EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,563
- 21,380
Tuseme ni waafrica,Kwanini huzijui sura wakati muda mwingi ulikuwa naoNi kama wadigo wa Tanga, lakini amini usimini sizijui sura zao mpaka leo. Nimeshawaona kwa sura tofauti tofauti. Kuna wakati siwaoni kabisa lakini naelewa kua yupo au wapo. na naelewa ni yupi aliopo.
Simba.
Nimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tubishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.Tuseme ni waafrica,Kwanini huzijui sura wakati muda mwingi ulikuwa nao
Hicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.Du kumbe umeshawahi hadi kumkwea mwewe
Hatujabishana ndugu nimefanya tu hitimisho kwa kuseme tuseme ni waafrica maana swali langu lilijikita katika race in general na sio kikabila nikisema race namaanisha arab,Indian,African nk,ungenijibu tu kiafrica ingetosha kuliko kuingia hadi.kwenye udigo sikutaka hicho,kwahiyo ulivyoniambia wadigo ndio nikawaingiza kwenye kundi la waafrica na sio kubishana,nimeshangaa umekuwa mkali ghalfaNimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tibishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.
Simba.
Teleportation, is the act of traveling by an imaginary very fast form of transport that uses special technology or special mental powers, or of causing someone or something to travel in this way:Hicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.
Simba.
Umesema Jin 1 ndiye binti na anaonekana kukupenda. Ukimtaka anaweza kukupa?Ni kama wadigo wa Tanga, lakini amini usiamini sizijui sura zao mpaka leo. Nimeshawaona kwa sura tofauti tofauti. Kuna wakati siwaoni kabisa lakini naelewa kua yupo au wapo. na naelewa ni yupi aliopo.
Simba.
Mbona hatuelewani,faiza fox aliongea na mtu huko juu habari za Canada ndio nikamtania kuwa ameshawahi kupanda mwewe kama.mtu kafika Canada inamaana alipanda ndege,ni utani na sio kushangaaHicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.
Simba.
Unaposema mtu huoni sura yake unamaanisha haipo au hiyo sura inakuwaje mpaka haionekani huku mwili ukionekana,nimejikita bado.kule k/koo uliposema kuna wengine sura zao ulikuwa huzioniHicho nacho ni kitu cha ajabu? kwa kuujulisha tu nishawahi kusafiri bila huyo mwewe wala chombo chochote kile. Arsis anaiita telepoteshen.
Simba.
Kama huwaoni sura inakuwaje unajua kama wanakuja kwa sura tofauti tofautiNimekwambia kama wadigo wa Tanga, kama umeona wadigo wa tanga sio Waafrika kwanini tibishane kwa hilo? Sura sijui kwa sababu wanakuja kwa sura tofauti tofauti na tunapoongea mara nyingi hupenda kujiweka upande ambao hatuonani uso kwa uso. Mfano Arsis mpaka leo sijawahi kumshudia, naongea na sauti yake tu.
Simba.
Mambo ya quantum mechanics haya.Teleportation, is the act of traveling by an imaginary very fast form of transport that uses special technology or special mental powers, or of causing someone or something to travel in this way:
Labda uliandika bila kuni quote.Mbona hatuelewani,faiza fox aliongea na mtu huko juu habari za Canada ndio nikamtania kuwa ameshawahi kupanda mwewe kama.mtu kafika Canada inamaana alipanda ndege,ni utani na sio kushangaa
Pengine aisee au nilipanga ku-reply kwako nikakosea nikapost kawaidaLabda uliandika bila kuni quote.
Haya ushajibiwa.Pengine aisee au nilipanga ku-reply kwako nikakosea nikapost kawaida
Sawa grannyHaya ushajibiwa.
Race inazaa racism.Hatujabishana ndugu nimefanya tu hitimisho kwa kuseme tuseme ni waafrica maana swali langu lilijikita katika race in general na sio kikabila nikisema race namaanisha arab,Indian,African nk,ungenijibu tu kiafrica ingetosha kuliko kuingia hadi.kwenye udigo sikutaka hicho,kwahiyo ulivyoniambia wadigo ndio nikawaingiza kwenye kundi la waafrica na sio kubishana,nimeshangaa umekuwa mkali ghalfa
Pole sana.Simba naomba mshauri mume wangu cha kufanya kwenye upande wa rizki, anaweza kukaa hata mwaka mzima hajaingiza hata thumni.huu mzigo nimeubeba zaidi ya miaka 15 sasa bdo sijamkatia tamaa ila kibinadamu inachosha.....sisi ni wakristo lakini kwa maustadhi tumeenda sana na kwengine alienda mwenyewe! Hata kazi hapati wakati mwingine unaiona kazi hii hapa anafanya interview hapati. Tunajua ni uchawi na muhusika ni mtu wake wa karibu sanaa! Natamani umuelekeze afanye nini ili hii nuksi imtoke aishi km wanaume wengine japo watu wanaotuzunguka hawajui hali yake kwasbabu Mimi nafanya kazi na kuziba mapengo yote ila kuelemewa kupo kwasbabu kipato hakitoshi....natangulza shukrani zangu