Ajibu mgundue hajui lolote kwa alivyo jinasibu 😀watu wenye D 3 tushajua hamna kitu hapa hana elimu hakuna cha jinn sheytwan tu 🤣😂wanakulana familia mama baba watoto bibi babu dada kaka.Yani we umesema unajibu swali lolote lkn maswali magumu hutaki kujibu full yaeleweke unajibu kwa mkato Sasa sisi tukikwambia ukweli unajibu fyongo kama ulimvojibu huyo jamaa hapo sa sijui ndo maelekezo ya Babu Yako aliyokwachia ama nn mana alikeambia mtu akiwa na swali majibu and hamna shidakutumia herufi kubwa
Anaonesha msisitizo mtu akiuliza swali mjibu kamili na maelezo ya kueleweka sio nawe unaacha mafumbo au unajibu kwa swali
Wewe lete mkasa tusome ndo unakiweza hufurahia, elimu huna wala huyo Arsis wako, hakuna wajinga humu wa kupotoshwa na elimu sio 😀Simba; Unauliza elimu inabadilisha nini kwenye maisha yetu? Pole sana ndugu yangu.
Point siyo hio, point ilikua kuelimishana na Waislam waache kubishana kwa kutumia biblia. Waelimishe kwa kitabu chao ambacho ni Qur'an. Ndio niwafahamisha wamefikia kuitafsiri Qur'an kwa kutumia visa vya kwenye biblia.
Katika kupeana nasaha elimu bora, sio bora elimu. Umeelewa?
Arsis ana njia za kipekee za kufundisha. Ni mtata sana.
Mkasa wa Unguja unakuja. Baada ya sala ya alfajiri.
Simba.
Leta story mkuu
Umwagaji damu kwa maana mauji ufisadi, lkn naona unalinganisha adam na damu,sio sawaKwani mbali na binaadam ni kiumbe gani kingine kina sifa ya “Damu” mpaka Malaikah wazungumzie umwagaji damu ?
Damu (Adamu?!)
Hii ishu nakuwachia wewe sasa naona unaikwepa kijanja janjaArsis: Qur'an ni muujiza unaoishi. Hakuna dalil ya kukisia.
Weka hio aya tukufahamishe kilichokusudiwa. Kama huna haraka sana, baada ya kukiri kuwa huna aya naa kuleta aya biblia, sasaunatakiwa ulete Hawa, manesema ni mkewe Adam, Waislam mmemsoma wapi? ummmetowa wapi?
Tukimalizana na la Hawa, naahidi kuanza kuwa elimu kidogo kidogo ya adam ni nani. kwa mujibu wa Qur'an.
Unajua kua Adam wako wengi, sio mmoja tu?
Arsis.
Wewe una porojo sana boss,aya tumekuletea za qur'an lkn naona sasa tunafanyana watoto wakati sisi ni watu wazimaArsis; Ujanja upi wa maneno? Umeleta aya za biblia hapo au hujaleta?
Mbona mpaka sasa wewe na Waislam wengine mmeshindwa kuleta aya za Qur'an zinazoonesha Adam ni mtu wa kwanza?
Hawa mmetoa wapi? Hili la Hawa naona wote mmeshindwa hata kujitetea japo kidogo.
Ushauri wangu, semeni ukweli kua hakuna, ili niwafundishe Qur'an bila kutumia biblia kuitafsiri Qur'an.
Bapo mpaka sasa mmedhihirisha ukweli nilipowaambia Waislam mnaijua sana biblia kuko Qur'an yenu na hamuitumia Qur'an amacho ni kitabu bora kabisa, kwa kua hamuispomi Qur'a mnasoma tafasiri za waliopotosha.
Nyie mmeona jina Adam basi moja kwa moja mkajua ni kisa cha Adam wa kwenye biblia. Qur'an haiendi hivyo, lakini tutaelimishina kidogo kidogo, wenye kuelewa wataelewa.
Arsis.
