! Kila kilichoandikwa humu ni chakufikirika, hakuna ukweli hata 10%. Mtu mzima unaambiwa mtu alifungua chupa akiwa kazungukwa na joka la vichwa vitatu, dragoni anayetoa moto mdomoni sijui na wanyama gani na wewe unaamini kisa kaigusa quran!? Huo ni zaidi ya wendawazimu.Nimefuatilia story yako toka mwanzo kuna elimu kubwa hapa hasa kuhusu viumbe wengine ambao binadamu tunawachukulia poa lakini maisha yetu mengi yanaathiriwa na viumbe hivyo either in positive way or negative way.
Kwa ufupi nikuwa:-
1. Majini wapo wazuri na wabaya kama walivyo binadamu ila ulimwengu wao hauonekani kwa macho ya kawaida.
2. Majini wema wanaweza kutoa misaada kwa mtu hasa aliyekumbwa na majini wachafu hii kwa wasomaji wa ruqya wanalijua sana
3. Qur an ina nguvu kubwa sana isiyomithilika ila wengi katika waislamu wanaichukulia poa.
Mwisho nina maswali ndugu la kwanza embu muulize Arsis anayajua majina ya BARHATIYAH na je ni katika shirki ?
Swali la pili, Muulize Je ni kweli mafuta ya miski yanawaumiza majini wabaya?