Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ni mtazamo kwa uelewa wako lakini sio uhalisia kwa wengi.
Hatima ya mwanaadam imegawanyika mara mbili tu mwalimu..... (Usipokuwa huku ni lazima uwe kule, either kwa kujua au kutojua!!
(Kwa Imani yangu na Wafuasi wa hivi vitabu wooote ulimwenguni lazima wakubaliane na mm
Injili, Taurat, Zaburi na Quran)

Kwa watu wa Imani zingine huwenda wanamitizamo tofauti, ila hukum ya Wafuasi wa vitabu tajwa hapo juu wanaishi chini ya hii Sheria


Na kwa upande wa majinn sijui hatima yenu ipoje.. ila kwetu binaadam huwa hatuna option namba 3
 
Mkuu nakuelewa sana uko sahihi,una madini aisee endelea kutuelimisha.
 
Sikuelewi unasema nini.
 
In sha Allah tutatafuta njia, tutakujulisha hapahapa.

Tumuombe Allah atufanyie wepesi.
 
Arsis
 
Viumbe hao ila hii dunia hii , tufanye mema sana na kuwa waja wema tu ila iko na wenyewe
 
Unaeleweka ndugu😁
 
Ibada unafanya? Hususan za salat? Kama hufanyi anza mara moja.
 
Naomba kufahamishwa jambo:
Miaka ya nyuma nilipokuwa mdogo mzee wangu alikuwa na elim flan hivi.... alipendelea kuiita elim ya malaika!!
Alikuwa ananipa story kuhusu hawa viumbe, makazi Yao, kazi zao husika, siku zao n.k
(Kwa Imani yake alikuwa ananiambia hao n malaika!!)
Mfano alikuwa anamtaja sana METATRON na Ariel

Alikuwa anajua namna ya kuwaita... (Kipindi hicho mm nilikuwa mdogo sana, akaniambia ukikua ntakufundisha kila kitu kuhusu hii elim)

Kwasasa mzee wangu kishafariki... ila kitabu alichoandika chenye elim 80% aliyokuwa nayo kipo!!
Huwa naogopa hata kukifata maana nahisi hizo elim n ushetani 🤔

Hivi hao kina METATRON, Ariel n.k ni malaika kweli au mzee alikuwa anadeal na demons??

Maana alikuwa akitaka kuwaita anafunga week nzima, Ali vyakula vyenye roho n.k ........
Halafu maneno ya kuwaita hao viumbe n lugha ya ajabu kidogo,,,, nadhani n lugha za kale
Mfano wa hii hapa chini...
("Baruch ata adonai elohim melech haolam")

Na zingine ngumu zaidi:::::

Em sema neno hapa Arsis

Hii elim sio ya gizani kweli?
 
Hii lm ina mitazamo tofauti. Kwanza kabisa iategemea uelewa na ufahamu (Arsh) ya mtu anaeliongelea au anaelisikiza.

Huwa tunaamua hiki ni nini au nini kutokana na uelewa (Arsh) zetu.

Ukubwa na upana wa "arsh" zetu hutokana na tulioyaona, yasikia, yasoma, yanusa, yaonja na kuyapitia kwa uchache au wingi wake katika maisha.

Mfano; Mtu alyeishi Alaska ambako barafu siku zote na mpaka ana miak 30 hajwahi kuona au kusikia chochote kuhusu embe mbichi za pilipili ya unga iliyochanganywa ana chumvi, hawezi kuuhisi ule ugwadu mawazoni mwake na hawezi kujawa na mate kinywani. Tofauti na mimi ninaezijuwa, ikielezewa tu mate yananijaa kinywani.
 
Asis kwakweli unatuchanya ulichoulizwa na jibu lako sinahakika kama vimewiana.
 
Wakristo hao
 
Kweli hata mimi nimeona kama vile hajajibu ulichouliza, kumbe sivyo!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…