JiweWaziri gani ameshafika kwa Babu? Tuanzie hapo
Umesema kuna majini wazuri na majini wabaya, je mgawanyiko huo upo pia kwa Malaika ikiwa ona maana kuwa kuna Malaika wazuri na Malaika wabaya?Kielimu inawezekana lakini hairuhusiwi. Wanaofanya hayo ni washirikina. Utakiona kisa chake kikifikia.
hiko kitu kizito kishakuja ? kama ndio ni kitu gani?Kuhusu mimi, Picha lilina anza nilipigwa na radi, baada ya miezi kazaa kupita nilipo amka asubuhi nakuta nimepakwa mafuta kama ya siagi kichwani, sijui walikusudia nini na hayo mafuta. hayo yote niliyachukuli pow tu, kumbe kuna kitu kizito kina kuja kwangu mpaka leo walimwengu wameshindwa kunijibu nitoke vipi
Simulizi ni Nzuri, tatizo ni kwenye uandishi unachapia sanaTukaondoka salama pale, Dada yangu akamwambia anti Sofia ukija Dar uje kunidfundisha kufanya visheti na kahawa yako, nimevipenda. Anti Sofia akaingia ndani akamtolea kopo zima la visheti, yale makopo ya biskuti makubwa. Akamwabia hii ndio biashara yangu kubwa hapa, navitengeneza kwa wingi wanaojua wananipa order, navipeleka sehemu nyingi sana, wewe ulikua hujui hii zawadi yako. Nakupa kwa sababu asingeolewa mamako unagekua mwanangu, kidogo babako anioe, huyo mdigo sijui akampa nini. Tukacheka tukaondoka.
Tulipoondoka kwenye gari nikajua dada yangu anamchokoza mama.
Dada; Anti Sofia anasema baba ilikua amuoe yeye wewe ukamt)roga kidogo akakuoa wewe, eti kweli? Ananesha alikua mzuri kweli?
Mama; Sofia anawatania, tu, amuoe miubwa kweli kwetu yule, kaolewa sisi bado tunasoma msimuone vile ana mwili mzuri. Lakini alikua mzuri mkweli, mpaka sasa mzuri .
Baba Sofia kajiweka pale kibiashara tu, pale anauza visheti Tanzania nzima, halafu hakuna Msomali anapita Chalinze bila kununua mirungi kwake, siku hizi haweki pale, anaweka kule uoande wa pili, kuna watu wake wanamuuzia, zinatembea simu tu, usimuone vile anapesa nyingi sana, yule muewe kamwachia Scania zaidi ya kumi, urithi wa wanawe. Huyomwanae mdogo wa kiume ndio anafanya kazi za kuzitrazama hizo. Hata wewe bwana mkubwa unazijua garizake, huwa zinakuja garage matra moja moja, zile anazokuja nazo Anko Abdi. Zile zote za Sofia na wanawe. Nikasema aaah, nimezijua na huto mwanae nimeshamjua, siku hizi wanzo benz moya mpya wamewachana na Scania kabisa.
Baba: ndio hizo hizo.
Mimi: Kweli ana pedsa, kwanini anakaa huku sasa?
Baba' Atahamia mjini hgivoi karibuni ana nyumba nyingi tu Dar. Hapa anatengeneza pesa nyingi sana, yule Waarabu wote wa Morogoro wanachukua kirungi kwake, magaru ya Wasomali na mengine mengi tu yanayopita hapa yanachukua miringi kwake. Yule kwa siku anafanya ya miilioni wo mpaka ishirini, usimuone vile.
Mama: Wasomali ni hodari sana kwa biashara.
Tukaneda mwndi mzuri tum hatukuchelewa sana tukawa tumeingia Dar, Vimbwanga vikaanzi mtaa wa Msimbazi, maana tulizunguka kupitia Kariakoo, kuna kitu mama alitaka kabla ya kwenda nyumbani. Ikabidi tupite Msimbazi.
Itaendelea.
