Hili wala halina haja ya kujibiwa na Arsis.Hapa mimi nina swali kwenye hoja ya kwanza ya Jini.
Kama jini ni kiumbe cha Allah wameumbwa ili wamuabudu Allah, je majini wanatumia kitabu gani?
Je majini ni dini gani?
Je majini wanaswali wapi?
Je kuna ukweli wowote kwamba kuna binadamu wanatengeneza majini na kuyafuga na kuyatuma?
Naomba na Arsis atie neno kwenye haya maswali yangu yanayonitatiza.
Asante.
Good, ask your dad about it.In my dream..
My Dad called them by doing some signs..it seemed like a ritual then he pointed somewhere..and I found myself in a room with some women and children with age Kama 16 ivi!
Well iam not sure if he knows about it...Good, ask your dad about it.
Simba.
Muhimu ni kua usiwaabudu na kushirikiana nao kwenye uovu. Kuna mashetani kati yao.Nakupata vyema sana mkuu, nina swali sasa utamtambuaje huyu jini ni mwema maana kigezo cha kukutendea mazuri hakutoshi kuwa bayana ya nia iliyojificha.
Na imeelezwa huko juu kuwa moja ya sifa zao kubwa ni uongo. Kama tujuavyo muongo haaminiki.
Vipo vinakuja, nina shughuli nyingine za kufanya, ukiona kimya ujue nimetingwa na mengine. Leo nimepandisha sana kisa asubuhi.Visa vya Arsis Viko Wapi Simba!!
Unayajua mwenyewe, ibaki kua ni siri yako na unaoshirikiana nao.mambo gani?
Kwa mujibu wa uislamu hakika Allah ametusamehe wanadamu kwa yale tunayoyawaza mpaka tuyatekeleze kwa vitendoHili jaribu halikua katika mwili bali katika roho,
shetani ni roho, na yesu alikua katika roho mawazo ya uovu wa shetani katika roho yalikua yanamjaribu yesu katika roho. Hapa ndio zile dhambi tunazozitenda kwa kuwaza kama tunaposhindwa kuzuia mawazo yetu kuanzia zinaa,kudharau nk
Jukwaa la wazi linasaidia wengi, kama mimi sina majibu wapo wajuzi zaidi yangu JF.Clear Mbwai mbwai tu, simba hataki masiara na dm , apa simba kanyooka kama rula yani
Tumeshajibu.
Nimeelewa vizuri kiongozi kwa upande wa Kiislamu,shukrani sanaKwa mujibu wa uislamu hakika Allah ametusamehe wanadamu kwa yale tunayoyawaza mpaka tuyatekeleze kwa vitendo
Just imagine huwa tunawaza mambo mangapi ya ajabu?
Na imeenda mbele zaidi,lau mwanadamu alikuwa akiwaza kufanya ovu ana asilifanye basi huandikiwa jema moja na lau akalifanya basi huandikiwa baya moja
Na lau aliwaza kufanya jema na asilifanye lkn kwa nia yake tu atapata jema moja na lau akalifanya hilo jema moja huandikiwa mema kumi mpaka mia saba na zaidi itategemea na nia yake madhubuti
Hayo ni mafundisho ya uislamu
Asante
Taratibu, pengine hajui Kiswahili vizuri.Na wewe tuondolee kichefuchefu, jukwaa la Kingereza hulioni?
Hapo ndipo huwa nachokaga na porojo zenu,mungu kampeleka yesu kwa iblis akajaribiwe,hlf unamalizia kwa kusema alipewa mtihani kutoka kwa munguHaya ni maneno yako, Biblia haisemi hivi.
Inachosema Biblia Yesu alipelekwa jangwani na Mungu mwenyewe ili ajaribiwe na Ibilisi na alifunga usiku na mchana kwa siku 40, na huu ulikuwa ni mtihani wake kutoka kwa Mungu.
Habari za jini umezitowa wapi?
Umeuliza swali acha wajibu kwa uelewa wao, kama hutaki kujibiwa kwanini umeuliza?Hapo ndipo huwa nachokaga na porojo zenu,mungu kampeleka yesu kwa iblis akajaribiwe,hlf unamalizia kwa kusema alipewa mtihani kutoka kwa mungu
Je wakati huo Yesu ni mungu au sio mungu
Naomba msinijibu hizo porojo zenu tafadhali
Asante
Hapa lazima ujibiwe, msingi wa mapokeo ya Ukristo ni utatu mtakatifu hii ndio walikaa Nicea kupitisha.Hapo ndipo huwa nachokaga na porojo zenu,mungu kampeleka yesu kwa iblis akajaribiwe,hlf unamalizia kwa kusema alipewa mtihani kutoka kwa mungu
Je wakati huo Yesu ni mungu au sio mungu
Naomba msinijibu hizo porojo zenu tafadhali
Asante
Huwa sipendi porojo,nimewapa wazo wajitafakari imani yaoUmeuliza swali acha wajibu kwa uelewa wao, kama hutaki kujibiwa kwanini umeuliza?
Au sijakuelewa?
Simba.
Huwa sipendi porojoHapa lazima ujibiwe, msingi wa mapokeo ya Ukristo ni utatu mtakatifu hii ndio walikaa Nicea kupitisha.
Kwa upeo wangu wa kusoma maandiko yupo Mungu baba na Yesu ni chosen one hata Quran inathibitisha hili kwa kumtaja Yesu kama mtume wa daraja la juu kabisa na yuhai yupo mbinguni na Allah, huyu ndio ninayemfuata mimi.
Wewe bado maamuma kwenye kitabu chako kimoja tu Quran ndio sembuse vitabu 66 vya Biblia una uwezo wa kuvielewa?Huwa sipendi porojo,nimewapa wazo wajitafakari imani yao
Si kwamba nashindwa kufanya mjadala na wewe laa,ila utanipa porojo zako nyingi sanaWewe bado maamuma kwenye kitabu chako kimoja tu Quran ndio sembuse vitabu 66 vya Biblia una uwezo wa kuvielewa?
Kwani Mashia na Sunni msimamo wenu ni mmoja kwenye Uislamu?
Ndio hapa mnafundishwa ilmu mjifunze uislamu kwa kutumia Quran na siyo kudandia Biblia yenye vitabu 66, kama kitabu kimoja tu cha Quran kinakuchanganya je utaviweza vitabu 66 vya Biblia?
Kuna kitabu kama cha Ufunuo wa Yohana kinatakiwa kusomwa na watu inteligence tu kimejaa code language.