Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Niliyoyaona nchini German katika tour yangu

Teh... kiufupi waambie ulienda ila taratibu hukua unazijua. Maswali yatapungua.

labda haukutaka kutembea tu boss hapo Frankfurt kuingia Uswiss hasa Zurich ni fasta tu masaa kama 5... na kwa viza yako ungekatisha tu.

Na hiyo kampuni ya berlin ya ndege haifanyi tena shughuli zake toka mwaka jana... au wameanza?
wengi sana wanauliza air Berlin
n kuwa ilikumbwa na mdororo wa uchumi ila imebaki na ndege chache
nikiwa pale koln nilishuhudia ikitoka koln kwenda monchengledbach
pia huwa INA ruti ya Munich_Rostov
 
Naona unataja mi timu ya mpira Tu.....
 
Mangi ukitaka kudanganya siku nyingine danganya kitu ulicho na uelewa nacho. Sio unakaa kwenye kijiwe cha mbege halafu unasikiliza story na wewe unakuja kuhadithia hapa.
amin uaminivyo
najipanga kutembelea uswiss,Italy na Spain nataka visa yangu iwe siku 30 per each
ujeruman nili enjoy sana nilipanga kutembea miji mingi kama damstadant ,Leibpzg,monchengledbach na Munich sema ratiba ikawa ngumu
 
niliogopa nisije kamatwa "nji" za watu sasa hivi nafanya mchakato nataka nije kutembelea uswiss,Italy na Spain
Unaogopa wakati una mwenyeji anayejua taratibu zote? Si unasema ulikuwa na mwenyeji wako? Ebo! Mangi hiki sio kijiwe cha mbege
 
Unaogopa wakati una mwenyeji anayejua taratibu zote? Si unasema ulikuwa na mwenyeji wako? Ebo! Mangi hiki sio kijiwe cha mbege
kwahiyo nikiwa na mwenyeji ndio kigexo cha mm kuvunja sheria? visa ilikuwa ya 19 days tu kua na mwenyeji sio ticket ya kuvunja sheria nchi za watu natii sheria niliondka cku NNE kabla
watz n watu wa ajabu sana dah
 
Dah mkuu safar moja tu dola 2800 dah unikopeshe hata dola 500 tu
hiyo n pmj na garama ya hotel nyota 2 pale Frankfurt, n pmj na dola 200 walizoiba,ndge nilipanda bussnes class pia ticket nilikata cku 1 kabla
million tano kwako n hela nying?
MBNA hiyo n hela ya bia tu mkuu
 
Acha kuandika kifesibuku dogo,hii ni jamiiforums usifananisha na huko fesibuku unakoshinda kutwa una like mitindo ya nguo na nywele,usishushe hadhi ya JF limbukeni wewe.
 
inawezekana n ushamba wangu mkuu
lugha n changamoto kwangu kule hawajui English n kijeruman tu,mwenyeji wangu alini save sana yy anajua pure German

What pure German. Au unamaanisha ya darasani. Huku hata ukae Miaka 20 hutaweza kukijua kijerumani kikamilifu. Na inakuwa shida kubwa kwasababu ya Lugha mahalia. Kijerumani kina kuwa cha Mahali fulani.
 
Wakuu mpo pouwa?
Miez miwili iliyopita nilikuwa na tour yangu binafsi nchini Ujerumani, safari yangu ilianzia ktk uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro airport hadi Dubai nikitumia Ethiopian airline.

baada ya kufika Dubai nilichukua air Berlin hadi uwanja wa kimataifa wa Frankfurt ujerumani
nilikaa mjini Frankfurt siku mbili kabla ya kupanda treni ya umeme hadi ktk mji uitwao Cologne (koln) ambapo nilikutana na ndugu yangu ambaye ni padre wa kanisa katoliki.

Nilichokiona huko ni kuwa watu wa kule wapo busy sana hawana hata sekunde moja ya kupoteza, wanachakarika sana yaani, vile vile sitasahau siku hiyo nikiwa natoka Frankfurt kwenda koln niliporwa Pesa kama dola 200 nilikuwa nimeziweka mfuko wa mbele wa shati kumbe kuna vibaka kama huku sema wapo more advanced

Mwenyeji wangu aliniambia kuwa vibaka na matapeli wapo sana tu

Siku moja tukasafiri hadi mjini Dortmund kumsabahi padre mmoja hivi mtanzania jina lake padre Mosha nilienjoy sana siku hiyo nilipelekwa hadi uwanja wa mpira ktk mechi ya Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza na timu iitwayo Hertha Berlin ktk uwanja uitwao signal iduna arena hapo mjini Dortmund

Nilimuona live Aubemyang aliekuwa mchezaji wa Dortmund kabla ya kuja Arsenal

Basi nilimaliza ziara yangu ya siku 15 huko German na nikarejea bongo wakati nikirudi nilitumia etihad aiways nikapita Amsterdam Uholanzi then tukapumzika kidgo safari ikaanza hadi Dubai baadae. Nikachukua Ethiopia airline hadi Kilimanjaro international airport
I enjoyed my tour.
Wewe mpare
 
Back
Top Bottom