Hivi wanavyosema dunia ni duara maana yake kuwa ukichimba au kuingiza kitu kirefu sawa na diameter ya dunia kinaweza kutokea bara/Nchi/sehemu nyingine 🤔Nijulishe bas wewe unayeyajua mkuu wangu. Maana nimeona hapa kuwa dunia sio duara so kuna tabu kuuliza vitu obvious ambavyo umekuta tu vinaaminiwa hivyo?
acha yan.Hivi wanavyosema dunia ni duara maana yake kuwa ukichimba au kuingiza kitu kirefu sawa na diameter ya dunia kinaweza kutokea bara/Nchi/sehemu nyingine 🤔
So ukienda nchi wanazoongea Kiingeeza ukasema toka kwa jina la Yesu pepo wa huko wanakupa kichapo? Vp kama pepo hao ni wa Kimasai utatumia jina gani?Kwahyo mpaka angeita kwa kiarabu.....
Vitu vingi kwenye maswala ya kidini vimetoka kwenye lugha ya Aramaic (kwahyo nguvu halisi ya jina huwa ipo kwenye lugha yake ya asili...... Mfano Jibreel jina lake asili ni Gabriel 🤝
Jina ukiliingiza kwa lugha nyingine hupungua nguvu🤔
Maana unakuwa umelitafsiri
Mfano chukulia wakristo wanavyotoa pepo kwa jina la yesu..... Sasa wewe liingize jina yesu kwa kilugha cha kinyasa (mfano iwe Yesu = Kivumba)
Halafu nenda uanze mwambia pepo kwa jina pa kivumba.... Utaona kichapo chake mpk utatoka vumbi usoni
Kwahyo usikariri kwamba mambo lazima yaende kiarabu.... Nope Kuna lugha zingine zenye muujiza na nguvu kubwa kuliko Arabic🚶🚶🚶
(Kama nimekosea nipewe elim, maana mengi n mtizamo wangu tu)
Ndugu Arsis samahani kwa kutoa elim nisiokuwa na elim nayo.... Tusameheane vijana tunateleza🤝🤝
Nimesha pigwa katafunua kitambo, kiafya niko hoi. kupata nafuu ndo imekua ngumuhiko kitu kizito kishakuja ? kama ndio ni kitu gani?
kama bado kwanini unahisi ni kitu kizito kinakija kwako?
Aisee, kumbe wakati mwingine huwa akili zako zinakaa sawa. Safi sanaCorazon Espinado.
Siyo utani. Kisa chako ni kizuri sana. Siyo kwa huo usimba ushuzi wako.
Kuna mengi yanaingia akilini. Ushauri wangu kwako, usiwe na haraka ya kupost ulichoandika. Andika post yako, tulizana, isome mara mbili tatu, rekebisha makosa ya kiuandishi kadri ya uwezo wako, kisha ndiyo post.
La pili ni ombi, naona kuna masuala ya dini yamejitokeza, natamani uniruhusu niyajibu ninavyoelewa mimi.
Mambo yako na majinni wako sikuingilii, nikiwa na swali huko ntauliza.
Ombi langu la mwisho kwako, tafadhali sana wachana na u foxy wangu na usimba wako. Tumekutana kwenye mtandao yaishie kwenye mtandao na mada zilizopo. Mjmi sikujuwi kabisa. Nikisema nakujuwa ni kwa kukutania tu. Ispokuwa, umemtaja mtu wa Shinyanga ambae nafahamiana nae toka utotoni, wamekuwa pamoja na mume wangu kwa ukaribu kabisa. Nawahamu ukoo wake wote. Ulichoelezea kijuujuu kuhusu huyo mtu wa Shinyanga ni ukweli mtupu.
Tafadhali nielewe, maana naona uzi umeshaingia watu wa jazba, wewe "remain cool" utupe kisa au visa vyako. Narudia, nimekipenda kisa chako, wachana na vile visa vyako vya usimba ushuzi.
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.
Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Mbona hujadaut uelewa wa Arsis kuhusu Uyaudi?Naona Arsis hana uelewa mpana kuhusu Ukristo...my first doubt