Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Unamaanisha kitabu cha Mashimo ya Mfalme Suleiman, ambacho yumo na Umbopa?

Hicho kweli cha kutunga, humu anaongelea Suleiman alietajwa kwa jina mara 17 kwenye Qur'an.
Simba. kNy Arsis.
 

Naona cha umuhimu sio jina nani au nani. Muhimu ni nani aleruhusu kama nchi au chama kifanye hivyo?

Nakubaliana na wanaosema ni ushetani tu.

Arsis naona kaenda mbali kidogo kuelea kwa kina tokea kina Yahaya na Saba na Katoliki na mengine.
Simba.
 
Mimi sijasema hawa katajwa mimi nipo kwa adam, Hayo ya hawa najua hajatajwa kwa jina lake, mimi nipo kwa adamu kwakuwa katajwa kwenye quran kwa jina lake kabisa Adam katika 7:12 quran

وَلَقَدْ خَلَقْنَـٰكُمْ ثُمَّ صَوَّرْنَـٰكُمْ ثُمَّ قُلْنَا لِلْمَلَـٰٓئِكَةِ ٱسْجُدُوا۟ لِـَٔادَمَ فَسَجَدُوٓا۟ إِلَّآ إِبْلِيسَ لَمْ يَكُن مِّنَ ٱلسَّـٰجِدِينَ ١١

"Surely We created you,1 then shaped you, then said to the angels, “Prostrate before Adam,” so they all did—but not Iblîs,2 who refused to prostrate with the others."

Nime highlight kabisa uone jina la Adamu lilipo, Sasa hapo ni baada ya adamu kuumbwa ndio malaika wakaambiwa wamsujudie mimi nimetumia hii aya kuonyesha kuwa adamu katajwa kwenye quran sasa wewe unataka uone wapi katajwa kama binadamu wa kwanza ? nilisha jibu hili hakuna sehemu imeandikwa kwenye kuran kuwa adamu ni binadamu wa kwanza nikakwambia waliotutangulia katika elimu wamejitahidi kufasir nakusema kuwa adamu ndio mwanadamu wa kwanza sasa wewe unaasema sio ndio nakuuliza kama sio wa kwanza ni nani ? na katajwa wapi? mbona unakwepa kujibu hapa kama kweli unaelimu na huyo Arsis anasema ana mika zaid ya 500 aoneshe elimu yake hapa ajibu hayo maswali anakwepa nini? nilimuongezea na maswali mengine anasema adamu wapo wengi nikamwambia kama niwengi basi kivyovyote vile binadamu wa kwanza atakuwa adamu tu maana waliumbwa wengi ila wote ni adamu mbona anakwepa hapa onesha iyo elimu acha maneneo matupu.

Swala la kusema nilitoa hadithi ndio nilitoa sikumbuki ipo katika asnad ya ibn majah au aboo daud nikakwambia unataka tutumie quran tu utaki hadithi? hujanijibu mpka sasa?
 
Hili andiko kila nnavosoma nagundua vitu, muhusika wa kiume ila maneno mengi ni kama muandishi jinsi ni KE, mfano anavosifia misosi maneno kama ROJO nk au et "makubwa haya 😄 "
 
Unavyosema binafsi unaamini Yahya ni kaka ake isa mama yao ni mmoja leta ushahidi ?
Katika Quran hajatajwa mama yake yahya wewe umejuaje mama yake ni mariam?
kwenye quran katajwa zakaria kama baba yake yahaya katika 3:39 imran

إِذْ قَالَ ٱلْمَلَائِكَةُ يَا زَكَرِيَّٓ إِنَّ ٱللّهَ يُبَشِّرُكَ بِغُلَامٍۢ اسْمُهُ يَحْيَىٰ لَمْ نَجْعَلْ لَهُ مِنْ قَبْلُ سَمِيًّا
"Wakati malaika waliposema: ‘Ewe Zakaria! Hakika Mwenyezi Mungu anakupatia bishara ya mtoto anayeitwa Yahya. Hatukuwahi kumfanya kuwa na jina kama lake kabla yake.’"


Hapo katajwa baba yake yahaya tu naye ni zakaria nipe aya inayoonesha mama yake yahaya ni mariam?
ukija katika biblia mama yake yahaya kwenye biblia yahaya ndiyo yohana mbatizaji (john the baptist) ametajwa katika Luka 1:5 kama elizabet sio mariam au meritaton kama unavyomwita
LUKA 1:5 Inasema..
"Wakati wa utawala wa Herode, mfalme wa Yudea, kulikuwa na kuhani mmoja aitwaye Zakaria, kutoka katika kundi la Abiya, na mkewe alikuwa miongoni mwa binti za Haruni, jina lake alikuwa Elizabeth."

