Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nani aliandika hicho "kitabu cha mwanzo", mfano wake ndiyo kama wewe au yule mzungu mnamwita yesu?
 
Hakuna kabisa. ataekwambia hivyo kakudanganyana.

Qur'an imetaja neno au jina tawrat la hakuna "torati" ndani ya Qur'an. Siyo tu ndani ya Qur'an hakuna torati hata ndani ya bilia hakuna torati.
Huu ni upeo wako FF.

Ngoja tuwaulize wenye ilmu zaidi.

Arsis tusaidie hili ni kweli kwenye kitabu cha Quran hakuna Torati, zaburi na injili?

Simba nifikishie hili swali kwa Arsis
 
Nani aliandika hicho "kitabu cha mwanzo", mfano wake ndiyo kama wewe au yule mzungu mnamwita yesu?
Mimi nafanya mjadala na mtu ambaye anatumia akili na logic, hapa hatupo kwenye mihadhala ya kina mazinge kuleta propaganda za maandiko.

Huenda una Biblia yako siwezi kubishana na wewe, ngoja nimsubiri Arsis atanipa majibu mujarabu wewe wapikie katilesi wajukuu tu.
 
Huu ni upeo wako FF.

Ngoja tuwaulize wenye ilmu zaidi.

Arsis tusaidie hili ni kweli kwenye kitabu cha Quran hakuna Torati, zaburi na injili?

Simba nifikishie hili swali kwa Arsis
Naam, ndiyo upeo wangu, upeo wako unasemaje?

Narudia, hakuna hivyo vitabu ulivyovitaja ndani ya Qur'an, yametajwa hayo majina kama ulivyotaja wewe hapo. Tena injili iliyotajwa ni ya Isa siyo ya Luka wala Nathayo wala Marko wala John wala Paulo.
 
Umeulizwa swali umeshindwa kujibu unarukia "akili na Logic"?

Biblia zipo nyingi kibao, juu hapo kidogo nimeandika, hilo sikupingi, nambie yako unatumia ni ipi tutumie hiyo hiyo moja.

Unauliza biblia ipi na unayo smartphone mkononi? Wewe sema unataka ipi?
 
Naam, ndiyo upeo wangu, upeo wako unasemaje?

Narudia, hakuna hivyo vitabu ulivyovitaja ndani ya Qur'an, yametajwa hayo majina kama ulivyotaja wewe hapo. Tena injili iliyotajwa ni ya Isa siyo ya Luka wala Nathayo wala Marko wala John wala Paulo.
Subiri wenye ilmu zaidi yako waje kukufundisha Quran badala ya kupayukapayuka bila logic.
 
Subiri wenye ilmu zaidi yako waje kukufundisha Quran badala ya kupayukapayuka bila logic.
Wewe huijiuwi? Au huna logic?

Waambie hao unaotegemea akili zao, kwa kua wewe zako ziko livu. Mimi nasema, hakuna Torati kwenye biblia wala Qur'an. Kusanyikeni wewe na wenzako unaowategemea mjibu hilo. Mwenzako mmoja anajiita Dr Matola PhD juu hapo kajibamiza mwenyewe, hana hamu.

Huwa sikisii.
 
Jina halisi la Yesu ni lipi mkuu. Arsis hakukwambia?!
 
FF hio ni kawaida ya mijadala ya JF, watu wanaunganisha mada, lisikustue sana, wewe jibu hoja kwa mtazamo wako, au kama kakutoa nje ya mada na huko alikokupeleka una jibu lake mjibu halafu mrudishe kwenye mada bila kauli za kuudhi. kama hauna jibu mfahamishe tu mada iliopo.

Hapa tupeane elimu kadiri ya uelewa wetu.
Simba.
 
Halotel bundle GB 7 Kwa 7,000/= GB 15 Kwa 15,000/= Malipo baada kuungwa🔐
Nipo CBE-DODOMA
📍Vifurushi vya MWEZI
#0682817246
.
HALOTEL TU.
 
Lina nyuzi zake hapa JF, nimeachana na mila na tadamuni zao.
Simba.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…