The Republican
Senior Member
- Dec 5, 2021
- 174
- 309
Okay, kumbe haikushushwa kama tulivyoaminishwa?Quran haikuanfikwa wakati wa mtume, na mtume mwenyewe hakujuwa kusoma wala kuandika.
Quran imeandikwa miaka kadhaa mbele baada ya mtume kufariki.
Point yako ni nini bossQuran haikuanfikwa wakati wa mtume, na mtume mwenyewe hakujuwa kusoma wala kuandika.
Quran imeandikwa miaka kadhaa mbele baada ya mtume kufariki.
Upuuzi mtupuArsis, hili suala kwamba uislam ulianzishwa na kanisa katoliki unalizungumziaje?
Boss uliza kama unaswali sio mnalishwa matango.pori.halafu mnakula na kushiba kabisa,mengine ni sumuOkay, kumbe haikushushwa kama tulivyoaminishwa?
Hivi wewe unajielewa kweli? mtu asiyejuwa kusoma anasoma vipi?Point yako ni nini boss
Kwamba kwakuwa hakujua kusoma ndio hakusoma qur'an au?
Qur'an imefanywa wepesi kukaririka ndio maana imehifadhiwa moyoni,kwahiyo qur'an iko vifuani mwa waislamu,kwahiyo Mtume alisoma kile ambacho alikihifadhi moyoni,au umekremu kusoma ni.kwenye makaratasi tu?
Nimemuuliza ArsisUpuuzi mtupu
Ishushwe vipi wakati kwenye kitabu cha Quran kuna Torati, zaburi na injili?Okay, kumbe haikushushwa kama tulivyoaminishwa?
Qur'an iliandikwa ndugu @Dr Matola, lakini Mtume S.A.W aliwaambia maswahaba zake wakisome kile walichokiandika. Ilipofika Khilafa ya Uthman ndio Qur'an ilikusanywa kwa pamoja.Hivi wewe unajielewa kweli? mtu asiyejuwa kusoma anasoma vipi?
Kipindi cha mtu Quran haikuwa imeandikwa Quran imeandikwa miaka mingi baada ya kifo cha mtume, hapa nini usichoelewa?
Qur'an ilishushwa au kuteremshwa na alieiteremsha ni Jibril A.SIshushwe vipi wakati kwenye kitabu cha Quran kuna Torati, zaburi na injili?
Mche Allah na Tambua kuwa utahukimiwa kwa ulichokiandika, HADITHI za Bw. Mtume ziko zaidi ya Laki 6, yote ni Maneno yake ikiwekwa katika isnad ya wapokezi, Aya ipi ya Qur'an ambayo Mtume hakuifundisha?Arsis; Swali zuri sana.
Wanatumia bila kujijua, wamekua "brain washed" na hawaelewi tofauti, kwa sababu wanafata tafsiri. Hivi visa na mafundisho ya biblia yaliingizwa miaka mingi sana kwenye tafsiri za Wur'an sio Qur'an yenyewe. Ilianza baada ya kufa Mtume Muhammad.
Mtume, hakuitafsiri Qur'an, wanamzushia eti katafsiri. Mtume hakuna aya zaidi ya 10 au ishirini ndizo alielezea maana yake. Tafsiri zingine zote ni za kutunga au kugtokea biblia au fantasy za waandishi wa tafsiri, kama alfu lela u lela tu.
Mkiependa kujua zaidi kuhusu historia ya hadithi na kuna majina makubwa ya watu wa hadithi kwenye vitabu vyao wanakiri kuna visa wamevielezea kutokana na biblia, hii ni kwa kutokujua ubora na umuhimu wa Qur'an au kwa kudhani watu wataelewa zaidi wakifanya hivyo. Na wengine ni kwa makusudi kabisa ili wapotoshe ubora wa Qur'an.
Pia mkipenda kujua zaidi elimu ya Qur'an bila kutumia hadithi za kujitungia, ulizeni maswali kama hili, yenye nguvu. Kuna njia nyepesi za kila mmoja wetu kuweza kutambua hii hadithi ya kwe;i au sio hya kweli.