Niambie na kwenye biblia wapi katajwa mama yake yahya ni mariam?
 
Hujapotea ndungu uko sahihi
KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME
 
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.
laikin braza mbona vitabu vya uganga vipo ving tu.hio shamsul maarifa. hio ghazal tena ndio kopi kabisa
hakuna mwenye original.mbona tumekausha tu hapa tunashangaa unataka ghazal original uliiona wap?mbona kuna ghayatul hakkam, nacho si cha uganga pia ukipenda ki ggogle picatrix. sion mantiki ya kumsumbuq huyu mwamba akuelezee na kishakwambia hayo ni copy za pakistan.na jiibu lake kweli mana huko ndio wanavitoa mfano hio ghayatul hakkam.
 
Naomba tuachane na haya mambo boss,binafsi nimeridhishwa na maneno ya Allah juu ya adam

Asante
EWapi Allah hayo maneno yake kua Adam mtu wa kwanza?

Usitie maneno yako ukasingizia ya Allah. Kakatazwa hilo hata mtume Muhammad na ni onyo kwetu...

69.Suuratul H'aaqqah:

38.
Basi naapa kwa mnavyo viona,38
39. Na msivyo viona,39
40. Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima.40
41. Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache sana mnayo yaamini.41
42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo yakumbuka.42
43. Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.43
44. Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,44
45. Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,45
46. Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!46
47. Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.47
48. Kwa hakika hii ni mawaidha kwa wachamngu.48
49. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapowanao kadhibisha.Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa.49
50. Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa.50
51. Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.51

Simba kNy Arsis.

 
Wewe kama humuelewe je sisi tutamuelewa?

Tupo kupeana elimu na sio kubishana,sasa hatuna haja ya ķumdhibitishia mambo ambayo yapo wazi kabisa,,Mtume aliwalingania watu kwa qur'an kwa miaka 23 mfululizo,sasa leo unaposema hakutafsir qur'an unamaanisha nini?

18:27

"Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake."

Hapo Mtume anaambiwa na asome kitabu cha Allah kwa maana kupitia kwacho ndio alikuwa anatoa mawaidha kwa waja wa Allah,je alikuwa anawasomea tu bila kuwa fafanulia maana za aya za Allah?

Na hakika mitume walikuŵa waonyaji na wabashiri, je waliwaonya watu kwa maneno yao binafsi au ya Allah? Je hawakufafanua ujumbe wa Allah mpaka ukaeleweka?

18:57

"Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili kwa uwongo huo waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa kuwa ni mzaha."

Kwahiyo bwana Simba,si kila anachozungumza arsis ni sahihi,na hatuwajibiki kwake kwa lolote,tupo hapa kupeana elimu,kama anakuja hapa kuleta challenge ambazo hazina maana hatupo hapa kwa ajili ya porojo hapa
 
Hahaha Arsis Wa Uwongo huyu, Au itakuwa elimu yake ndogo huyo.
Kashindwa Kuelewa Al Gahazali ataweza kueleza mengineyo? Kushindwa kuijua Shams Al Maarif Al Kubraa. Au wewe ni Tapeli.

Hodari sana wewe, Arsis kaleta kwenye uzi hu huu hayo uliouliza wewe na kaelezea hivyo vitabu vilipoanzia. Unaonesha hujausoma uzi umeuanzia mwiso.

Usome uzi utayakuta aliolezea halafu mpinge kwa hayo. Hapo ndipo anaponimaliza Arsis, utafikiri alikua anajua kua atakuja mtu kuuliza swali kuhusu hivyo vitabu.
Simba.
 
Quran haikuanfikwa wakati wa mtume, na mtume mwenyewe hakujuwa kusoma wala kuandika.

Quran imeandikwa miaka kadhaa mbele baada ya mtume kufariki.
 
Hebu Nipe Jibu Mujarrab kabla Sijautqngazia umma kuwa wewe ni Tapeli wa Kidigo 😂.
Maana nashangaa kuniambia Copy zake hivi vitabu vipi Kariakoo. Hebu toa hoja za kueleweka kijana.
JF wanasema unajitekenya mwenyewe unacheka mwenyewe.

Tazama umeuliza wewe halafu unajijibu mwenyewe. Arsis kishakupoagawisha nini?

Wewe kama sio mzigua ni mbondei.
Simba.
 
Hapana, hizo ni ndimi au lisan za kibaguzi. Mbora kati yetu ni mcha Mungu au sio?
Simba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…