Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Binadamu walijiamulia kuwa na miungu yao kutafuta shortcut ambazo hazipo, au zenye madhara.Hio point yako ya "miungu wengine" nimekuelewa, kwa hio Mungu anajua kuna miungu wengine kawaumba yeye au watu tu wamejiamulia kua huyu mungu, yule sio mungu?
Maulamaa wa Kiislam wanatufundisha kua wenye Qur'an tunajifunza kua Firauni wa wakati wa Musa alisema yeye mungu.
Simba.
Imebidi nicheke tu na hii sababu yako.Mlima unakusaidia kuonekana kiurahisi.
Kwahyo Mungu wapokei maombi hawapati taabu kukutambua
Ndo tuulize msada hapaIla huyu mara nyingi hukaa kweny madhahifu... Hawezi kaa kwa mtu msafi moja kwa moja🤝
Sasa hapa kuna mawili either amekutawala tayar
Au huja kiwiziwiz na kuondoka!!
Me mwenyew ninae huyo kiumbe, ni hatari sana anaweza akakuwinda mwezi mzima..... Na vita yake kubwa n kukufanya usifanye ibada ili akutawale
Lakini mm angarau hanisumbui sana
Huyo ni tatizo jepesi sana. Unatakiwa wewe anaekusumbua uwe na moyo, umuite aje muonane uso kwa uso.Unasaidiaje mtu mwenye tatizo la jini mahaba?
Naomba turejelee katika hili swali kama hutojali?Kaririin ndio jina la pili. Na kwakutumia jina hili la kaririin unaweza waitwa wa Khodam wakaja na ukaomba usaidizi wowote toka kwao.
Funguka Simba, kuna wengi wana matatizo hayo.Huyo ni tatizo jepesi sana. Unatakiwa wewe anaekusumbua uwe na moyo, umuite aje muonane uso kwa uso.
La kwanza kabla ya yote yote ni ibada kuacha maasi.
Kuna sababu za kukwambia hivyo.
Simba.
EnheeHuyo ni tatizo jepesi sana. Unatakiwa wewe anaekusumbua uwe na moyo, umuite aje muonane uso kwa uso.
La kwanza kabla ya yote yote ni ibada kuacha maasi.
Kuna sababu za kukwambia hivyo.
Simba.
Kweli hili janga la wengiFunguka Simba, kuna wengi wana matatizo hayo.
Namuitaje sasa 😌Huyo ni tatizo jepesi sana. Unatakiwa wewe anaekusumbua uwe na moyo, umuite aje muonane uso kwa uso.
La kwanza kabla ya yote yote ni ibada kuacha maasi.
Kuna sababu za kukwambia hivyo.
Simba.
Kabisa hili tatizo ni suguFunguka Simba, kuna wengi wana matatizo hayo.
Ila hii kitu simshauri mtu kufanya..... Sabb Jinn mahaba ni ibiris, Sasa ukimuita tafsiri yake mtabidi mfanye mapatano, (na hapo itabidi iwe win win situation..... ) Sasa swali n moja mapatano na ibiris unadhan yatakuwa na faida kwako?Huyo ni tatizo jepesi sana. Unatakiwa wewe anaekusumbua uwe na moyo, umuite aje muonane uso kwa uso.
La kwanza kabla ya yote yote ni ibada kuacha maasi.
Kuna sababu za kukwambia hivyo.
Simba.
Sema Arsis anakwama sana ukiona watu wanajsugu
Tuna share issue moja hivyo hivyo namie ila ibada nafanya sana tu ila akiamua balaa lake hata iwe mwezi wa ramadhan na mchana umepata kailula anakuzingua tu.Ila hii kitu simshauri mtu kufanya..... Sabb Jinn mahaba ni ibiris, Sasa ukimuita tafsiri yake mtabidi mfanye mapatano, (na hapo itabidi iwe win win situation..... ) Sasa swali n moja mapatano na ibiris unadhan yatakuwa na faida kwako?
Mwalim wangu alinikataza hiki kitu nisijejaribu kufanya.... Maana Kuna muda nilimwambia huyu jinn wa kike kanifundisha namna ya kumuita pia kanipa na Pete hlf kanitamanishia mali.
Akasema hzo n mbinu za ibiris kutaka attention yako usije thubutu kufanya anavyotaka.... Siri hapa n yeye akutii na afate matakwa yako usimfatilize ishi Kama hayupo🤝
Fanya ibada mpk aweke siraha chini
Huo ndo ushauri niliopewa
Ulitaka kusemaje nduguTanga
Kwa hiyo ni kama alivyofanyiwa Simba? Kapewa pete. Kafundishwa jinsi ya kuita majini...Ila hii kitu simshauri mtu kufanya..... Sabb Jinn mahaba ni ibiris, Sasa ukimuita tafsiri yake mtabidi mfanye mapatano, (na hapo itabidi iwe win win situation..... ) Sasa swali n moja mapatano na ibiris unadhan yatakuwa na faida kwako?
Mwalim wangu alinikataza hiki kitu nisijejaribu kufanya.... Maana Kuna muda nilimwambia huyu jinn wa kike kanifundisha namna ya kumuita pia kanipa na Pete hlf kanitamanishia mali.
Akasema hzo n mbinu za ibiris kutaka attention yako usije thubutu kufanya anavyotaka.... Siri hapa n yeye akutii na afate matakwa yako usimfatilize ishi Kama hayupo🤝
Fanya ibada mpk aweke siraha chini
Huo ndo ushauri niliopewa
Hakaika uko na maarifa mengi yahusuyo viumbe ( spirits )Ila hii kitu simshauri mtu kufanya..... Sabb Jinn mahaba ni ibiris, Sasa ukimuita tafsiri yake mtabidi mfanye mapatano, (na hapo itabidi iwe win win situation..... ) Sasa swali n moja mapatano na ibiris unadhan yatakuwa na faida kwako?
Mwalim wangu alinikataza hiki kitu nisijejaribu kufanya.... Maana Kuna muda nilimwambia huyu jinn wa kike kanifundisha namna ya kumuita pia kanipa na Pete hlf kanitamanishia mali.
Akasema hzo n mbinu za ibiris kutaka attention yako usije thubutu kufanya anavyotaka.... Siri hapa n yeye akutii na afate matakwa yako usimfatilize ishi Kama hayupo🤝
Fanya ibada mpk aweke siraha chini
Huo ndo ushauri niliopewa
KijiniKijamaa kipi hicho?
Simba.
Na atashangaa zaidi,Allah anasema katika qur'an yeye yupo karibu nasi kuliko hata sisi tulivyo karibu na mshipa wetu wa shingo,sasa ebu jiulize mshipa wa shingo upo mwilini mwako lkn Mungu yupo karibu zaidi kuliko huo mshipaImebidi nicheke tu na hii sababu yako.
Mwenyezi Mungu anatuona na anatusikia hata ndani ya nafsi zetu bila kutamka yetu.
Hio ya kwenda milimani naona ni sababu yakupata utulivu na ukimya tu.
Simba.