Kama mnakumbuka kuna mtu kaleya mstari juu huko, kaupamba kwa Kiarabu nikamuuliza aya ipi hii? Akajibu hadithi, nikamwabia hadithi ipi hio? Hajajibu tena, sasa ananisoma kwa kunusa nusa tu. Namwambia usofanye hivyo, sio elimu hio. Kama yalikua ni maneno ya mshairi sema tu ni mshairi, kama hujui yametoka wapi na uliyasikia tu, sema hayo nilisikia tu lakini sina elimu nayo yametoka wapi.
Tuytumie hili jukwa kujua mengi sana. Ya dini, ya sayansi, ya ulimwengu. Ya dhahiri na siri za kidunia. Tusowe na jazba kama hatujui kitu au tunas shaka nacho, sisi hatuwezi kujua kila kitu, isipokua tunasema umri huongeza maarifa na busra, nadio elimu yenyewe hio.
Hakuna zaidi ya Allah na mafundisho yake.
Arsis.
Huyu anaweza kufanya Kufru, tumuusie huenda kawehuka. Kawa Hajielewi. Afanyiwe Ruqya huyu, au apelekwe Mirembe.Niliyetoa hadithi ni mimi.
Kuna kitu tunatofautiana ili kuendena na mjadala vizuri, Nimeona watu wengi wanajaribu kukujibu kwa maandiko lakini wewe haujibu kwa maandiko hii imekaaje?
Sisi wengine hatutaki hadithi zisizokuwa na ushahidi unasema mara nyingi quran ni kitabu bora sana ila cha ajabu kwenye ujibuji wako wa maswali huweki reference yeyote ya quran au hadithi sasa tutakuamini vipi? Alafu sisi tukijitahidi kuweka wewe unakuja kupinga tu bila kutoa alternative hii sio kanuni ya kielimu.
Elimu ina misingi yake na moja wa msingi wa elimu Ni logic & evidence .
Nilikuuliza swali kuwa umesema adamu wapo wengi sasa kama wapo wengi maana yake adamu yeyote kati ya hao wengi akiwa ndio wa kwanza kuumbwa bado haiondoi ukweli kuwa Adam Ni binadamu wa kwanza maana wote wanaitwa Adam.? Hapo vipi?
Vinginevyo onesha katika quran kama adamu sio binadamu wa kwanza na useme wa kwanza ni nani? Katajwa wapi? Jina lake nani? Limetajwa wapi?
Iliandikwa na nani?Qur'an iliandikwa ndugu @Dr Matola, lakini Mtume S.A.W aliwaambia maswahaba zake wakisome kile walichokiandika. Ilipofika Khilafa ya Uthman ndio Qur'an ilikusanywa kwa pamoja.
Naam Mtume S.A.W aliwateua kundi maalumu la waandishi wa Qur'an nao ni Abdullah Bin Amr Ibn Al As, Muawiyah Ibn Abi Sufyan, Zayd Ibn Thabit na Wengineo.Iliandikwa na nani?
Hadithi ya kusadikikaQur'an ilishushwa au kuteremshwa na alieiteremsha ni Jibril A.S
Naam Swali zuri, hakukuwa na mtu mmoja aliekiandika kitabu hicho, pia wengine walikihifadhi kwa moyo mioyo Yao.Hivi mtume ana uhakika GANI kuwa yale aliyoyasema ndio yaliyoandikwa ikiwa yeye alikuwa hajui kusoma??
Ukute watu walimuingiza chaka kwahyo kitabu chote ni uongo
Hio ni perception yako, siwezi kubadilisha.Hadithi ya kusadikika
Kwa lugha nyepesi alikaririshwa sio? Kwa kuwa hakujua kusomaPoint yako ni nini boss
Kwamba kwakuwa hakujua kusoma ndio hakusoma qur'an au?
Qur'an imefanywa wepesi kukaririka ndio maana imehifadhiwa moyoni,kwahiyo qur'an iko vifuani mwa waislamu,kwahiyo Mtume alisoma kile ambacho alikihifadhi moyoni,au umekremu kusoma ni.kwenye makaratasi tu?